Maarifa STD 7, Round 6, 2024

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

MTIHANI WA MAARIFA YA JAMII 24.Lipi kati ya makundi yafuatayo ni familia? A.

Babu na
DARASA LA VII wajukuu B. mama na bibi C. baba, mama na watoto D. Binamu
JINA____________________________________________ na mjomba
1.Fungu lipi kati ya yafuatayo SIYO vielelezo vya utamaduni? 25.Bwana Juma huishi na mkewe, watoto wawili na dada yake.
A. mila na desturi B. utandawazi na utamaduni C. lugha na sanaa Hii ni aina gani ya familia? A.Familia ya awali. B. Familia ya
D. mila na sanaa mzazi mmoja. C. Familia pana. D. Familia ya makubaliano.
2. ni jumla ya mambo yanayofanywa na jamii husika kulingana 26.Dada wa baba yangu namwita A. Mama. B. Bibi. C. Shangazi.
D. Dada.
na asili, mazingira na mienendo ya jamii hiyo. A.mila B. desturi
27.Zifuatazo ni hasara za uhusiano mbaya wa wanafunzi shuleni
C. utamaduni D. miiko
isipokuwa: A. kuchukia masomo. B. kutoweka kwa amani shuleni
3.Mambo ya kawaida yanayofanywa mara kwa mara na
C. kutengeneza maadui shuleni D. kukuza mshikamano shuleni
wanajamii ambayo huweza kubadilika kulingana na mahali na 28.Bibi na Bwana Yusufu wana mtoto aitwaye Neema ambaye
wakati hujulikana kama: A.mila B. desturi C. tambiko D. miiko ameolewa na kuzaa mtoto aitwaze Omari. Bwana Yusufu ni nani
4.Kipi kati ya vifuatavyo SI kielelezo cha utamaduni wa
kwa Omari? A. Baba B. Babu C. Mjomba D. Mpwa
watanzania? A.Kuongea lugha ya Kiswahili B. Kula ugali
29.Ipi ni faida ya kiafya waipatayo wanafunzi kwa kucheza
C. Kuvaa kanga D. kuongea Kingereza
ngoma za kitamaduni? A. Kuendeleza utamaduni B. Kupata
5.Kitendo kipi kati ya vifuatavyo hakioneshi ushirikiano hamasa ya kufanya kazi C. Kupata zawadi mbalimbali
shuleni? D. Kufanya mwili uwe imara na afya
A.Kufanya mazoezi na majaribio yote yanayotolewa na walimu
30.Bwana na Bibi James walioana mwaka 2014.
B. kuwa mtoro C. kuwauliza maswali walimu D. Kushiriki
Hawajafanikiwa kupata mtoto mpaka sasa. Hii familia inaitwaje?
kufanya kazi kwene shamba la shule
A. Ya awali B. Ya watoto yatima C. Ya mke na mme D. Ya
6.Diana ni dada wa baba yako. Je, Diana unamwitaje? A.dada makubaliano
B. shangazi C. mjomba D. bibi 31.Mojawapo kati ya yafuatayo SIYO jambo linaloathiri
7.Tunapaswa kufanya nini pale mtu anapokukosea kwa mara ya
utamaduni wa mtanzania.
kwanza na kwa bahati mbaya? A. kusema asante B. kuomba
A. Maendeleo ya sayansi na teknolojia B. mabadiliko ya
msamaha C. kumsamehe D. kumpiga
mazingira C. mwingiliano baina ya nchi yetu na mataifa ya
8.Mahitaji ya msingi ya binadamu ni: A. Chakula, kucheza na
kigeni D. elimu ya vyuo vya juu
shule B. gari, nyumba na elimu C. gari, chakula na simu 32. ni muunganiko wa familia zenye asili au chimbuko la aina
D. chakula, malazi na mavazi moja. A. Kabila B. undugu C. ukoo D. urafiki
9.Muungano wa familia nyingi zenye asili moja hutengeneza
33.Mtu ambaye mmezaliwa katika familia au ukoo mmoja ni
A.Ukoo B. Jamii C. Kabila D. Taifa yako. A.jirani B. ndugu C. shangazi D. rafiki
10.Mwenendo wa kila siku wa maisha ya jamii husika ya watu 34.Koo mbalimbali huunda A. Kabila B. Taifa C. Kijiji D. undugu
hujulikana kama: A. Desturi B. Familia C. Utamaduni D. Dini 35. ni mfumo mzima wa maisha ya watu Fulani.
11.Mambo ya mazoea yanayotendwa kila siku na jamii huitwa A.mila B. desturi C. utamaduni D. miiko 36.Ufundi
A. ushirikiano B. utamaduni C. desturi D. ujima anaotumia mtu ili kuwasilisha fikra au mawazo yake katika
12.Ufundi anaotumia mtu ili kuwasilisha fikra au mawazo yake namna inayoburudisha na kufikirisha huitwa: A. mila B. desturi
katika namna inayoburudisha na kufikirisha huitwa: A. mila C. tambiko D. Sanaa
B. desturi C. tambiko D. Sanaa 37.Ni kabila lipi hapa Tanzania husifika kwa kuchonga
13. ni mfumo mzima wa maisha ya watu Fulani. A.mila vinyago?
B. desturi C. utamaduni D. miiko A. Wahehe B. wangoni C. wamakonde D. wapare
14.Lipi kati ya mambo yafuatayo haliathiri utamaduni wetu? 38.Sanaa zimegawanyika katika makundi matatu ambayo ni
A. maendeleo ya sayansi na teknolojia B. mabadiliko ya haya yafuatayo isipokuwa: A.sanaa za maonesho B. sanaa za
mazingira C. mwingiliano baina ya nchi yetu na mataifa ya ghibu C. sanaa za muziki D. sanaa za vitendo 39.Mambo
kigeni D. kukua kwa soko la biashara za mazao yanayofanywa na jamii Fulani kulingana na asili, mazingira na
15.Jambo la kawaida linalotendwa kila siku huitwa mienendo ya jamii hiyo huitwa: A. mila B. desturi C. utamaduni
A.Mila B. Desturi C. Utamaduni D. Sana D. sanaa
16.Mwenendo wa maisha unaohusisha asili, mila, desturi, jadi, 40.Sanaa ambazo hazionekani katika umbo maalumu au
au itikadi inayotawala katika jamii fulani hujulikana kama: kushikika lakini hugusa hisia, mfano ushairi, uimbaji na muziki
A. Desturi B. Familia C. Utamaduni D. Dini zipo katika kundi gani? A. sanaa za maonesho B.sanaa za ghibu
17.Katika jamii nyingi za kale hapa Tanzania, viongozi C. sanaa za muziki D. sanaa za vitendo
walipatikana kwa njia ya: A. kuchaguliwa kwa kura B. kurithi
C. kuteuliwa D. kupendekezwa. Jaza nafasi za wazi
18.Moja ya faida tunayoipata kwa kucheza ngoma za utamaduni 41.Mwenendo wa maisha unahusisha asili, Mila, desturi Jadi au
ni: A. kuendeleza utandawazi B. kuwaburudisha wazungu Itikadi inayotawala katika jamii fulani ni ______
C. kukuza mila na desturi D. kudumisha lugha za kigeni. 42.Mtu anayeishi karibu na makazi yenu anajulikana kama ____
19.Baadhi ya matendo yanayoonyesha uhusiano mwema katika 43.Familia inayoundwa na baba, mama, watoto pamoja na ndugu
jamii ni A.Kucheza, kushirikiana katika kazi na kujadiliana kwa wengine huitwaje? ________
pamoja B. kutengana katika kazi C. kutocheza sna watoto wa 44.Ngoma ya asili ya kabila la wazaramo hujulikana kama_____
jirani D. kutegea kazi 45.Chimbuko la ukoo ni________________
20.Utamaduni wa watu unaweza kujengwa na kudumishwa na
A.ngoma za asili tu B. mila na desturi C. ustaarabu wa kigeni
D. uganga wa jadi
21.Mama na baba wa mama yako utawaitaje? A. shangazi na
mjomba B. shemeji na dada C. bibi na babu D. kaka na dada
22.Utamaduni huundwa na mambo kadhaa isiokuwa:A. mila
B. umasikini C. lugha D. desturi
23.Yafuatayo ni mahitaji ya msingi kwa binadamu isipokuwa
A. chakula B. mavazi C. malazi D. kucheza

You might also like