Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 9

1.

HODI HONDI NIMEINGIA


1. Hodi hodi nimeiingia nyumbani mwake 2. Njooni tuingie nyumbani mwa Bwana
Hodi nikamshukuru Mwenyezi Mungu. Njooni kwa furaha njoni kwa furaha
Hodi nikamsifu Mwenyezi Mungu Njooni tumsujudie na tumwabudu
Hodi nikapokee Baraka tele Njooni kwa furaha njooni kwa furaha
Niingie kwa furaha na nderemo vifinjo na
chereko. Tuingie sote tushangilie, tumwimbie Bwana
2. Hodi nyumbani mwake kuna chakula ……. Mungu wetu, cheza ngoma kayamba na kinumbi
3. Hodi nyumbani mwake kuna kinywaji …… Tumwimbie Bwana Mungu wetu
4. Hodi nyumbani mwake kuna upendo …….
5. Hodi nyumbani mwake kuna furaha ……. 3. Tumfanyie shangwe mwanba wa wokovu
6. Hodi nyumbani kuna Amani …… Yeye ndiye bwana yeye Mungu mkuu
7. Hodi nyumbani mwake kuna Baraka …..
4. Njooni tumshukuru Bwana Mungu wetu
Kwa yale yote aliyotutendea

1 2
MISA SUBUKIA INJILI YA BWANA IENDE MBELE
Bwana utuhurumie 1. Injili yake injili yake Bwana aah inakuja kwetu sote tuipokee
Bwana , Bwana,Bwana utuhurumie *2 *2
Kristu utuhurumie, Kristu utuhumie *2 Injili ya Bwana iende mbele (iende)
Bwana,Bwana,Bwana utuhurumie *2 Kwa mataifa yote mataifa wote
Wanangojea neon hili la wokovu *2
UTUKUFU JUU KWA MUNGU 2. Injili yake inaleta wokovu oooh
(Utukufu juu kwa Mungu, na Amani ulimwenguni Inakuja kwetu sote tuipokee *2
Kwao watu wenye mapenzi,
Watu wenye mapenzi mema) *2 3. Injili yake inaleta Amani aah
Inakuja kwetu sote tuipokee *2
Tunakusifu tunakuheshimu twakuabudu tunakutukuza
Twashukuru kwa ajili yako, ya utukufu wako mkuu 4. Injili yake inaleta upendo ooh
Inakuja kwetu sote tuipokee *
Ee Mungu Baba ndiwe mfalme, mfalme wa Mbinguni Baba
mwenyezi
Ee Yesu kristu mwana wa pekee, mwana Kondoo mwa wa
Baba BIBLE PROCESSION
5. 1. Injili yake Bwana ni neon lake Mungu injili iende
Uondoaye dhabi za watu tuhurumie tusikilize, 6. mbele ah ah ah *2
Tuhurumie mwenye rehema maombi yetu uyapokee (Injili iende mbele ah ah ah injili iende mbele ni neon la
wokovu ah ah ah) *2
Uketiye kuume kwake, Mungu baba tuhurumie 2. Ni neon lenye mwanga ni neon lenye nguvu na ni neno la
Kwa kuwa ndiwe pekee yako, pekee yako mtakatifu Amani ah ah ah *2
3. Injili yaokoa injili yaponyesha injili ya dumisha ah ah ah *2
Pamoja naye roho mtakatifu, katika utukufu wake 4. Mkristu jiandae kusikiliza neon lenye uzima ah ah ah * 2
Anayeishi na kutawala, milele yote Amina

3 4
SASA WAKATI UMEFIKA
Sasa wakati umefika, wa kushika nilicho nacho (mimi) ITEGA RIAKWA
Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi
Sasa wakati umefika kwenda mbele a Mungu wangu (mimi)
Aone nilivyoandaa zawadi ya leo. Itega riakwa kuri we Mwathani ndarehe baba nii
Nitamwambia Bwama pokea (hiki) kidogo nilichonacho ndinyihitie, tondu
Kwani Mungu wewe wanijua (mimi) siwezi hata kueleza
Nakuishi sana Baba unipokee Ukenagio ni kiria kiumite ngoro-ini ya mugutegeri itega,
Nigawie na Baraka niwe salama (ndahoya Baba itega riakwa uriamukire ‘norirathime) *2

1. Mema yote niliyokuwa nayo yametoka kwa Mungu 1. Mwathani we ndukenagio ni magongona ma njino
Hivyo name ni kosa kusahau, kumshukuru Nikio ndoka ndinyihitie amukira itega riakwa.
Kwani kuwepo hapa leo hii ni kazi ya nani
Kamwe mimi sitapata uwezo, pasipo Mungu
2. Ukenagio ni igongona riumite ngoroini yakwa
2. Mema aliyotenda Mungu nijibu linin a vipi, Riria ritegagwo iguru aratareini yaku theru
Mbona hofu yazidi kuwa ndani, ya moyo wangu
Mbele ya Bwana Mungu wangu kufanya siri ni bure 3. We Mwathani Ngai wakwa we niwe uhonokagia
Yeye ndiye mpanga mambo yote, ya wanadamu He muoyo wa gugutiia thiini wa igongona itheru
3. Pumzi inayonipa uhai inatoka kwa nani?
Bila Mungu hakika mwanadamu, siwezi kitu
Nimepata nafasi ya leo ya kwenda kutoa zawadi
Heri niende ya kesho sio yangu, ajua Mungu

4. Ewe mwumba wa vyote duniani na vyote mbinguni,


Mimi leo nakuja kwako Baba, nihurumie.
Baba we ndiwe unayetawala kulala na kuamka kwangu,
Juu yangu utake nini Baba, kisifanyike.

5
6
SADAKA TUNAYOKUTOLEA
149. NAONDOKA MIMI
Sadaka tunayokutolea (Bwana). Sadaka twaileta kwako,
Twaomba ee Baba ikupendeze, Pokea Bana na uibariki *2 Naondoka mimi naenda kwa Baba,
1. Sadaka tunayokutolea ni ishara ya shukurani, Nipeleke hiki nilichokipata, japo kidogo,
Kwa neema zako nyingi unazotunjalia (Mungu) kila siku. Sitaona haya, nimeamua, sitarudi nyuma
2. Mkate kiini cha ngano, na Divai ya mzabibu,
Tunakutolea ili uzingeuze ziwe (mwili) na damu yayo. Nakuja polepole Baba,
3. Sadaka ya fedha zetu Bwana taileta kwako Mungu ni Nakuja na zawadi yangu
mazao ya juhudi. Naleta mbele zako, ili nitoe shukurani *2
Katika kazi zetu (Mungu) baba pokea.
4. Twaleta pia nafsi zetu kwako ewe Bwana Mungu tujaze Natembea mimi mwendo wa madaha,
neema zako, Nakanyaga chini kwa maringo tele,
Tuishi kwa mapendo (kweli) mapendo yako. Naelekea altare ya Bwana,
Nimkabidhi nilichojaliwa.

Nimechangamka ninashangilia,
Napiga kelele,kelele za shangwe
Nachezacheza, najongea kwako,
Ee Mungu Baba Nipokee mimi.

Nafsi yangu mimi naileta kwako,


Mkate divai,pia ninaleta
Uigeuze mwili na damuyo,
Chakula chetu, tunaosafiri

Mavuno shambani mimi nimevuna,


Mifukoni fedha nimekabidhiwa,
Mimi ni nani, nisikushukuru,
Baba nasema asante kwa yote.

7 8
NGINYUKITIE 18. MTAKATIFU
1. Nginyukitie nguite muigate na divai, niguo ngutegere Mtakatifu mtakatifu mtakatifu mungu wa wajeshi
Mwathani ciamukire *2 Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni *2
Ndahoya, ndakuhoya Mbarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana
Ngai ujitururirie irathimo ciaku Hosanna hosanna hosanna, hosanna juu mbinguni *2
2. Mokoini ma muguthijiri amukira mbeca, 19. FUMBO LA IMANI
3. Gacunji kanini tu ka nyingi uhete. *2 Hili ni fumbo la Imani Kristu alikufa, Kristu alifufuka, Kristu atarudi
4. Nguite na moko magetha kuma migunda, tena *2
Maciaro ma mimera iria tuhandaga *2 AMINA (Subukia Mass)
5. Irathimo ciaku ni ningi we Ngai wakwa, Amina,Amina,Amina,Amina
Ndakuhoya mwathani unjitururirie. *2

SALA YANGU
Sala yangu na ipae mbele yako, Kama moshi wa ubani
*2 MWANAKONDOO
1. Ee Bwana upokee sadaka yetu, Tunayokutolea kama ENGLISH
shukraniyetu,
Ee Bwana pokea.
2. Ee Bwana upoke dhabihu zetu, Tunazokutolea
kutoka mashambani,
Ee Bwana pokea.
3. Ee Bwana upokee pia nia etu, Tunazokutolea kwa
moyo wetu wote,
Ee Bwana pokea.

9 10
KAMA AYALA
Kama ayala aioneavyo kiu mito ya maji ndivyo Riria ndiritwo ni hinya niwokire ….
Ninavyokuonea kiu Mungu wangu *2 Ukinyumiriria ukinjoya na iguru ….
1. Ninatamani kushibishwa kwa damu yako Mungu Maithori makwa ukimatua gikeno …
Wangu.
2. Umeniumba kwa ajili yako ndiyo maana sishibishwi, Ngutura nyinaga utugi waku …..
Utanituliza nafsi yangu Mungu wangu uliye hai. Na ndure ngutungataga nginya tene …
3. Karibu Bwana moyoni mwangu niishi kiekaristia ili Mwathani wakwa tuura umenyereire ….
Nipate raha ya keli nikupendeze siku zote
THANKSGIVING IRAI ARIA MAHUTII
NI THENGIU MWATHANI Irai aria mahutii, irai aria manyotii(othe ni )- moke
Kuria undutite ni kuraya Ngai-Ni thengiu Tuthii hame,
Mwathani ni thengiu Tuthii kirugo-ini kia Mwathani *2
Maria undu ingiuga no ngocokeirie ngatho… 1. Mugate uyu mukuona, na njohi ino mukuona, ni mwiri na
Ngoro yakwa iyuire gikeno, ni kuona uria we Ngai thakame ya Yesu.
Unyendete ni ukinyaniirie irathimo ciakwa Ngai 2. Kirugo giki mukuona, ni kia muthemba wa mwanya,
Nikio nguina rwimbo ruru rwa ngatho *2 Ni Kristu we mwene irio ciitu.
Ni watuhunia na kigo giaku Ngai… 3. Metha ni irikiteie kwarwo, na irio ni irikitie kuhia, ni tuthii
Na watuhunia na mwiri waku Ngai… Twamukire Mwathani.
Ni watunyotora na thakame yaku…. 4. We na we uikaire hau utarathii kwamukira, ni kii
Kiraagiria wamukire?
Haria thu iikagio ma tiho iguaga …. 5. Theria ngoro yaku ithere, niguo wamukire Kristu, ukagaya
Mwathani niundutite rukungu-ini …. Muoyo utagathira.
Ugekira kanua gakwa rwimbo rweru…

Uhotani uyu ni waku wee Mwathani ….


Reke njage kuoneka wee wonekane …
Rita riaku rigocagwo tene na tene ….

11
25. Tarora irathimo
Tarora irathimo (wone) 8.NITUKENERE MUHIKI
Uria Ngai ekite wone (wone) 1. Nitukenere muhiki na tukenere muhikania
Ngai ari hamwe na andu ake *2

1. Kuma twaigua mugambo wa Mwathani …. Aaaaaa iii haiya ciana citu riu nimwatukia mutumia
Ngai ari hamwe na andu ake wake

Waingira ngoro-ini riu no gwathika 2. Rubaru nironekire, na rugikirwo handu haruo

Ngai ari hamwe na andu ake 3 Na ningi ruohwo na mukwa, na mukwa uta
kudurikaga
2. Micii itu Ngai niarathimite
Wendo na gikeno ituraga na ithui 4 Thengiu muno muno Ngai, tondu wa
Ciana citu nacio niciathikaga kumanyitithania

3. Mawira ma moko niarathimite 5 Nitugikene o gukena, nitukiruhie o kuruhia


Makumbi no kuiyuririra
Tuhunite ngoro na miiri itu

4. Kwaya citu Ngai niarathimite


Tuinagira Ngai twina gikeno
Wirutiri witu niarathimite

12 13
12. MUTUMIA NGATHA
Mutumia uria ngatha e hinya muno kuoneka
(ni gukorwo thogora wake ni thogora ukirite wa tuhiga
Turia twa ngoro) *2

1. Ni atugaga athini aria akia akamohorera indo ciake


Mutumia uria ngatha mutumia ngatha e goro
Kwagia mbaa ndamakaga, andu ake mena nguo
Cia urugari

Mutumia uria ngatha mutumia ngatha e goro


Uriri wake ni mugemu e’humbaga nguo ca gatani
Mutumia uria ngatha mutumia ngatha e goro

2. Muthuriwe ni oi owega ni mutongoria wa kirindi


Atumaga nguo cia goro akenderia ahuri a biacara
Ari hinya na I atiitwo ndamakagio ni uria wi thutha

3. Aragia na uugi na kio kirira giake no kiria kiega


E kio na maundu ma mucii ndariagira irio uguuta
Ciana ciugaga arorathimwo, maitu witu arorathimwo

4. Muthuri-we niamugaathaga niamu niakirite ngatha


ciothe
Niatiite Mwathani niamu mithaiga na uthaka no tuhu
We ni wa kugaathagwo ni undu wa mawira maria
arutaga

14

You might also like