HISABATI

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 8

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
MTIHANI WA UTAMILIFU MKOA WA MWANZA
DARASA LA SABA MACHI, 2024

SOMO: 04 HISABATI
MUDA _________________SAA 2:00 (2:40)

JINA LA MWANAFUNZI: ________________________________________________


NAMBA YA MTAHINIWA: ________________________________________________
JINA LA SHULE: ______________________________________________________
WILAYA: __________________________ MKOA: ___________________________

MAELEKEZO:
1. Mtihani huu una sehemu A, B na C zenye jumla ya maswali 8 yenye vipengele 33 vyenye jumla
ya alama 50.
2. Jibu Maswali yote katika kila sehemu kama unavyoelekezwa kwa kila swali.
3. Soma kwa makini maelekezo katika kila sehemu.
4. Majibu yote yaandikwe kwa kutumia Kalamu wa Wino Bluu ama mweusi.
5. Andika jina kamili na taarifa nyingine kwenye nafasi zilizoachwa wazi
6. Simu za mkononi haziruhusiwi kwenye chumba cha mtihani
Na SWALI KAZI JIBU
SEHEMU A: MATENDO YA
1
KIHISABATI (ALAMA 10) (@1mark)
255 + 96 + 1007 =
(i)

125 – (225 ÷ 5) =
ii

1 2
7 -4 =
iii 6 3

2 7 19
+ + =
iv 5 15 30

2.55 ÷ 0.15 =
v

3 3
2 x3 =
vi 5 4

6 4
2 x3 =
vii

1 3 5 7
(6 ÷ 2 ) - (12 ÷ 7 ) =
viii 3 8 6 10

4 + (0.5 x 4)
ix

3 – 2.718 =
x

2 SEHEMU B: MAFUMBO (ALAMA 30)


(@1mark)
(i) Mwalimu aligawa zawadi ya
machungwa kwa wanafunzi wanne
kulingana na ufaulu wao. Ikiwa
mwanafunzi wa kwanza alipata
machungwa 2, mwanafunzi wa pili
alipata chungwa moja na mwanafunzi
1
wa nne alipata ya chungwa. Je,
4
Na SWALI KAZI JIBU
mwanafunzi wa tatu alipata kiasi gani?
Ni namba gani iliyo ndogo kuliko 180 na
ii kubwa kuliko 160 ambayo inagawanyika
kwa 17 bila kubaki?
Watoto watatu wanacheza mchezo wa
kupiga makofi, wa kwanza hupiga
makofi kila baada ya sekunde 15, wa pili
kila baada ya sekunde 10 na
iii
mwanafunzi wa tatu kila baada ya
sekunde 5. Je, ni baada ya sekunde
ngapi watapiga makofi tena kwa
pamoja?
Orodhesha namba shufwa zote zililopo
iv kati ya 20 na 35 ambazo ni kigawe cha
4.
Fikiria namba. Toa tisa kutoka katika
namba hiyo. Jibu lake ni sawa na robo
v
ya namba hiyo. Je, namba hiyo ni
namba ipi?
Vita vya kwanza vya Dunia vilianza
mwaka 1914 na kuchukua muda wa
vi miaka 4 kwa vita hivyo kumalizika.
Andika mwaka huo ambao vita
vilimalizika kwa kirumi
Uzito wa wanafunzi wa nne wa darasa
la kwanza ni kama ifuatavyo; Jimy ana
3(i)
kg 2.5, Sofia ana k 6.3, Monika kg 3.4
(@2marks)
na John kg 5. Tafuta wastani wa uzito
wao katika kilogramu na gramu.
5 1 1
Ikiwa m: = : 2 , tafuta thamani ya
6 6 2
ii
m

Mwaka jana kitunda alivuna magunia


357 ya alizeti. Mwaka huu mavuno yake
iii yamepungua kwa magunia 98. mwaka
huu kitunda amepata magunia
mangapi?
Umri wa mama ni mara tano ya umri wa
4(i)
mtoto. Iwapo jumla ya umri wao ni
(@2marks)
miaka 54, tafuta umri wa mtoto.
Baada ya muda gani sh. 67200
ii zilizokopwa SACCOS inayotoa riba ya
5% faida yake itakuwa ni sh. 6720?
Moza alikwenda sokoni kununua bidhaa
zifuatazo: mchele kgm 5@ 1300,
iii
vitunguu kgm 3@ 800, viazi kgm 3@
5000. Jumla alitumia kiasi gani?
5(i) Basi la Shabiby line lilisafiri toka Kibaha
(@2marks) kwenda Dodoma umbali wa km 480 kwa
Na SWALI KAZI JIBU
mwendokasi wa km 80 kwa saa. Iwapo
liliondoka saa 0415 lilifika Dodoma saa
ngapi?
Tanki la maji lenye kina cha m 3 lina
nusu kipenyeo cha m 1.4. Tanki hilo
ii limejaa maji hadi kwenye kina cha m
2.6. Kutahitajika lita ngapi zaidi za maji
ili kulijaza tanki hilo?
Loli limebeba mzigo wa tani 15 za
iii sukari. Je, loli hilo limebeba mifuko ya
sukari ya kg 25 mingapi?
Ikiwa a = 12, b = 8, c = – 6, tafuta
2
6(i) a +bc−c
(@2marks)
thamani ya: (Andika jibu
a−c
katika sehemu)
24 3n
ii Tafuta thamani ya n, iwapo
n
= 8
Watu 24 hujenga nyumba 8 kwa siku
1
36. Baada ya kazi hiyo kufanyika ,
iii 3
watu 12 waliongezeka. Je, kazi hiyo
itachukua muda gani kumalizika?
SEHEMU C: MAUMBO NA TAKWIMU
(ALAMA 10)

Kielelezo cha takwimu kwa duara


kifuatacho kinaonesha mifugo ya Mzee
Masanja. iwapo jumla ya mifugo yake
yot ni 1400, Tafuta idadi ya ng’ombe
aliokuwa nao

7(i)
(@2marks)

ii Grafu ifutayo inaonesha kiasi cha mvua


kilichoreikodiwa katika kituo cha
Maganzo kuanzia Jumanne hadi
Ijumaa. Tafuta wastani wa kiasi cha
mvua kilichonyesha.
Na SWALI KAZI JIBU

Juma alikimbia kuzunguka umbo hili


mara 15. Je, atakuwa ametembea
22
kilometa ngapi? (π = )
7

8(i)
(@2marks)

Nini thamani ya m katika umbo hili?

ii

Tafuta eneo la mstatili ABC, ikiwa


mzingo wake ni sm 98

iii
MAJIBU ANSWERS

1. (i) 1358 1. (i) 1358


(ii) 80 (ii) 80
1 1
(iii) 2 2 (iii) 22
1 1
(iv) 1 2 (iv) 12
(v) 17 (v) 17
3 3
(vi) 9 4 (vi) 94
(vii) 5184 (vii) 5184
(viii) 1 (viii) 1
(ix) 6 (ix) 6
(x) 0.282 (x) 0.282

1 1
2. (i) 2
2. (i) 2
(ii) 170 (ii) 170
(iii) sekunde 30 (iii) 30 seconds
(iv) 24, 28 na 32 (iv) 24, 28 na 32
(v) 12 (v) 12
(vi) MCMXVIII (vi) MCMXVIII

3. (i) kg 4 gm 300 3. (i) 4Kg 300g


1 1
(ii) 18 (ii) 18
(iii) magunia 259 (iii) 259 sacks

4. (i) miaka 9 4. (i) 9yrs


(ii) miaka 2 (ii) 2yrs
(iii) shilingi 23900 (iii) 23900 shillings

5. (i) saa 4:15 asubuhi 5. (i) 10:15 a.m


(ii) lita 2464 (ii) 2464 litres
(iii) mifuko 600 (iii) 600 bags
2
6. (i) 53 2
6. (i) 53
(ii) n = 8
(ii) n=8
(iii) siku 16
(iii) 16 days

7. (i) ng’ombe 525


(ii) mm 22.5 7. (i) 525 cattle
(ii) 22.5 mm
8. (i) km 17.7
(ii) m = 900 8. (i) 17.7 km
(iii) sm2 468 (ii) m = 900
(iii) 468 cm2

You might also like