= 60 3 8 R/ Ee Bwa na ka ti ya ma ta i fa yo te ya du ni a, 83 8 wa ta o na wo ko vu wa ko. 13
1 . Ee Mungu umpe mfalme hukumu y ako, 4. A tamtomboa maskini mweny e kumlilia,
Na mwana wa mfalme haki y ako. Na mny onge asiy e na msaidizi. A hukumu kabila lako kwa haki, A tamhurumia zaifu na maskini; Na wany onge wako iliv y o sawa. A taokoa uzima wa maskini.
2. Katika siku zake haki itasitawi,
Na amani itazidi mpaka mwezi ukome. A tatawala toka bahari mpaka bahari, Na toka mto mpaka miisho y a dunia.
3. Wafalme wa tarsi na v isiwa watatoa kodi,
Wafalme wa saba na seba wataleta zawadi. Wafalme wote wa dunia watamwabudu, Mataifa y ote wata mtumikia. Edition: Innocentbishi5@gmail.com