Ndiyo Maji Mema

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

NDIYO MAJI MEMA

1. Ndiyo maji mema kweli toka kwa Bwana- tukanyunyiziweni tupate uzima
x2

Njooni kina baba, njooni kina mama


Nanyi, enyi watoto tupate uzima x2
2. Maji yenye ufikio wa kipekee- tukanyunyiziweni tupate uzima x2
3. Maji yenye ufariji wa kipekee- tukanyunyiziweni tupate uzima x2
4. Ni maji yenye Baraka za kipekee- tukanyunyiziweni tupate uzima x2
5. Ni maji yenye utakaso wa kiopekee- tukanyunyiziweni tupate uzima x2
6. Ni maji kweli ya Roho Mtakatifu- tukanyunyiziweni tupate uzima x2

TUJONGEENI MEZANI

Tujongeeni mezani, mezani , mwa Bwana x2


Ili tukauonje utamu wa Mbingu x2
1. Mwili wake Bwana Yesu ni chakula, damu yake Bwana Yesu ndicho
kinywaji
2. Aulaye mwili wake ana uzima, ainywaye damu yake taburudishwa
3. Hima hima twende wote tumpokee, ili tupate uzima wa roho zetu
4. Ukarimu wake Bwana wa ajabu, kwani ametualika mezani pake
NITAINGIA NYUMBANI MWA BWANA

Nitaingia nyumbani mwa Bwana, nikamwabudu Mungu wangu kwa


shagwe x2
Nitaimba imba, itachezacheza, nita rukaruka nimsifu Mungux2

1. Nyumba yake Bwana, nyumba ya sala


Twende tumjongee, tukamwabudu x2
2. Nyumba yake Bwana, shibe twapata
Twende tumjongee, tukamwabudu x2
3. Nyumba yake Bwana, faraja yetu
Twende tumjongee, tukamwabudu x2
4. Nyumba yake Bwana, umoja wetu
Twende tumjongee, tukamwabudu x2
5. Nyumba yake Bwana, hekima yetu
Twende tumjongee, tukamwabudu x2

You might also like