Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 10

Matendo ya Mitume 2 : 37 – 39

0
Wakati waliposikia maneno
haya wakachomwa katika mioyo
yao, wakawaambia Petro na
mitume : Ndungu zetu, tutafanya
nini ?
Petro akawaambia :
Tubuni mukabatizwe kila mmoja
kwa jina lake Yesu Kristo, mupate
ondoleo la zambi zenu, nanyi
mutapokea zawadi ya Roho
Mtakatifu.
Kwa sababu ahadi hii ni kwa
ajili yenu, na watoto wenu, na
kwa watu wote walio mbali, na
wote watakaoitwa na Bwana
Mungu wetu.

MAFUNDISHO YA UBATIZO KWA MAJI MENGI

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7è JOUR


ARRETE MINISTERIEL 763/ 21/ 5 / 2005
M

Fr. Gaétan Daniel Numbi


1

MAFUNDISHO YA UBATIZO KWA MAJI MENGI

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
2

I. MAFUNDISHO YA UBATIZOWA

Ubatizo ni kitu gani ? ao maana ya ubatizo ?


Kwa kueleza maana ya ubatizo ni kitu gani sherti tujue kwanza namna
ya ubatizo.

II. AINA YA UBATIZO

Tangu zamani tu kitazama kitabu ki takatifu tu naona kama


kulitimizwa ubatizo wa namna nyingi.
1. UBATIZO WA NOWA

Kwa wakati ule wale wasiotu wale watenda zambi,


waliganizwa.
Na watu wanane tu wa kaokolewa katika siku za nowa, wakati
safina ilikuwa ikitengenezwa wachache tu waliokolewa kwa maji
nikusema Mungu aliwe kuokowa watu wenye kumuogopa kunjia
ya maji.
Nai mufano wa maneno haya ni ubatizo unao waokoa ninyi sasa, si
kuondaha uchafu wa mwili, lakni ile ya roho na kupeleka zamiri
yetu safi mbele ya Mungu (1Petro 3: 20 – 21) hu ni ubatizo wa
kwanza.

2. UBATIZO WA MUSA

Kitabu kitakatifu kinasema ku (1 Korinto 10 : 1- 2 ):


Kwasababu ndungu zangu, sitaki mukose kujua kama babu zetu
walikuwa wote chini ja wingu, wote wakapita kati ya bahari. Wote
wakubatizwa na musa katika wingu na bahari.

Ni kusema watu wale waliokuwa katika mistri wa liishi katika


inchi ya uwovu na kuaa pa maoja na wawovu na kutenda ubaya
kwa hivi Mungu alipenda wole watu watoke katika ubaya. Ni

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
3

kusema watoke katika utumwa , nahivi ili wafaa sana wabatizwe


hivi waitue watu wa Mungu.

Kumbe ni kwa kubatizwa tu tunaweza kuitwa wana wa Mungu, hii


ili kuwa ni ubatizo wa pili hona ubatizo wa Musa.

3. UBATIZO WA YOHANO

a. Hii ubatizo wa yohano ilikuwa tu ni ubatizo watoba kwa


usamehe wazambi ni ubatizo wakutengeneza mapito ya Bwana,
watu wapate kutubu zambi zao na kuamini yule mwenye kuja ni
yeye mwana wa Mungu anayendoa zambi za dunia (Marko 1 : 1
– 4, Matayo 3 : 5 – 6, Luka 3 : 8).
b. Hata Yesu Kristo na mitume wake wakati wa kazi zake apo
dunia alibatiza ubatizo watoba kwa wababu kwa kupata
ondoleo la zambi ilifaa Yesu amwange damu yake (Yohana 3 :
26 – 29 ).

4. UBATIZO WA MITUME

Hii ndio ubatizo wa ondoleo la zambi :

- Kumbe wa mitume kisha Yesu kupanda mbinguni na kupokea


Roho mtakatifu walianza kazi ya kubatiza watu kama vile bwana
aliyo wa hamuru (Marko 16 : 15 – 16).
- Hii ubatizo ni ubatizo wa Yesu Kristo ni kusema wa mitume
walibatiza kujina la Yesu Kristo ndio ubatizo waondoleo la
zambi (Matendo ya mitume 8 : 12). Basi tu kihisha kutazama
aina ya ubatizo tuta sema kama ubatizo ni kitu gani ? Neno la
Mungu linasema Bwana Yesu Kristo anasema kweli, kweli ni na
kuambia ila mutu azailiwe mara wa pili hawezi kuona ufalme
wa mbingu (Yohano 3 : 2 – 6, 3 : 22 – 26) kumbe ubatizo ni
kuzaliwa mara ya pili. Kumbe ni kutoshwa katika lufu ni ubatizo
wa Nowa, katika utumwa ni ubatizo wa Musa, kutoka katika

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
4

mauti ya zambi ni ubatizo ya Yesu Kristo (Matayo 3 : 1 – 17).

5. UBATIZO UKAMILI (wakati wetu wa sasa)

Kuna namna nyingi ya ubatizo :

- Ubatizo wa Nowa ;
- Ubatizo wa Musa ; -
Ubatizo wa Yoano ; -
Ubatizo wa mitume.

Kwa wakati waleo ubatizo kuna tena ibada nyingi ni hii


tunakuta ubatizo wa :
1. Yohana ;
2. Mitume ;
3. Ubatizo wa kunyunyuza maji ;
4. Ubatizo kwa jina la baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.

Kumbe ubatizo wa kweli ni ubatizo gani ?


Tuhulize neno namna wa mitume walioyo batiza na vile
Yohano, Yesu na mitume walibatiza.

5.1. KWANZA

Toka Yohano mubatizaji bwana Yesu Kristo na wa


mitume wote walibatiza watu ni ndani ya maji.

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
5

5.1.1. TUTAZAME MANDIKO

Bwana Yesu Kristo aliye ni kiongozi wetu ali


batizwa ndani ya muto Yordani alingishwa
katika maji (Marko 1 : 9, Matayo 3 : 16)
kumbe ubatizo ni ndani ya maji.

Tukitazama ubatizo wa mitume pamoja na


Yesu Kristo ajakufa na kufufuka nipaka ndani
ya maji ( Yohano 3 : 22 – 23 ) kisha kupanda
kwake Yesu Kristo mbinguni na kisha
kupokeya Roho Mtakatifu wa mitume vile
vile wa libatiza katika maji ( Matendo 8 : 34
– 38 ).

Kumbe kanisa ya kwanza ilibatiza vile vile


ndani ya maji kama Yohano mubatizaji.

5.2. YA PILI

Ubatizo wa kunyunyuzia maji, hii ubatizo hauko


wenye kwandikwa katika kitabu takatifu kama Bibilia.

Kwani ubatizo uliotenda wa mitume ni ndani ya maji


(Matendo 8 : 38 ) mutume Paulo anasema hivi ku (Roma
6 : 4 ) hii tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo
katika kufa, hile inaonyesha kama ile ibada ya ubatizo ni
kujikwa pamoja na Kristo na kujikwa ni kuwekwa ndani
ya maji shikuwekwa tu undongo kidogo.

Ni hii bana ndika ku (Kolosayi 2 : 12) mulizikwa


pamoja naye katika ubatizo na kufufuka pamoja naye
kwa kwamini nguvu.

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
6

Basi ni kutiliwa ndani ya maji si kunyunyuziwa, hii ndio


ubatizo waneno ama namna Bibilia inauyo fundisha na
namna wakale wale yavio batiza.
Kinyunyuziwa maji hau kubatizo inafaa ubatizwe mara
igine.

5.3. YA TATU

Ubatizo wa Yohano kwa wakati wa leo ni ubatizo


wakweli.

Tutazama mandiko matakatifu, mandiko ya sema Yohano


mubatizaji alibatiza kwa ubatizo watoba akihambiya
watu wa mwamini yeye atakaye kuja nyuma yake ndiye
Kristo Yesu (Matendo ya mitume 19 : 1 – 5). Na wale
watu wakorinto walibatizwa mara ya pili kwa jina la
bwana wetu Yesu Kristo, ama ubatizo wa mitume
(Matayo 28 : 18 – 20).

5.4. YA INE

Ubatizo wa kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho


Mtakatifu.

Tukitazama katika kitabu kitakatifu hakuna mtu hata


moja alibatizwa katika ibada hiyi. Kwanini wa mitume
hawa kubatiza watu katika ibada hii ?

Basi Yesu Kristo mbele ya kupanda mbinguni aliwambia


wafuasi wake ta mitumia msaidizi yeye ata mifundisha
nyinyi yote, na kuwa kumbusha ninyi yote niliyo wa mbia
ninyi (Yohano 15 : 26).

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
7

Kumbe tunaona ya kama wanafunzi wa Yesu maneno


yote waliyo tenda ilitoka kwa Roho Mtakatifu.

Ni hii mitume wa libatiza tu ku jina la Bwana wetu


Yesu Kristo (Matendo ya mitume 2 : 38) Filipo vile vile
alibatiza kujina la Bwana wetu Kristo ( Matendo ya
mitume 8 : 15 – 16 ) Paulo alibatiza naye vile kujina la
Bwana Yesu Kristo (Matendo 19 : 1 – 5) kumbe Paulo ana
kikisha maneno ya ubatizo hii. Ni hivi anandika ku
(Galatia 1 : 11 – 12) kama hii maneno si kupata wala siku
fundishiwa na mutu lakini ni ufuno wa Yesu Kristo.

Na alindika ku (Wa Roma 6 : 3) asema munasau


kama sisi sote tu libatizwa katika Kristo. Ime andika kama
tu (Yohano 14 : 9 – 10) kama aliye niona mimi ameona
Baba basi Bwana ni Roho yule. Kumbe jina la Baba na la
Mwana na la Roho Mtakatifu ni Yesu Kristo (2 Korinto 3 :
17) kumbi katika ubatizo, ubatizo ule bwana Yesu Kristo
aliacha ni ubatizo wa mitume ni hivi hata Paulo aliambia
wale walio batizwa ubatizo wa Yohano wa batizwe mara
ya pili (Matendo ya mitume 19 : 1 – 5).

Hii ni ubatizo ulio amuriwa.

III. NANI ANASTAHILI KUBATIZWA

Kila mutu a naye amini Yesu Kristo ni mwana wa Mungu (Yohano


1 : 12 – 13, 3 : 16) kumbe kwa kubatizwa inafaa sana uwe na imani.
Yesu aliwambia wa mitume hendeni muka hubiri habari njema yule
atakaye amini atabatizwa (Marko 16 : 15 – 16).

Hata wakati wa mutume Petro halihubiri kwanza kisha aliwabatiza


wale wote walio amini maneno yale (Matendo ya mitume 2 : 37 –

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
8

38). Maneno haya yana tupeleka ku mafundisho makubwa yakusema


kwa kubatizwa inafaa :

- uwe kwanza muntu mwenye umbri wa kusikia neno la Mungu ;


- ya pili wamini, kumbe uwe mutu muzima mwenye umbri wa
akili ya kusikia neno la Mungu na wamini.

Kumbe mtoto kidogo hawezi ku batizwa (Luka 2 : 41 – 42).

Ubatizo wa watoto kidogo si ubatizo ni udanganifu ndani ya


kitabu kitakatifu hakuna fasi hata moja wali batiza watoto wa
dogo. Yesu Kristo aliye ni yeye neno hakuweza kubatiza watoto,
wala Yohano, wala mitume. Yesu alisema mwache watoto waje
kwangu na aliwabariki (Marko 10 : 13 – 16, Matayo 19 : 13 -
15).

Kumbe yule aliye batizwa ajapata umbri wa kusikia neno la


Mungu na ku amini sherti a batizwe mara ya pili yule aliye
batizwa kwajina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu
naye vile vile atabatizwa kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo
(Matendo ya mitume 19 : 1 – 6).

IV. MUDA WA UBATIZO

Tunaweza kusema kama ubatizo hauko na muda ?

Tunawweza kubatiza hata mutu asiye sikia neno la Mungu, sivyo Yesu
Kristo aliambia wa mitume wake aka wambia nendeni muka hubiri
habari njema wa kwamini atabatizwa (Marko 16 : 15 – 16).

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI
9

Hii neno linasema vizuri kuna wakati wa kujifunza habari njema ao


kusikiliza ma fundisho, kuna tena wakati wa kwamini kisha kubatizwa.

V. BASI KUNA MUDA

a. Kusikia habari njema ana kujifunza neno la Bwana ;


b. Wamini Yesu Kristo ya kuwa yeye ni mwana wa Mungu na mokozi
(Matendo ya mitume 8 : 28 – 39) ;
c. Mtubu zambi zako na ugeuke ;
d. Ubatizwe kwa jina la bwana Yesu Kristo.

VI. IBADA

Ibada yi tatazaniwa na wazee wa kanisa.

EGLISE DE DIEU JEHOVAH DU 7é JOUR ECRIT PAR LE FRERE GAETAN DANIEL NUMBI

You might also like