Eva Mtendo 2

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

EVA MTENDO

S.L.P 17
18/9/2023

MIKOCHENI DISPENSARY
mikochenidisp@gmail.con
DAR ES SALAAM
YAH:OMBI LA NAFASI YA KAZI
KADA YA MTEKNOLOJIA
DAWA DARAJA LA PILI

Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Eva bervin mtendo kijana mwenye
umri wa miaka 26.Ni muhitimu wa stashahada ya uteknolojia dawa ,niliyehitimu
katika chuo cha afya na sayansi shirikishi Tabora polytecnic college mwaka 2021
Tabora. Nimesajiliwa na baraza la famasi kwa usajili wa namba 0404182
Kwa kurejea nafasi za ajira kwa mteknolojia dawa iliyotangazwa na kituo
chako. Ninaomba nafasi ya mteknolojia dawa daraja la pili, Nipo tayari kufanya
kaz kwa weredi na ufanisi mkubwa sana, nipo tayari kufanya kaz kwa bidii na
kwa ushirikiano na wenzangu. pia nina uzoefu wa kutosha katika kuifanya kazi hii
Pamoja na barua hii nmeambatanisha na vyeti vyangu vya taaaluma, wasifu na
cheti changu cha kuzaliwa. Nimatuamini yangu ombi langu litakubaliwa na
kufanyiwa kazi Asante

Wako mtiifu
Eva mtendo
E.mtendo
0658367236

You might also like