MTIHANI WA KUFUNGA MUHULA WA I, MEI 2019 SHULE YA MSINGI NYAKAGWE SOMO: SAYANSI DRS VI
JINA LA MTAHINIWA: MUDA: SAA 1:30
MAELEKEZO: pindu na ukoma C) pepopunda na malaria
01. Mtihani huu una jumla ya maswali 45 yaliyo D) matende na ukoma E) malaria na kifua kikuu gawanywa katika sehemu A na B. 11. Kifaa kifuatacho siyo muhimu kuwekwa katika 02. Jibu maswali yote kwa kufuata maelekezo kwa kila kisanduku cha huduma ya kwanza ____________ sehemu. A) wembe B) kijiko C) kibanio D) pimajoto 03. Andika majina yako kwa usahihi katika karatasi ya E) mkasi [ ] kujibia. 12. Viumbe wafuatao hutengeneza chakula chake kwa kutumia klorofili ____________ A) virusi B) SEHEMU A: ndege C) wanyama D) mimea E) wadudu[ Chagua na uandike herufi ya jibu sahihi. ] 01. Sehemu zifuatazo huhusika na utoaji wa 13. Mkasi, patasi, jeki na parafujo ni aina za mashine takamwili:-A) ngozi na figo B) tumbo na rahisi zinazoitwa __________ A) nyenzo B) figo C) bandama na moyo D) tezi na ini E) eksli C) roda D) rola E) tata [ moyo na mapafu[ ] ] 02. Mshipa mkuu unaosafirisha damu yenye oksijeni 14. Mtu anayeharisha na kutapika anapoteza _____ kutoka kwenye moyo kwenda sehemu mbalimbali mwilini. A) maji na damu B) sukari na za mwili huitwa:- A) vena ya palmonari chumvi C) maji na chumvi D) chumci nap B) ateri ya palmonari C) vena ya renali rotini E) chumvi na damu D) aota au ateri kuu D) ateri ya renali[ ] [ ] 03. Samaki huvuta hewa kwa kutumia nini? 15. Otyeno alitumia Newton 50 kusukuma ukuta wa A) matamvua B) pua C) mdomo D) spirako nyumba kuanzia asubuhi hadi jioni pasipo E) mapezi [ ] mafanikio. Sentensi ipi hutoa maelezo sahihi juu ya 04. Maji yanayobubujika ardhini huitwa __________ kitendo hicho alichofanya Otyeno? ____________ A) mto B) bahari C) chemichemi D) bwawa A) alikuwa anategea kazi B) alitumia kani E) ziwa [ ] kubwa C) alitumia kani kidogo D) 05. Nini umuhimu wa chanjo kwa binadamu?______ alifanya kazi ngumu E) hakufanya kazi yoyote A) kupunguza maumivu B) kurejesha seli [ ] zilizokufa mwilini C) kuzuia magonjwa 16. Maji gani ambayo ukitumia sabuni hubadilika rangi D) kuponya magonjwa E) kurejesha vitamin na na kuwa meupe mithili ya maziwa? ____________ madini yaliyopotea mwilini [ ] A) maji mepesi B) maji machafu C) maji 06. Ni vitamin gani kati ya zifuatazo hutengenezwa laini D) maji mazito E) maji magumu [ pakiwapo na mwanga wa jua? ______________ ] A) Vitamini B B) Vitamini D C) Vitamini A 17. Ni gesi ipi inayochochea moto kuwaka? E) Vitamini E [ ] _________ A) oksijeni B) kabonidayoksaidi C) 07. Kundi la wanyama wenye sifa ya kutambaa haidrojeni D) naitrojeni E) huitwa_ A) amfibia B) mamalia C) kabonmonoksaidi [ ] reptilian D) ndege E) samaki [ 18. Urutubishaji wa yai la kike hufanyika kwenye ] _____ A) uterasi B) mirija ya falopia C) mirija 08. Wanyama wafuatao ni mamalia isipokuwa _____ ya manii D) ovari E) seviksi [ A) nyangumi B) samba C) sungura ] D) popo E) mamba [ ] 19. Ugonjwa unaosababisha na bakteria aina ya 09. Katika uchunguzi wa kisayansi hatua ambapo “basili” ambao hushambulia mapafu ya binadamu humfanya mtu atabiri matokeo ni ipi? _________ huitwa? A) kifua kikuu B) polio C) kichocho A) kufanya jaribio B) kukusanya data C) kubaini D) surua E) homa ya matumbo (typhoid) tatizo D) kuchambua data E) hitimisho[ ] [ ] 10. Magonjwa yafuatayo huzuilika kwa chanjo _____ A) pepopunda na kichaa cha mbwa B) kipindu 20. Mbung’o hueneza ugonjwa gani? _____________ 32. Husaidia viungo hurutubishwa na A) matende B) malale C) malaria kali vya mwili kukua gamete tofauti. D) mapunye E) homa ya manjano [ ] kwa uwiano sawa. B. Thairoksini. 21. ________________ ni askati wanaopambana na 33. Mapacha wasio C. Yai hugawnayika viini vya magonjwa mwilini mwa binadamu. A) chembe hai nyekundu za damu B) chembe fanana. na kuunda vijusi sahani C) chembe hai nyeupe za damu 34. Mapacha wanao viwili. D) chembe mche E) plazma [ ] fanana. D. Homoni 22. Matendo ya hiari katika mwili wa binadamu 35. Tezi ndani. E. Enokrini huratibiwa na kitu gani? ________ A) ubongo wa mbele B) ubongo wa kati C) ugwe mgongo D) ubongo wa nyuma E) medulla obulangata SEHEMU C: 23. Msaada wa awali kwa mgonjwa au mtu aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitali huitwa? _______ Andika herufi “K” mbele ya maelezo ambayo ni ya kweli A) tiba asilia B) huduma ya dharula C)matibabu na herufi “S” mbele ya maelezo ambayo si ya kweli. ya muda D) huduma ya kwanza E) matitabu 36. Vali huhakikisha kuwa damu inatiririka kwa kufuata 24. Samaki, maharage, njegere na maziwa ni vyakula uelekeo bila kurudi nyuma vya ________ A) kutia nguvu mwilini B) kulinda ____________________ mwili dhidi ya wagonjwa C) kujenga mwili D) 37. Mfumo wa damu huhusika na usafirishaji wa kutia joto mwili E) kuimarisha meno na mifupa homoni mwilini _________________ 25. Ncha za sumaku zinazofanana hhutoa matokeo 38. Sehemu ya ndani ya ngozi huitwa epidemisi gani? _______ A) kuvutana B) husokotana ______ C) hukwepana D) husukumana E) hubebana[ ] 39. Adrenalini humtia mtu woga na kuandaa mwili 26. Hemoglobini hupatikana kwenye seli gani? kukabiri hatari ______________________ A) seli nyeupe za damu B) seli nyekundu za 40. Mtu mwenye virusi vya UKIMWI lazima ana damu C) plazma D) chembelele E) seli za UKIMWI_________________________ mimea [ ] 27. Ugonjwa wa ______________ una dalili zilizo SEHEMU D: gawanyika katika hatua tatu. A)..kisonono B) kaswende C) klamidia D) trokonoma Jaza maswali yote kulingana na melezo ya kila swali. E) UKIMWI [ ] 41. Kitendo cha kuvunjavunja chakula ili kutoa nishati 28. Katika mfumo wa upumuaji, hewa iliyochujwa mwilini huitwa _____________________________ huingia kwenye mapafu kupitia kwenye ________ 42. Taja homoni mbili tu zinazozalishwa na tezi ya A) pua B) mdomo C) koromeo D) brocha uzazi ya Ovari. E) viribehewa [ ] (i) __________________________________ 29. Mishipa inapasha joto hewa kwa joto la damu (ii) __________________________________ kwenye pua huitwaje? _____ A) vena ya renali B) ateri ya renali C) ateri kuu D) vena ya 43. Taja mishipa miwili ya damu iliyoko kwenye figo mapafu E) kapilari [ ] (i) __________________________________ 30. Wakati egemeo linapokuwa katikati ya mzigo na (ii) __________________________________ jitihada tunaita wenzo daraja la _____ [ ] A) kwanza B) pili C) tatu D) nne E) tano 44. Eleza maana ya “chupa ya uzazi” ________________________________________ SEHEMU B: ________________________________________ Oniasha kwa kuandika herufi ya jibu sahihi kutoka Orodha ________________________________________ B, mbele ya maelezo ya Orodha A ________________________________________ ORODHA A ORODHA B ________________________________________ 31. Hudhibiti ukuaji wa A. Ovari hutoa mayai seli za mwili mawili ambayo 45. Tafuta ufanisi wa mashine iwapo manufaa ya kimakanikani 0.4 na uwiano wa mwendo dhahiri 0.8