Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

4TH YEAR SHAHADA ZA BED ARTS NA BA.

KISWAHILI

COURSE CODE: ALK B413 – KISWAHILI POETRY

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA PILI

(DRAFT EXAM) DURATION: 2 HOURS

MAAGIZO: JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI

1.a) Huku ukitoa mifano ya wataalamu mbalimbali;

Eleza maana ya ushairi (Alama 20)

b) Eleza utenda kazi wa ushairi (Alama 6)

2. Jadili kwa kutoa mifano, mchango wa wazungu katika kutafiti, kuendeleza na


kuboresha ushairi wa Kiswahili (Alama 22)

3. Chambua shairi lifuatalo kwa upande wa maudhui, muundo na fani


(Alama 22)

4. Jadili migogoro katika ushairi wa Kiswahili juu ya arudhi kati ya wanajadi na


wanamapinduzi (Alama 22)

5. Eleza mchango wa magazeti katika kuukuza na kuudumisha ushairi wa Kiswahili


kabla ya kuja kwa teknolojia ya kisasa (Alama 22)

You might also like