Kiswahili F1 Holiday Assignment

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

SHULE YA UPILI YA WASICHANA YA BISHOP GATIMU NGANDU

102/3 KISWAHILI
KIDATO CHA KWANZA
KAZI YA LIKIZO
MASWALI
1.Eleza maana ya hadithi
2. Jadili vipengele vya kuzingatia katika uchanganuzi wa hadithi
3. Fafanua vipera ya hadithi.
4. Taja aina za wahusika katika hadithi za kimapokeo
5. Nyimbo hutumika wakati wa utambaji wa hadithi. Eleza umuhimu wa nyimbo katika utambaji
wa hadithi
6. Eleza umuhimu wa aina zifuatazo za ngano katika jamii
i) ngano za mtanziko
ii) ngano za usuli
iii) ngano za kiayari
7. Tofautisha kati ya Hurafa na Hekaya.
8. Tofautisha ngano na hadithi
9.Fasihi simulizi huwa na majukumu katika jamii. Je, utanzu wa hadithi una dhima gani?
10. Kufanikiwa kwa uwasilishaji wa hadithi hutegemea fanani. Dhibitisha
11. Tathmini umuhimu wa visasili.
12. Tofautisha mighani na visasili
.13. Fafanua sifa bainifu za hurafa
14. Fomyula za ufunguzi na kumalizia katika hadithu zina umuhimu gani katika utambaji wa
ngano

You might also like