Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

MAONO YA VIJANA 2024

.
1.Kuongeza idadi ya Active member wa Vijana wasiopungua > 100.
Mpango Mkakati
I) Kushuhudia Mtaani
ii)Ibada za nyumbani kwa member wa Vijana
iii)Kujua Affairs za Vijana
iv)Kufanya ibada za Mikesha ya mara kwa Mara 2 Kwa mwezi
v)Kutambua Karama na vipawa vya Vijana na kuvipa nafasi ili vilelewe..
vi) Having exclusive Talks

2.Kukuza Viwango vya kiroho(Spiritual Growth) kwa Vijana


Mpango Mkakati
I)Ibada za Mikesha Mara 2 kwa mwezi
ii) Semina za Mara kwa Mara
iii)Maombi yatakayoratibiwa kwenye Mkesha
iv)Kutumia vijana kwenye ibada za nyumbani na ushuhudiaji..Ili kupata uzoefu na kukua kiroho.
v)Kuanzisha Discipleship classes Makundi madogo.
vi)Kuanzisha Bible Verse Challenge.

3.KUONGEZA/KUKUZA MFUKO WA VIJANA


Mpango Mkakati
i)Kuwa na membership Fee..
ii)Contribution fee kila J.Pili
iii)Kufufua Mradi wa Vinywaji wa Vijana
iv)Kukusanya Sadaka kwenye ibada zetu, mikesha, Ibada za Nyumbani.
V).Ku-Design Tshirt ya Vijana na kuuza

4.KUTEGEMEZA MCHUNGAJI EVERY 3 MONTHS


Mpango Mkakati
i)Kupitia Mfuko wa Vijana
ii)Michango Ya Viongozi

5.Sherehe ya Vijana 22/09/2024.


Youth Vision 2024.

1. To increase the number of active members of at least > 100 youth.


Strategic Plan
I) Witnessing on the Street
ii) Home services for youth members
iii) Knowing Youth Affairs and welfares

iv) Conducting 2 regular Vigil services per month


v) To recognize the gifts and talents of the Youth and give them a chance to be
nurtured..
vi) Orphanage Visitation

2. To develop spiritual standards (Spiritual Growth) for young people


Strategic Plan
I) Vigil services 2 times a month
ii) Occasional Seminars
iii) Requests to be scheduled on Vigils
iv) Using young people for home worship and witnessing.. To gain experience and grow
spiritually.
v) Establish Discipleship classes Small groups.
vi) Starting the Bible Verse Challenge. vi)

3. INCREASING/GROWING YOUTH FUND


Strategic Plan
i) Have a membership fee..
ii) Contribution fee every J. Pili
iii) Reviving the Youth Beverage Project
iv) Collecting Sadaqa at our services, vigils, Home Services.
V).To-Design Youth T Shirt and sell

4. TO SUPPORT PASTOR AT LEAST EVERY 3 MONTHS


Strategic Plan
i) Through the Youth Fund
ii) Contributions of Leaders

5. Youth Celebration 22/09/2024.

You might also like