Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 48

1

Table of Contents
UTANGULIZI ...................................................................................................................... 1

SEHEMU YA KWANZA ....................................................................................................... 4

SEHEMU YA PILI ................................................................................................................ 6

SEHEMU YA TATU ............................................................................................................. 8

SEHEMU YA NNE ............................................................................................................... 9

SEHEMU YA TANO .......................................................................................................... 11

SEHEMU YA SITA ............................................................................................................. 12

SEHEMU YA SABA ........................................................................................................... 14

SEHEMU YA NANE .......................................................................................................... 17

SEHEMU YA TISA ............................................................................................................. 20

SEHEMU YA KUMI ........................................................................................................... 22

SEHEMU YA KUMI NA MOJA........................................................................................... 24

SEHEMU YA KUMI NA MBILI ........................................................................................... 27

SEHEMU YA KUMI NA TATU ........................................................................................... 29

SEHEMU YA KUMI NA NNE ............................................................................................. 30

SEHEMU YA KUMI NA TANO........................................................................................... 32


SEHEMU YA KUMI NA SITA ............................................................................................. 34


3

UTANGULIZI.
Utangulizi.

Nikiwa kama mfanyabiashara wa muda mrefu


nimekutana na changamoto nyingi sana katika
harakati za utafutaji, lakini kubwa zaidi ni hili la
kujua nitapata wapi bidhaa kwa bei ya jumla ili
na mimi niweze kuuza kwa jumla na rejareja.
Najua hata wewe umehangaika sana na ata
wakati mwingine unaamua kununua kwenye
maduka ya rejareja ila ukweli ni kwamba bei
zake lazima zitaumiza wateja wako.

Hivyo basi nimekuletea suluhisho la hiyo


changamoto yako. Hivyo basi dhumuni kubwa la
hiki kitabu ni kuweza kutatua changamoto yako
kwa kuorodhesha machimbo yote ya bidhaa za
kufanyia biashara yanayopatikana hapa
Tanzania hasa hasa kwenye masoko ya Kariakoo
na
Karume pamoja na namba za simu za wauzaji
wake. Lakini pia kwa wale wapenzi wa bidhaa za

1
kuagiza nje ya nchi kama China pia machimbo
yake yapo.

Supplier waaminifu kutoka China ambao


unaweza kufanya nao biashara na namba zao.

3

SEHEMU YA KWANZA

 Chimbo la mikeka/ mifuko – 0714788698

 Chimbo la taulo – 0742646471

 Chimbo la mitandio – 0715374876

 Chimbo la zuria la manyonya – 0786595989

 Chimbo la perfume – 0718468903

 Chimbo la t shirts za form six – 0653949407

 Chimbo la abaya/ hijabu – 0759710186

 Chimbo la track za watoto – 0768191108

 Chimbo la pochi kwa mchina – 0713956161


 Chimbo la net/ shuka za Uganda –


0744334554

 Chimbo la slippers – 0713267860

 Chimbo la miwani – 0716759073

 Chimbo la vitu vya mama mjamzito/ watoto


wachanga – 0745722803

 Chimbo la mabegi ya shule (mchina) –


0769364030

 Chimbo la sandles, heels,raba –


0744937482

 Chimbo la spare za pikipiki – 0656876358

 Chimbo la decor – 0767666551

 Chimbo la vyombo - 0658144956

5

SEHEMU YA PILI

 Chimbo la mito, duvet na shoe racks –


0719161111

 Chimbo la track namba 2 – 0743605908

 Chimbo la Jeans/ gauni – 0767401270

 Chimbo la boxer – 0626788314

 Chimbo la shuka za kimasai – 0783313223

 Chimbo la cover za mito – 0768325294

 Chimbo la soft blanket (11000) –


0786497026

 Chimbo la nguo za ndani / night dresses –


0713312741

Chimbo la chupi na bra – 0759766142

 Chimbo la nguo za kike – 0763880063

7

SEHEMU YA TATU

 Chimbo la boxer/ vest – 0759775686


 Chimbo la t shirt plain – 0686400364

 Chimbo la kontena/ chupa za mchina –


06753578664

Chimbo la pochi – 0683504688

 Chimbo la chupa za maji/ hotpot –


0714881721

 Chimbo la zulia na sofa cover – 0743118384


 Chimbo la zuria na rugs mchina –


0744111781

 Chimbo la taiti na jezi – 0628877099

 Chimbo la viatu vya kike – 0679553820

SEHEMU YA NNE

 Chimbo la t shirt/ nguo – 0628649680

 Chimbo la t shirts na pensi – 0753909735

 Chimbo la kinasa t shirt 5000 – 0765275395

 Chimbo la gauni 8000 – 0758301142

 Chimbo la shuka sufuria – 0752905378

 Chimbo la vyombo kwa mxhina –


0685454970

9

 Chimbo la t shirts 4600 – 0782396632

 Chimbo la sweater na pull overs11000 –


0743901662

 Chimbo la nguo za watoto wa kiume –


0756481827

SEHEMU YA TANO

 Chimbo la shati na kadeti za Watoto wa


kiume – 0757788872

 Chimbo la shati za wakaka – 0744319855

 Chimbo la nguo za watoto wa kiume –


0754933590

 Chimbo la koti kariakoo – 0757332942

 Chimbo la party dress – 0718301243

 Chimbo la viatu vya jumla vya kike –


0759333881

11

 Chimbo la viatu vya jumla mchina –
0754044791

 Chimbo la viatu vya watoto kariakoo –


0653923525

 Chimbo la mto/ foronya 5000 – 0768285658


SEHEMU YA SITA

 Chimbo la vyombo kariakoo – 0718704455


 Chimbo la godoro jumla – 0787554124

 Chimbo la decor na saa za ukutani –


0717316388

 Chimbo la vitenge manzimmoja –


0755014387

 Chimbo la taiti/ bwanga – 0628877099

 Chimbo la vitenge vya Nigeria na Ghana –


0688339424

 Chimbo la mikanda ya kike – 0694199900

 Chimbo la miwani – 0763955050

 Chimbo la taulo – 0715470705

 Chimbo la mikeka – 0682272282

 Chimbo la koti - 0757332942

13

SEHEMU YA SABA

KARIAKOO

 Chimbo la sofa covers, rugs and décor


(mchina)

– 0743933808

 Chimbo la nguo za kike (kariakoo) – 0654328234

 Chimbo la nguo za kike (kariakoo) – 0621962036.

 Chimbo la nguo za kike – 0689196857

 Chimbo la vipodozi vya kike (kariakoo) –

0755805257

 Chimbo la viatu – 0754418018

15

 Chimbo la night dress – 0718622427

 Chimbo la viatu vya watoto – 078589090

 Chimbo la hereni - 0714723029


SEHEMU YA NANE

 Chimbo la vitenge – 0763766344

17

 Chimbo la vifaa vya ushonaji – 0620224103

 Chimbo la vifaa vya umeme (tv, redio, pasi, blenda)



0659199110

 Chimbo la accessories – 0787977101

 Chimbo jingine la vifaa vya umeme –

0712900424

 Chimbo la viatu vya kike – 0653997115

 Chimbo la midoli na hangers – 0674016227

 Chimbo la vipodozi – 0716033000


Chimbo la mikanda na walleti za kiume –

0774693522

19

SEHEMU YA TISA

 Chimbo la bales – 0782327471


 Chimbo la bales – 0755447975

 Chimbo la vigodoro – 0652310899

 Chimbo la wigs/ weavings – 0782734388

 Chimbo la nguo za watoto – 0754620094

 Chimbo la nguo za ndani – 0757443282

 Chimbo la perfume – 0773787848

 Chimbo la saa – 0761046829

 Chimbo la pochi za mtumba – Tandika mtaa wa


mapochi

 Chimbo la viatu vya kimasai – machinga complex


 Chimbo la nguo za watoto - 0655379946

21

 Chimbo la vikoi batik – 0713215332

 Chimbo la vikoi vya Uganda – 0766483376

 Chimbo la vifaa vya umeme – 0652616332

 Chimbo la kadeti/ jeans za kiume – 0784243226,


0714285959

SEHEMU YA KUMI

Chimbo la maua (decors) – 0712330203

 Chimbo la mashuka ya Uganda – 0744334554


 Chimbo la cosmetics – 0659359393

 Chimbo la spare za pikipiki – 0756876358

 Chimbo la mashati ya kiume/ suruali –

0717997748

 Chimbo la nguo za watoto – 0714594879

 Chimbo la night dress – 0713312741

 Chimbo la kofia – 0756354443/ 0788775330

 Chimbo la nguo za ndani – 0621007249

 Chimbo la vijora – 0622383383

 Chimbo la vyombo – 0656908575

23

 Chimbo la pazia – 0763778817

 Chimbo la pochi (mawasiliano) - 0738238904

 Supplier wa nguo za Watoto - +8618520687132

 Supplier wa pochi - +8613763368855

 Supplier wa vyumba, TV, AC, fridge n.k -

+8613794408685

SEHEMU YA KUMI NA MOJA

 Chimbo la vipodozi – 0785534940

 Chimbo la vifaa vya saloon – 0755805257

 Chimbo la Diapers – 0762803325


 Chimbo la vifaa vya saloon – 0718097255

 Chimbo la vifaa vya kike – 0652883770

 Chimbo la vifaa vya ushonaji – 0679671190

 Chimbo la door mates – 0684828720

 Chimbo la vyombo – 0752186730

 Chimbo la saa – 0713328081

25

 Chimbo la ubuyu – 0784531580

 Chimbo la viatu – 0787653066

 Chimbo la perfume – 0718468903

 Chimbo la mashuka / net – 0620656101


SEHEMU YA KUMI NA MBILI

 Chimbo la mashuka / net / mito – 0744334554

 Chimbo la sabuni za kuogea / shampoo – 0764342243

 Chimbo la rangi za gel / mashine ya kukaushia rangi /


lipsticks – 0745268723

 Chimbo la mataji / maua artificial – 0692986515

 Chimbo la vyombo vya plastik / madeli – 0787224190

 Chimbo la vyombo – 0715161998

 Chimbo la nguo za ndani – 0742646453

 Chimbo la begi za shule / kusafiria – 0717094125

27
 Chimbo la vest / boxers / jeans – 0752455154

 Chimbo la trucksuit – 0763887945

 Chimbo la nguo za kijanja – 0785191133


SEHEMU YA KUMI NA TATU

 Chimbo la nguo za kijanja – 0718953470

 Chimbo la Hijab / vilemba / mitandio – 0786383276

 Chimbo la nguo za kijanja – 0718291822

 Chimbo la Jeans (Kike) – 07884952861

 Chimbo la vitenge – 0766852861

 Chimbo la Kofia / mizula – 0657670301

29
 Chimbo la pens – 0746807452

 Chimbo la Jeans – 0753952616

SEHEMU YA KUMI NA NNE

 Chimbo la shati za kiume – 0712377021

 Chimbo la Jeans – 0699530787

 Chimbo la Pensi / truck – 0772777781

 Chimbo la t-shirt – 0714706032

 Chimbo la nguo – 0755142121

 Chimbo la viatu vya watoto – 0715803503



 Chimbo la mashati ya kiume – 0785974946

 Chimbo la t-shirt / jeans / kadet – 0623937060

 Chimbo la nguo za watoto (kike) – 0715674088

 Chimbo la nguo za watoto (kiume) – 0655811082

 Chimbo la pochi – 0719700465

 Chimbo la vijora – 0715333880

 Chimbo la vifaa vya stationary – 0735588894

 Chimbo la bahame – 0683869420

 Chimbo la perfume za kupima – 0715606600

 Chimbo la vitambaa vya less – 0659994681

31
 Chimbo la turubai / mikeka / kamba – 0782286519

 Chimbo la viatu vya kiume – 0713437638

 Chimbo la nguo za watoto – 0688661621

SEHEMU YA KUMI NA TANO

 Chimbo la viatu – 0787653066

 Chimbo la perfume – 0718468903

 Chimbo la saa (Aggrey na congo) – 0713328081

 Chimbo la mashuka, mapazia, neti – 0744334554

 Chimbo la ubuyu – 0784531580



 Chimbo la mashuka – 0620656101

 Chimbo la viatu vya kike na kiume – 0678999349

 Chimbo la simu – 0684873509

 Chimbo la earphones, usb na cables -0710432905

 Chimbo la cover za simu - 0620562367

33
SEHEMU YA KUMI NA SITA

Biashara ambazo unaweza kujifunza kwa muda
mfupi na zikakuingizia kipato kizuri kwa bei nafuu
kabisa.

Nimekua nikiulizwa maswali mengi na wateja wangu


kuhusu biashara ambazo unaweza kujifunza kwa muda
mfupi sana na bila gharama za juu. Biashara zipo nyingi
sana na watu wengi hapa mjini wanazifanya ila kama
hufahamu unaweza kudhani zinahitaji mtaji mkubwa La
hasha !, ni bei nafuu sana kujifunza na wala hazihitaji mtaji
mkubwa kuzianzisha.

Body cream (lotion).

Mdada gani hapa mjini ambae hapendi kung’aa na


kuonekana mrembo kila anapotembea mbele ya
wakaka ??, jibu ni rahisi hakuna !. Hivyo basi hii
biashara ni nzuri kwa wale wenye mtaji mdogo na
pia haihitaji ujuzi mwingi sana

Viungo vya kupikia.

35
Mapishi ! Mapishi ! Mapishi ! jamani nani ambae
hapendi chakula aka Msosi ??, hakuna. Chakula
lazima kiwe kitamu na kila mtu anapenda chakula
kitamu na chakula kitamu lazima kiwe na viungo
vizuri.

Sabuni ya maji.

Bites.

Unga wa lishe.

Ice-cream / barafu.

Cake.

Vikoi vya batiki.

Ufundi cherehani.

Biashara ambazo unaweza kuzifanya ukiwa


chuoni.
Chuoni ni sehemu nzuri ambayo kama una malengo na upo
serious na Maisha unaweza kufanikiwa. Kitu pekee
kinachofanya chuoni pawe mahali pazuri sana pa kufanyia
biashara ni idadi ya wateja ambao wapo chuoni, lakini pia ni
network ambayo unaweza kuitengeneza ukiwa chuoni.

Chuoni ni kila aina ya watu kuna watoto wa


wafanyabiashara wakubwa, kuna Watoto wa viongozi
wakubwa, Watoto wa ma meneja wakubwa hivyo basi
ukiweza kutumia hio nafasi vizuri na kutafuta connection
unaweza kufika mbali sana ukiwa bado chuoni.

Swali ni je biashara gani ni nzuri kuzifanya ukiwa bado upo


chuoni?. Biashara zipo nyingi sana ila zifuatazo ni baadhi
tu ya hizo biashara ambazo wanachuo wengi wamekuwa
wakizifanya na zimewapa faida kubwa sana.

Upigaji picha.

37
Uuzaji wa nguo za ndani.

Ususi.

Uuzaji wa keki.

Udalali wa simu, vyumba vya kupanga.

Uuzaji wa ubuyu.

Graphics design.

Kuwa MC (Master Of Ceremonies)

Biashara unazoweza kufanya ukiwa na mtaji mdogo wa


kuanzia 50,000.

Uza maziwa fresh.

Uza matunda.

Uza nguo za ndani.

Uza vitafunwa.

Uza mtumba.

Uza ubuyu.

Uza uji.

Uza pilipili.

Uza ice cream/ barafu.

Uza accessories.

39
Namna ya kupata wateja wengi kupitia simu ya mkononi.

 Kusponsor matangazo Instagram/ facebook

 Kuwa mwaminifu kwani itasaidia uliowahudumia


kukuletea wateja wapya.

 Jiunge kwenye magroup mbalimbali ya whatsapp then


jitambulishe vizuri kwa members na utangaze biashara
yako kwao itakusaidia kuongeaza viewers wako.

 Kudhamini events mbalimbali itakusaidia kukuza jina


na kupata wateja wapya.

Ushauri kwa vijana wanaotaka kuingia kwenye biashara


lakini wanawaza watapata wapi mtaji au watu wengine
watawachuliaje.

“YOUR VISION WITHOUT ANY ACTION IS JUST A



DREAM”

41
42

You might also like