Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

Zaburi 97,1,2-3ab,3cd-4.

6b Music:Charles KIPILI
Siku ya Mungu ya sita ya paska B Lubumbashi 24/04/2024

         
     
      
         

S
A


                    
Bwa na a me ju li sha wo ko vu wa ke mbe le ya ma

T
B           

    
          

5

           
 
cho ya ma ta i fa

        

ma cho

 
        
8

         
  

1 Mwimbieni Bwana mwimbo mpya,


kwani amefanya maajabu.
amepata ushindi kwa mkono wake wa kuume,
kwa mkono wake mtakatifu.

2 Bwana amejulisha wokovu wake;


mbele ya mataifa amefunua haki yake.
amekumbuka wema na uaminifu wake
kwa nyumba ya israeli.

3 Mipaka yote ya dunia imeona


wokovu wa Mungu wetu.
mshangilieni Bwana,nchi zote.
shangilieni mbele ya Bwana Mfalme!

You might also like