Muhtsari Wa Kikao Cha Tarehe 03

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 9

MHTASARI WA MKUTANO WA WATU WA NJOMBE WANAOISHI DODOMA

TAREHE 03/03/2024_UKUMBI WA POLISI JAMII DODOMA


AGENDA ZA MKUTANO
Agenda zifuatazo zilijadiliwa kwenye Mkutano
1. Kufungua Mkutano.
2. Maombi/Dua
3. Neno fupi kutoka kwa walezi
4. Kupitia Katiba na kuijadili kipengele kwa kipengele
5. Mengineyo
a) Tarehe ya kikao kingine
b) Mapato na matumizi
6. Kufunga Kikao
AGENDA NA. 1/03/03/2024: KUFUNGUA MKUTANO
Mkutano ulifunguliwa na Mwenyekiti wa mkutano mnamo saa 9:34 jioni kwa
kuwashukuru wajumbe wote kwa kufika na kuwataka kuwa wasikivu kwa agenda
zilizopo. Ufunguzi huo uliambatana sala/Dua na Utambulisho kwa kila mjumbe wa
mkutano.

AGENDA NA. 2/03/03/2024: NENO FUPI KUTOKA KWA MWAKILISHI WA WALEZI


Mwakilishi wa walezi ndugu Dorice Kaunda aliwaeleza wajumbe kuwa umoja na
ushirikiano husaidia jamii kufikia malengo ya mtu mmoja mmoja. hivyo aliwasihi
wajumbe kuuheshimu umoja na kuwa sehemu ya ujenzi wa umoja huu imara wa watu
wa Njombe wanaoishi Dodoma.

AGENDA NA. 3/03/03/2024 KUPITIA RASIMU YA KATIBA NA KUFANYA


MAREKEBISHO IKIWA NI PAMOJA NA KUIPITISHA.
Kamati ya maandalizi ya katiba iliyosimamiwa na Mwenyekiti ndugu Marko Mlonganile,
iliwapitisha wajumbe kwenye vipengele vya rasimu ya katiba na wajumbe walikuwa
wakitoa maoni kipengele kimoja baada ya kingine. Kupitia mchakato huu baadhi ya
mambo yaliyojadiliwa na kukubaliwa utekelezaji wake ni kama ifuatavyo.
1. Kwamba makao makuu ya umoja yatakuwa kwenye Halmashuri ya Jiji la
Dodoma lakini mtaa au kata utaanishwa baada ya kupatikana kwa ofisi na
anwani
2. Kwamba Jina la Umoja kwa kifupi litajulikana kama NJOIDO yaani Njombe In
Dodoma na ndilo jina litakaloonekana kwenye nembo ya umoja.
3. Kwamba Malengo ya umoja yaunganishwe ila kanuni ndizo zifafanue. Kwa
mfano malengo yawe; Kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na lengo la pili liwe
kukuza upendo, ushirikiano na mshikamano baina ya wanaumoja.
4. Kwamba kutakuwa na aina mbili za wanaumoja ambao ni wanaumoja
waanzilishi; hawa ni wale walioanzisha umoja huu na watatakiwa kulipa ada ya
kila mwezi tsh 5000 kuanzia mwezi januari 2024 kama kiingilio na ada hii
itabadilika wakati wowote kutokana na hali halisi ya wakati huo na wanaumoja
wa kujiunga ni wale watakaojiunga kuanzia mwezi wa sita 2024 na wawe wenyeji
wa Njombe au aliyeoa/kuolewa mkoa wa Njombe.Hawa watalipa Tshs 100,000
kama kiingilio na wataendelea na utaratibu wa malipo ya kawaida ya ada ya
mwezi.
5. Kwamba wanaumoja wa kujiunga watatakiwa kujaza fomu maalumu ya kujiunga
6. Kwamba Ada na michango yote itatumwa kwenye Mkoba kwa kuanzia na
baadae itafunguliwa akaunti ya benki.
7. Kwamba umoja utaendeshwa kwa ukweli na uwazi ikiwa ni pamoja na kusoma
mapato na matumizi kwa mujibu wa muongozo.
8. Kwamba muundo wa uongozi utahusisha mwenyekiti, Makamu Mkiti, Katibu,
katibu msaidizi,Mweka hazina, waratibu wa kanda na walezi.
9. Kwamba ukomo wa uongozi utatokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na
kifo,kujiuzulu kwa hiari,kukiuka maadili, kuhama mkoa wa Dodoma, umri Zaidi ya
miaka 75, kukosewa Imani, maradhi, kumaliza muda wa uongozi nk.
10. Kwamba Umoja utatoa huduma endapo litatokea tukio la kuugua au kuuguliwa
kwa ndugu wa jirani na kulazwa siku 7 na kuendelea hapa Dodoma pamoja na
msiba.
11. Kwamba wahusika wa kuhudumiwa na umoja ni mwanaumoja mwenyewe,
mtoto, mke, Wazazi na wakwe, au mlezi anayechukua nafasi ya mzazi ambaye
taarifa zake zitakwepo kwenye fomu ya taarifa ya mwanaumoja.
12. Kwamba rambirambi kwa mwanaumoja akifa itatoka kwenye mfuko na itakuwa
tsh 1,000,000/= na wategemezi wengine itakuwa 500,000/= na kwamba viwango
hivi vitaweza kubadilika kutokana na makubaliano ya wanaumoja wenyewe na
kwa upande wa ugonjwa kwa mwanaumoja au wategemezi waliolazwa siku 7 au
Zaidi watapewa pole ya Tsh 100,000/=na kwamba mwanachama hataweza
kuchangiwa Zaidi ya mara mbili kwa mwaka mmoja.
13. Kwamba mwanaumoja aliyepata ajali na kuumia vibaya au kufanyiwa operation
kubwa atapewa pole ya Tsh 100,000/= baada ya uongozi kujiridhisha
14. Kwamba ikiwa msiba wa mlengwa wa umoja utatokea hapa Dodoma basi
wanaumoja watakuwa na wajibu wa kumkimbilia mwanaumoja huyo
sehemu/mtaa anaoishi na kumtia moyo.
15. Kwamba kutakuwa na vyombo vya maamuzi vya umoja kama Mkutano mkuu wa
mwaka,Mkutano mkuu maalumu,Mkutano wa kila baada ya miezi mitatu,Mkutano
wa dharura na mkutano wa uchaguzi.
16. Kwamba uchaguzi Mkuu wa viongozi utafanyika kila baada ya miaka mitatu
chaguzi ndogo zitafanyika ikiwa kumetokea nafasi wazi
17. Kwamba vyanzo vya mapato vya umoja vitakuwa ada za kila mwezi,faini
mbalimbali,Michango mbalimbali kutoka kwa wanaumoja,harambee, misaada
kutoka kwa wafadhili nk.
Hata hivyo wajumbe walikubaliana kuwa pamoja na Rasimu nzuri ya Katiba ni mhimu
pia zitengenezwe kanuni na mpangokazi ili iwe rahisi kutekeleza vipengele vya umoja
vilivyoainishwa kwenye katiba.

AGENDA NA. 4/03/03/2024: MENGINEYO


Kwenye agenda ya mengineyo, Wajumbe walikubaliana kuwa kikao kijacho kifanyike
wiki ya kwanza ya mwezi wa sita na Tarehe itapangwa na uongozi na kutangazwa
kupitia group.Pia walisomewa mapato na matumizi kwenye hela ambayo walichanga
kwa ajili ya kuhudumia siku ya Tarehe 3 ambapo Kiasi cha Tshs 296,710/= kilichobaki
wajumbe walielekeza kuwa kipelekwe kwa ndugu Cosmas Mville kama rambirambi kwa
msiba wa mzazi wake uliotokea siku chache kabla ya Kikao.

AGENDA NA 5/03/03/2024. KUFUNGA MKUTANO


Mwenyekiti alifunga mkutano mnamo saa 7:20 usiku kwa kuwashukuru wajumbe wote
waliohudhuria kikao kwa kuwa watulivu.
Naomba Kuwasilisha;

TAMKO NGUMBUKE
KATIBU

Pamoja na Mhtasari huu naambatanisha na Orodha ya Mahudhurio ya watu wa Njombe


wanaoishi Dodoma waliohudhuria Mkutano huu.
MAHUDHURIO YA WANANJOMBE WANAOISHI DODOMA TAREHE
3/3/2024
ANAKOTOKE ANAKOISH
SN JINA SHUGHULI SIMU
A (NJOMBE) I SASA
Nivard Chang'omb Wakala wa 07551094
1 Makoga
Chaula e Mahakama 2

Dr. Richard Mshereheshaji na 06202857


2 Ilembula Ntyuka
magenge mchungaji 63

Newton
Mwalimu-Ng'ong'ona 07536953
3 Edington Kidegembye Ntyuka
S/S 42
Makweta

Jofrey Miyuji- Wizara ya ujenzi- 07645127


4 Ilawa-Ludewa
Mgaya Mipango Mhandisi 57

Eng.
Kaithan Ilininda- 07550846
5 Mailimbili Umeme(CCTV,Electri
Mgani Ludewa 49
cal fence etc)

Sarah 07193291
6 Makambako Makole Mjasiliamali sabasaba
Kyando 43
Geruto Mag'oto- 06248447
7 Kisasa Suma JKT guard
Sanga Makete 21
Apsa 07664883
8 Lupembe Nzuguni Muuguzi-Mirembe
Nywage 73
Richard Kichiwa 07593312
9 Nkuhungu KKKT Nkuhungu
Luvalamo Makambako 82

Omega Mjimwema- Miyuji- Public relations (CCM 07421253


10
Thobias Makambako Mipango HQ) 15
Diana
Mjasiliamali- 07171701
11 Sipilian Kipengele Image
Iringaroad 11
Chaula
Erasto Ihang'ana 07563669
12 Makulu Mwalimu-Huruma SS
Makweta Lupembe 71
Neema
Njombe 07559272
13 Lazalo Area C Doctors with Africa
Mjimwema 06
Makinda
Ester 07146428
14 Makete Nkuhungu Mwajiriwa PSSSF
Mwangono 02
Anjauwe
06562054
15 Philipo Kisasa
11
Mhidze
Samweli Lupembe Chang'omb 06840140
16 Afisa wa Jeshi
Gwivaha barazani e extension 01

Averino
Wizara ya Maendeleo 07648740
17 Michael Njombe Dodoma
ya Jamii 25
Chaula

Palangawanu- Mamlaka ya Udhibiti


07542819
18 Isaac Mbata Wanging'omb Ilazo Usafiri
36
e ardhini(LATRA)

Gaitana
07486686
19 Stephen Ifunda Iyumbu Afisa Ardhi-Chemba
66
Mfugale
Mavanga Wakili wa 07167130
20 Nziku Petro Dodoma
Ludewa kujitegemea 22
Tamko Kikuyu(kari
Ukalawa- 06954431
21 Daniel bu na Mtumishi_Chemba Dc
Njombe 98
Ngumbuke St.John)
Victoria
Nazareth- 07620451
22 Ernest Uzunguni Mtumishi
Njombe 73
Chaula
Meshaki Kibena 07182757
23 Nkuhungu Mtumishi
Lyabonga Njombe 81
07523733
24 Enea Longo Njombe Uhekule Mtumishi
96
Lusy 07549117
25 Ibumila Kikuyu Mtumishi
Gwivaha 32
Neema 07657875
26 Ipalilo Makete Nkuhungu Mjasiliamali
Majani 30
Fidea Idunda 07127373
27 Nkuhungu Mjasiliamali -Kuku
Luvanda makete 28
Upendo Wanging'omb 06550481
28 Bahi Road Mjasiliamali
Ngongomi e 17
07666036
29 Bupe Njiuka Njombe Mjini Mkalama Mtumishi
92
Betina 06589852
30 Njombe Mjini Kikuyu Mjasiliamali
Mlelwa 63
Marko Kichiwa 07523611
31 Meliwa Afisa TALIRI
Mlonganile Makambako 33
Emmanuel
Wanging'omb 06751285
32 Keneth Msote Mjasiliamali
e 94
Ngilangwa
Shauku 07531210
33 Njombe Mjini St.John Economist
Kihombo 74
Immanuel 07630375
34 Makambako Kikuyu
Malekela 06
Evelina
35 Lupembe Kikuyu
Mdeya
07557986
36 Joyce Mligo Makambako Kiyuyu Mfanyabiashara
95
Sesilia 07540704
37 Lupila-Makete Hazina Biashara
Ilomo 64
06566142
38 Frank Fute Njombe Kisasa PSSSF
78
Rehema 07553768
39 Njombe Image Ness tuitor
Mligo 78
Teresia 07174839
40 Njombe Nkuhungu Mstaafu
Gwivaha 13
Dorice Wanging'omb 07155242
41 Mailimbili Mwandishi habari
Kaunda e 64
Zakaria Usalule 07626820
42 Kikuyu Biashara, Kilimo
Mwinuka Njombe 33
Liberata Igombola Chamwino 06878137
43 Mwalimu
Wililo Lupembe Ikulu 77
Catherine 07529989
44 Manga Mailimbili Biashara
Mlelwa 6
Usalule 06757244
45 Isaac Mligo Bahi Road Biashara
Njombe 66
Judith 07566799
46 Igominyi Bahi Road Biashara
Mdendemi 64
Janeth 06888748
47 Ludewa Mpwapwa Tc Mpwapwa
Mtweve 90
Jane 07543894
48 Lupembe Chidachi Mtumishi
Nyarusi 41
Restuta 07151569
49 Njombe Mtumba Mtumishi
Sanga 99
Nelson 06751007
50 Matiganjola Dodoma Jeshi la Polisi
Sadatare 80
Protas 07846350
51 Ludewa Chidachi Mtumishi
Mwinuka 99
07478220
52 Oliva Sanga Makambako Kisasa Fundi Bomba
75
Wanging'omb 06931515
53 John Mgata Magorofani Mhandisi
e 88
Godwill E. Mkondachi 07569795
54 Nkuhungu Mtumishi
Sanga Ludewa 66
Boaz 06212581
55 Mhaji Kikuyu Mtumishi
Lunyiliko 10
06723099
56 Ebron Mligo Ng'anda Kikuyu Mtumishi
54
James D. 07565969
57 Matalawe Mipango Mtumishi
Damas 18
Fadhili 07659767
58 Mpechi Mipango Bodaboda
Mng'ong'o 25
Lameck 06257296
59 Matalawe Mipango Mtumishi
Damas 39
Isaya 07645683
60 Makambako Mipango Mhasibu
Mgobasa 82
07585139
61 Abas Kilion Makambako Kisasa None
3
Tegemea 07628448
62 Lupembe Nzuguni Mjasiliamali
Mpollo 75
Palangawanu-
Upendo 07652989
63 Wanging'omb Mipango Mtumishi
Ngela 02
e
Shabani 07544811
64 Njombe Iyumbu Mtumishi Benki
Telatela 71
Neema 07680488
65 Njombe Mpwapwa Mtumishi Rea
Ngulo 58
Huruma 07535584
66 Lupembe Kisasa Mtumishi Uchukuzi
Msambwa 31
Herieth 07550663
67 Mufindi Ipagala Mpishi
Konga 83
Agness 07538031
68 Makambako Meliwa Mjasiliamali
Kilemile 96
Aloyce 07148330
69 Makambako Nzuguni Mtumishi
Mdenye 58
Neema 07551691
70 Makete Kisasa Mfugaji
Ilomo 33
Amulike 07563299
71 Lupila-Makete Mailimbili Vyakula vya Mifugo
Sanga 25
Hidaya 06289237
72 Lupila-Makete Kisasa Mtumishi
Ndelwa 94
06258389
73 Adela Ilomo Njombe Mjini Kisasa Mtumishi
66
06569008
74 GP Mkinga Njombe Mjini Nkuhungu Mtumishi
82
Tubu J. 07876546
75 Mufindi Nkuhungu Mwalimu
Ng'umbi 29
Happy A. 07876546
76 Makete Nkuhungu Mwalimu
Mahava 29
Hamisi 07878009
77 Makete Nkuhungu Mwalimu
Msigwa 40
Theresia F. 07688009
78 Igoma Swaswa Askari Polisi
Mdendemi 32
Neema 07696836
79 Igoma Swaswa Mjasiliamali
Mdendemi 21
Diana
80 Makambako Makulu Mjasiliamali 07151521
Kihombo
Banson 07527734
81 Ilembula Makole Askari Polisi
Lutungulu 85
Zenubi 06521792
82 Lupila-Makete Nzuguni Askari Polisi
Lwila 98
Charles 07626395
83 Mawa Ilazo Mhasibu
Ngesi 57
Neema 07440003
84 Ilembula Nzuguni W/Ulinzi
Mbilinyi 85
Willy 07575259
85 Mhaji Miganga Afisa benki
Lyaumi 12
Fredrick Kichiwa 07551662
86 Ipagala Mstaafu
Kaduma Makambako 82
07647664
87 John Haule Ludewa Muungano Mjasiliamali
15
Richard 07176907
88 Imalinyi isanga Askali magerenza
Mgana 90
07634475
89 Alfredi Fute Wang'utwa Nkuhungu Mjasiliamali
41
Menas Ngalanga- Chang'omb 07674333
90 Mjasiliamali
Mlelwa Uwemba e 52
Joseph Chang'omb 07576430
91 Makambako Biashara
Kilime e 33
Happy 07550749
92 Imalinyi Ihumwa Mhasibu
Kiswaga 10
Johnson Tambukarel 07674444
93 Njombe Mwalimu
Mgecha i 54
Claus Miyuji- 07620982
94 Uwemba Fundi Umeme
Mdendemi Mipango 63
Grace Z. 07678825
95 Ludewa Mpwapwa Uthibiti Ubora
Kamonga 25
Lupyana L. 07544434
96 Igosi-Njombe Makulu Biashara
Chengula 45
Teckla 07677937
97 Uwemba Ntyuka Mwalimu
Mdendemi 77
Ester 07626861
98 Ludewa Area D Biashara
Njavike 33
Joseph 06856233
99 Ludewa Nkuhungu Ness
Njavike 22
10 Danstan 07592003
Ludewa Iyumbu
0 Prosper 07
Kayombo
10 Mwamini 07562798
Kilyenyi Michese
1 Payovela 14
10 Orester Miyuji- 06756894
Ndiwili
2 Kilyenyi Mipango 0
Ruth
10 07198087
Mwenzengu Ndiwili Meliwa
3 05
le
10 Denis 07520199
Mtwango Mbuyuni Fundi wa Magari
4 Mangula 44
10 Isacka 07554783
Nga'la Fundi a' Magari
5 Samweli 66
10 Mendrad 07550293
Mahongole Kisasa Biashara
6 Kigola 23
10 07173575
Ruth Sanga Njombe Uzunguni Mfanyabiashara
7 35
10 Eliner 07546891
Njombe Mji Makole Mtumishi
8 Nyaulingo 14
10 Fotina
Makambako Makole Mjasiliamali
9 Ndelwa
11 Tulizo 06892834
Makambako Nzuguni Majasiliamali
0 Malekela 04
11 Frida 07635548
Lupembe Nzuguni Majasiliamali
1 Sindila 60
11 Rehema 07532128
Makambako Majengo Majasiliamali
2 Mgaya 44
11
Isaya Mbata Mtumishi
3 Njombe Mjini Chinangali 0765557041
11 Vaileti Wanging'omb 07116077
Msalato Mtumishi
4 Livifile e 64
11 Tulanyilika 07595307
Ng'anda Msalato Mfanyabiashara
5 nziku 29
11 Tumpe 07165059
Ibumila Mpamaa Mfanyabiashara
6 Mwambuu 1
11 Ester Abuu
Njombe Michese Bodaboda 06544220
7 Ngewe
11 Inviolata Chang'omb 07654951
Ludewa Mjasiliamali
8 Mtweve e 83
11 Fortina A. 07530416
Njombe Mirembe Mtumishi
9 Sanga 05
12 Rashda .A. 07126371
Njombe Mirembe Mtumishi
0 Moli 77
12 Anyagwe 07157401
Lupembe Nzuguni
1 Lupembe 22
12 Hekima 07435077
Lupembe Nzuguni
2 Lupembe 01

You might also like