Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

HALIMASHAURI YA WILAYA YA MANYONI

SHULE YA MSINGI SAYUNI


MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA – (MACHI, 2022)
SOMO: SAYANSI NA TEKNOLOJIA DARASA: VI

JINA LA MWANAFUNZI:__________________________________
SEHEMU A: Chagua jibu sahihi
1. Ugonjwa hatari unaopatikana kwa sababu nyingi ikiwemo ngono zembe ni ____
(a) TB (b) pumu (c)Tenzi (d) hakuna jibu sahihi
2. Vifuatavyo nivyanzo vya wanga isipokuwa ____
(a) jua (b) mshumaa (c) kandili (d) sumaku
3. Kuna aina kuu ____ za maada
(a) 3 (b) 2 (c)4 (d)6
4. Sehemu ya Ua inayovutia wadudu ni ______
(a) sepali (b) petali (c)kikonyo (d)ovary
5. Kifaa kinachopima jotoridi ni _____
(a) kapani (b) barometa (c)themometa (d) joto
6. Figo, Ngozi na mapafu uhusika na mfumo wa binadamu ni _____
(a) uzazi (b) utoaji taka mwili (c) uzazi (d) upumuaji
7. Asilimia kubwa ya mwili wa binadamu ni ____
(a) maji (b)Damu (c)nyama (d)mifupa
8. Kila mamalia ana figo ____ katika mwili wake
(a) 1 (b) 2 (c) 3 (d) 4
9. Homoni huzalishwa katika ogani zinazoitwa _____
(a) aota (b)neva (c) tezi (d)ini
10. Mrija wa__hukusika na urutubishaji wa gamete uke
(a) tezi (b)filopia (c) gameti (d)hakuna jibu
11. Ugonjwa wa kuvimba koo ,Goita , Rovu hutokana na ukosefu wa madini gani?
(a) iodine (b) sodium (c) Fati (d) Maji
12. Kuna aina _____ za protini
(a) 3 (b) 4 (c) 5 (d)2
13. Panzi hupumua kwa kutumia ______ kwenye fumbatio
(a) spirako (b) aspirako (c) sespirako (d) sperekoni
14. Kuna aina _________ ya mivunjiko
(a) 3 (b) 6 (c) 2 (d) 4
15. Kitambaa mbeleko hutumika kumsaidia mtu aliyefanya nini?
(a) kuzirai (b) kuvunjia (c) kuharisha (d) kuumwa na nge
16. Sanduku la Huduma ya kwanza lina sehemu ______
(a) 2 (b) 3 (c) 4 (d) 5
17. Mimea hutumia __________ katika upumuaji
(a) spirako (b) stigma (c) stomata (d) staili
18. Tunapata …….. tunapokula vyakula kama korosho, karanga na ufuta
(a) joto (b) nishati (c) protini (d) wanga
19. Kukiwa na radi tunashauriwa ……
(a) kukimbia (b) Kulala (c) kusimama chini ya miti mirefu (d) hakuna jibu sahihi
20. Malaria ni ugonjwa unaoenezwa na mbu aina ya ……
(a) Anofeles (b) Kules (c)mbu yeyote (d) kupe
21. Kifua kikuu ni ugonjwa unaoathiri …………
(a) Moyo (b) Ini (c) Mapafu (d) korodani
22. Chembechembe zinazoulinda mwili usipatwe na madhari ni ……….
(a) chembe sahani (b) chembechembe nyeupe za damu
(c) chembechembe nyekundu za damu (d) seli nyeusi
23. Makundi makuu mawili ya viumbe hai ni ………
(a) mimea na nyumba (b) wanyama na mimea (c) mimea na vitu vingine (d) hakuna jibu
sahihi
24. Mtu anayestahili kufanya huduma ya kwanza ni …….
(a) mtu wa msalaba mwekundu (b) mtu yeyote wenye uwezo
(c) madaktari au waganga tu (d) kiziwi
25. Kichocho huenezwa kwa njia ya …………….
(a) Mkojo (b) Uchafu (c)Kinyesi (d) maji
26. Ugonjwa unyafuzi husababishwa na ukosefu wa … mwilini
(a) Vitamini (b) protini (c) mafuta (d) maji
27. Mvuke ni maji katika hali ya ……
(a) gesi (b) kimiminika (c) kuganda (d) yabisi
28. Nishati ya joto husajiri katika mada ya bisi kwa njia ya
(a) mpitisho (b) msafara (c) mnururisho (d) mfukuto
29. Maada ikipokea joto jingi huwa ina …………
(a) husinyaa (b) hutanuka (c) huongeeka uzito (d) uharibika
30. Mwanga husafiri katika mstari …………
(a) ulionyooka (b) popote (c) mstri ulipinda panda (d) ukinzani
31. Toroli ni nyenzo daraja la…….
(a) kwanza (b) pili (c) tatu (d) sita
32. Sifa moja wapo ya viumbe hai ni ………..
(a) kuzaliana (b) kutosogea (c) kutokula (d) Kufa
33. Mtu mwenye ugonjwa wa UKIMWI amembukizwa vijidudu viitwavyo ……
(a) VVU (b) UKIMWI (c) Ugonjwa (d) TB
34. Macho ni mojawapo ya ………
(a) kutambua vitu (b) milango ya fahamu (c)kuangali dunia (d) urembo
35. Mimea inapokuwa hufuata ….
(a) mwanga wajua (b) hali ya hewa yeyote (c) niahitaji maji tu (d) mbolea
36. Samaki hujongea katika maji kwa kutumia ………
(a) mabawa (b) mapenzi (c) mkia (d) ngozi
37. Kimbunga husababisha madhara ……
(a) kuezua majumba (b) kuependezesha mazingira
(c)kuleta baridi (d) yote majibu
38. Chanzo kikuu cha nishati hapa duniani ni ……..
(a) moto (b) jua (c) mkaa (d) gesi
39. Chuma, bati, shaba hupitisha ………… sana zaidi
(a) jua (b) moto (c)baridi (d) vuguvugu
40. Sauti iliyoakisiwa huitwa _____
(a) mwanga (b) kivuli (c) mkondo (d) mwangwi

JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI


41. Mtu mwenye uzito wa kg 60 amekaa umbali wa meta 1.5 kutoka kwenye egemeo. Tafuta
umbali kutoka kwenye egemeo iwapo uzito ni kg 30 ili mashine iwe katika msawazo

42. Tumia mchoro huu wa seli kujibu maswali yafuatayo


A ni ___________________ _ A
B ni ________________________ B
C ni ________________________ C

43. a)Chora mchoro unaoonyesha ncha za sumaku zilizo na pande mbili tofauti
b)Chora mchoro unaoonesha ncha mbili za sumaku zinazofanana
44. Taja sababu tatu za kukatika hedhi kwa mwanamke.
45. Jirani yangu alikula nyama ambayo haijaiva. Alipatwa matatizo. Na daktari alimwambia
kuwa ameugua ugonjwa. Je ni ugonjwa gani?

You might also like