Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 7

Seventh-day Adventists Church SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION

Public Campus Ministry Tanzania Universities and Colleges Adventist Students


Association (TUCASA)
Conference Headquarters,
P. O. Box 131,
Mbeya Tanzania.
Email: tucasamust2022@gmail.com
TUCASA_MUST Phone: +255679274196 katibu mkuu
Phone: +255626145178 naibu katibu mkuu

ADVENTIST POSIBILITY MINISTRY

`IDARA YA HUDUMA WEZESHI YA KIADVENTISTA TUCASA MUST

TAARIFA YA UTENDAJI KAZI NA MAKABIDHIANO MWAKA 2023/2024

Taarifa hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo,

1. UTANGULIZI
2. MIPANGO KAZI KATIKA IDARA
3. MIPANGO KAZI ILIYOTEKELEZWA
4. MIPANGO KAZI AMBAYO HAIJATEKELEZWA
5. MCHANGANUO WA BAJETI
6. MAPATO NA MATUMIZI
7. CHANGAMOTO
8. MAPENDEKEZO
9. MAKABIDHIANO
10. HITIMISHO

1. UTANGULIZI.
BWANA wa mbinguni ahimidiwe milele kwani rehema zake ni nyingi hata sasa.
Tunamshukuru Mungu kwa kuwa pamoja nasi katika kipindi chote cha uongozi, licha ya
changamoto zilizo jitokeza, amezidi kuwa pamoja nasi katika kuendeleza kazi yake hii ya
utume kwa watu wote

2. MIPANGO KAZI KATIKA IDARA


Idara iliweka mipango ya utendaji kazi kwa mwaka 2023/2024 kama ifuatayo,
Seventh-day Adventists Church SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION
Public Campus Ministry Tanzania Universities and Colleges Adventist Students
Association (TUCASA)
Conference Headquarters,
P. O. Box 131,
Mbeya Tanzania.
Email: tucasamust2022@gmail.com
TUCASA_MUST Phone: +255679274196 katibu mkuu
Phone: +255626145178 naibu katibu mkuu

 Kutoa huduma kwa watu wote walio na mahitaji yanayowezekana ndani ya tawi letu
na hata nje ya tawi.
 Kujifunza neno la Mungu na ukuu wake pamoja na wenye mahitaji yanayowezekana
hususani wenye changamoto ya usikivu.
 Kuwa na kiti maalumu kwa ajili ya mkalmani wa lugha ya alama.
 Kuwa na darasa la kujifunza lugha ya alama ndani ya tawi.
 Kuwa na sabato moja maalumu kwa ajili ya watu wenye mahitaji yanayowezekana.
 Kurekodi santuri muonekano ya wimbo mmoja kwa lugha ya alama.
 Kuanzisha darasa la kujifunza lugha ya alama mtandaoni kupitia channel yetu ya
TUCASA MUST.
 Kuongeza idadi ya wakalimani wa lugha ya alama.

JINA LA MKALMANI NAMBA YA SIMU


Kelvin Daudi Thomas 0762929465
Elia A. Mwasiposya 0625754542
Owden 0627251965
Bariki 0623674187
Pedaely Lucas 0678458562
Jesca Malima 0657032613
Lazaro Magile 0742629863
Emmanuel Kulwizila 0768145986
Kyage 0621763297
Seventh-day Adventists Church SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION
Public Campus Ministry Tanzania Universities and Colleges Adventist Students
Association (TUCASA)
Conference Headquarters,
P. O. Box 131,
Mbeya Tanzania.
Email: tucasamust2022@gmail.com
TUCASA_MUST Phone: +255679274196 katibu mkuu
Phone: +255626145178 naibu katibu mkuu

MPANGO KAZI BAJETI YA TAWI IDARA (Tsh) JUMLA (Tsh)


(Tsh)

Kurekodi santuri 150,000 50,000 200,000


muonekano

Sabato maalumu 50,000 - 50,000

Darasa mtandaoni - 10,000 10,000

Kiti 40,000 - 40,000

240,000/= 60,000/= 300,000/=


Seventh-day Adventists Church SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION
Public Campus Ministry Tanzania Universities and Colleges Adventist Students
Association (TUCASA)
Conference Headquarters,
P. O. Box 131,
Mbeya Tanzania.
Email: tucasamust2022@gmail.com
TUCASA_MUST Phone: +255679274196 katibu mkuu
Phone: +255626145178 naibu katibu mkuu

6.MAPATO NA MATUMIZI

HITAJI MAPATO(Tsh) MATUMIZI(Tsh) CHANZO CHA


MAPATO

Huduma Huduma nje ya tawi 8,500 8,500 Wanaidara


kwa (kutembelea Iyunga
wenye Secodari
mahitaji
Huduma zingine za 43,700 -
ufikiaji wa wahitaji

Sabato Maalumu 37,000 37,000 Mfuko wa tawi

Kurekodi Santuri muonekano 7,000 - Wanaidara


Seventh-day Adventists Church SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION
Public Campus Ministry Tanzania Universities and Colleges Adventist Students
Association (TUCASA)
Conference Headquarters,
P. O. Box 131,
Mbeya Tanzania.
Email: tucasamust2022@gmail.com
TUCASA_MUST Phone: +255679274196 katibu mkuu
Phone: +255626145178 naibu katibu mkuu

Kiti 52,000/= 52,000/= Wanachama

JUMLA 148,200/= 97500/=

NB;Salio la idara ni, Tsh 50,700

7.CHANGAMOTO.
 Mtanzamo hafifu kwa baadhi ya wanachama juu ya mambo yahusuyo idara kwa
ujumla na uhusika wa wanachama katika idara. Hii ni kutokana na ufahamu mdogo juu
ya idara hii kwani idara ni mpya ndani ya chama
 Mahudhurio yaliyo zorota kwa baadhi ya wanachama wanadarasa wa lugha ya alama
na baadhi yao kutokuwa na mazoezi binafsi ili kuufikia ukalmani. Hii ni kwasababu
baadhi ya wanadarasa hutazama lugha ya alama kama jambo la ziada hivyo kukosa
umakini
 Kuwa na idadi kubwa ya wanadarasa ambao hawana mahudhurio endelevu hivyo
kushindwa kukuza ujuzi wa lugha ya alama. Hii imesababishwa na Ugumu wa ratiba
za watu binafsi na kukata tamaa kuendelea kujifunza lugha hii baada ya kuona ugumu

8. MAPENDEKEZO.
 Kwa kuwa utume ni kuwafikia watu wa namna zote .Idara inashauri kila Mwanachama
kuhakikisha anashiriki kwa namna yoyote katika kuwahudumia wale wote wenye
mahitaji, watu ambao tunaweza kuwasaidia kwa nguvu zetu, mali zetu na hata kuwatia
moyo, na kuwa chanzo cha tumaini kwa hao.
 Kila mtu awiwe kujifunza lugha ya alama ifundishwayo bure hapa, kwani faida zake ni
kubwa na nyingi pia.
 Mpango kazi wa kurekodi santuri muonekano ukamilishwe mapema katika muhula
huu wa masomo kwani, upo katika hatua nzuri za ufanikishaji
 Kama tawi kwa ujumla kwa kushirikiana na idara hii kikamilifu, ziandaliwe siku
maalumu katika robo ambazo zitatumika kuwafikia watu wenye mahitaji yanayo
wezekana na kuwasaidia katika mahitaji yao
Seventh-day Adventists Church SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION
Public Campus Ministry Tanzania Universities and Colleges Adventist Students
Association (TUCASA)
Conference Headquarters,
P. O. Box 131,
Mbeya Tanzania.
Email: tucasamust2022@gmail.com
TUCASA_MUST Phone: +255679274196 katibu mkuu
Phone: +255626145178 naibu katibu mkuu

 Viandaliwe vyeti maalumu (pamoja na mtihani thabiti) kwa wanadarasa watakao fuzu
ujuzi huu, kwani vitatoa hamasa kubwa kwa wanachama, na kupelekea kutia nia na
juhudi

9.MAKABIDHIANO.

Hakukuwa na kitu chochote tulicho kabidhiwa maana idara ni mpya na imeanza baada
ya awamu hii ya uongozi kuanza.
Tunakabidhi vitu vifutavyo ;
 Nguo za wahitaji ambazo zilikabidhiwa katika idara ili kugawa kwa wahitaji.
 Darasa la watu 12 wanaojifunza lugha ya alama
 Notebooks 4 (zilibaki sabato ya APM)
 Taarifa ya utendaji kazi hadi December 31.
 Pesa ambayo ni salio la idara mpaka sasa, Tsh.50,700

10.HITIMISHO

Idara ya APM inapenda kutia moyo uongozi unaofuata hasa kiongozi wa idara hii.
Kujitoa binafsi kwa kiongozi na ushirikiano baina ya wanachama siku zote hufanikisha
mambo yanaonekana kuwa magumu na hupelekea ufanisi katika kazi.

Zaidi ya yote idara inatoa shukrani kwa ushirikiano kutoka kwa wanachama na
wanaidara kwa ujumla. Mungu Awabariki.

Taarifa hii imeandaliwa na TUCASA MUST Adventist possibility ministry coordinator;

ELIA A. MWASIPOSYA

TUNAWEZA ,NILAZIMA TUTAFANYA


Seventh-day Adventists Church SOUTHERN TANZANIA UNION MISSION
Public Campus Ministry Tanzania Universities and Colleges Adventist Students
Association (TUCASA)
Conference Headquarters,
P. O. Box 131,
Mbeya Tanzania.
Email: tucasamust2022@gmail.com
TUCASA_MUST Phone: +255679274196 katibu mkuu
Phone: +255626145178 naibu katibu mkuu

You might also like