Barua Ya Kusimamishwa Masomo

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

KUMB: ITSF/SNU/TL/001/2022

05/10/2022

JINA LA MWANAFUNZI: SABASTIAN AUGUSTINE HALL

NAMBA YA USAJILI: _________________

KITENGO: TAMHIID

Assalaam a’laykum,

YAH: KUSIMAMISHWA MASOMO.

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Uongozi wa markaz Sheikhil Islaam
ibn Taymiyyah unapenda kukujulisha kuwa umesimamishwa masomo kuanzia
tarehe 10/10/2022.

Kuanzia tarehe 10/10/2022 hautotambulika kama mwanafunzi wetu kutokana na


kushindwa kufuata sheria na taratibu za markaz.

Hivyo, tafadhali rejesha mali zote za markaz ulizonazo kabla ya kuondoka.

Ahsante kwa ushirikiano wako kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja, tunakutakia
kila la kheri katika safari yako ya kutafuta elimu.

Wako

____________________

Sheikh Kassimu Mafuta Kassimu

Mudir Markaz Ibn Taymiyyah

Pongwe – Tanga.

You might also like