Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

KISWAHILI DARASA LA TANO

Ngeli ya KI-VI
Ni kundi la majina ambayo hayabadiliki katika umoja na wingi lakini viwakilishi na
viambishi huweza kubadilika kuonyesha umoja na wingi.

Mifano
1. Kalamu inaandika _____kalamu zinaandika.
2. Chupa hiyo ni yangu __________ chupa hizo ni zetu.
3. Dawa ya kulevya inadhuru ___________ dawa za kulevya zinadhuru.
4. Ndizi yenyewe imeanguka __________ ndizi zenyewe zimeanguka.
5. Karatasi hii nzuri inapendeza _________ karatasi hizi nzuri zinapendeza.
Baadhi ya majina katika ngeli hii ni:

UMOJA WINGI
Barua Barua
Nguo Nguo
Nyumba Nyumba
Ndizi Ndizi
Runinga Runinga
Saa Saa
Dawa Dawa
Karatasi Karatasi
Taa Taa
Motokaa Motokaa
Siku Siku
Barabara Barabara
Shule Shule
Shingo Shingo
pua pua
Andika kwa wingi
1. Kaptura hiyo itashonwa.
2. Taa hiyo iliyonunuliwa ndiyo hii.
3. Sufuria ile itaoshwa.
4. Kalamu yangu ndiyo nzuri.
5. Karatasi hii itatosha.
6. Siku nzuri huonekana asubuhi.
7. Pua yangu itatibiwa kesho.
8. Runinga yangu itatengenezwa.
9. Barabara hiyo itakarabatiwa hivi karibuni
10.Nguo ya mtoto itashonwa.

Maswali zaidi
1.)Toa ngeli mwafaka za nomino ilizopewa.
a) Majira
b) Maarifa
c) Maradhi
2.) Majuto ni mjukuu huja kinyume
ni
(methali, tashbihi) kitendawili)
3.) Kitu kizima kina sudusi ngapi?
4.)Kitendawili: nyama nje Ngozi ndani, jibu ni?
5.)Kanusha: Miti imeanguka.
6.)Mtoto mdogo ameanguka vibaya. Onyesha kivumishi katika sentensi
uliyopewa.
7.)Jina langu jingine ni bombo. Mimi ni vazi gani?
8.)Chora maumbo haya:

Tao Pia Mehe


9.)Andika wingi: Mtoto ameanguka vibaya.
10.)Kifungu kimoja cha shairi huitwa
11.)Andika kwa wingi: Mfuko uliraruka.

12.)Ugonjwa wa kutapika na kuendesha ni 28. Jina


jingine la sidiria ni

Tumia kiulizi “-pi”.


13.)Mzee ______________ aliyekuita?
14.)Mkono _____________ uliovunjika?

You might also like