Professional Documents
Culture Documents
Maarifa & Stadi Za Kazi-06
Maarifa & Stadi Za Kazi-06
SEHEMU A: KUCHAGUA
Chagua jibu sahihi kisha uandike herufi yake katika kisanduku ulichopewa
1. Tanganyika ilianza kutawaliwa na Uingereza baada ya tukio lipi?
A. Mkutano wa Berlin C. Vita ya pili ya Dunia
B. Vita ya kwanza ya Dunia D. Vuguvugu la MAUMAU E. Vita yaMaji Maji [ ]
2. Baraza la kutunga sheria nchini Tanganyika lilianzishwa na Donald Cameroon mnamo
mwaka: A. 1919 B. 1945 C. 1926 D. 1920 E. 1954 [ ]
3. Chama kilichopigania na kuikomboa Msumbiji kutoka kwa wakoloni kiliitwa:
A. MPLA B. SWAPO C. FRELIMO D. UNIP E. TANU [ ]
4. Uchaguzi mkuu wa vyama vingi nchini Tanzania ulifanyika mwaka:
A. 1960 B. 1962 C. 1995 D. 1965 E. 1992 [ ]
5. Patrice Lumumba ataendelea kukumbukwa kama miongoni mwa mashujaa wa Afrika
walioongoza harakati za kuikomboa nchi ya: [ ]
A. Uganda C. Ghana E. South Africa B. Kenya D.Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
6. Kiongozi wa kabila la Wamasai aliitwa nani?
A. Olaiboni B. Rubega C. Laigwanani D. Ndito E. Morani [ ]
7. Tanganyika ilijipatia Uhuru wake katika karne ya ngapi?
A. 18 B. 17 C. 20 D. 19 E. 15 [ ]
8. Bunge la Afrika (PAP) liliundwa mwaka gani?
A. 1967 B. 1963 C. 2004 D. 2014 E. 2002 [ ]
9. Mwalimu J. K. Nyerere alikuwa Rais wa Tanganyika mnamo mwaka:
A. 1967 B. 1964 C. 1962 D. 1977 E. 1961 [ ]
10. Chama cha siasa kilichoipinga TANU wakati wa harakati za kuikomboa tangayika kilittwa:
[ ]
21. Nyota iliyo karibu sana na dunia inaitwa:
A. Sumbula C. Jua E. Zebaki
B. Mwezi D. Asteroidi [ ]
22. Upi SIYO aina ya usafiri?
A. Usafiri wa ardhini C. Usafiri wa majini E. Usafiri wa nchi kavu
B. Usafiri wa mdomo D. Usafiri wa anga [ ]
23. Mahitaji ya msingi ya familiani:
A. Elimu, usafi na afya B. Maji, kilimo na chakula C. Hewa, usafi na malazi
D. Chakula, malazi na mavazi E. Heshima, chakula na chakula [ ]
24. Ukabaila ni mfumo wa uzalishaji mali uliolenga katika umilikaji wa:
A. Mabenki B. Watumwa C. Viwanda D. Ardhi E. Barabara [ ]
25. Kinjekitale Ngwale ni maarufu katika historia ya Tanzania kwa:
A. Mfumo wake bora wa kuitawala Kilwa
B. Ushujaa wake wa kuendesha biashara Kilwa
C. Kuwahamasisha watu kupinga utawala wa Kijerumani
D. Ufanisi wake wa kukusanya kodi kwa niaba ya wajerumani
E. Uwezo wake wa kutengeneza na kutumia dawa za mitishamba [ ]
26. Karl Peters alikuwa ni wakala wa kikoloni aliyewashawishi viongozi wa kimila kusaini
mikataba ya kilaghai ili kuifanya Tanganyika kuwa koloni la:
A. Wareno C. Wajerumani E. Waingerez
B. Wafaransa D. Makaburu [ ]
27. Gavana wa mwisho aliyekuwa Mwingereza ambaye aliikabidhi Tanganyika mikononi mwa
Watanganyika ili wajitawale wenyewe aliitwa:
A. Donald Cameroon C. Horace Byatt E. Richard Turnbull [ ]
B. Edward Twinning D. Julius Von sodden
28. Jua huonekana kuwa kubwa kuliko nyota zote kwa sababu:
A. Lina joto kali zaidi ya nyota zingine
B. Linang’aa zaidi ya nyota zingine D. Liko bali sana na Dunia
C. Hutupatia nishati ya jua E. Lipo karibu zaidi na Dunia [ ]
29. Mwezi unapokuwa katikati ya Dunia na jua huonesha kupatwa kwa:
A. Dunia B. Nyota C. Mwezi D. Jua E. Sayari [ ]
30. Matokeo makuu ya viwanda katika mazingira ni:
A. Uchafuzi wa maji na hewa D. Kumwaga kemikali na kutoa moshi
B. Kutoa moshi na matumizi makubwa ya nishati E. Uchafuzi wa hewa, maji na ardhi
C. Uchafuzi wa hewa na udongo [ ]
31. Moja ya majanga yanayosababishwa na kani za asili na binadamu ni:
A. Mlipuko wa volkano C. Tetemeko la ardhi E. Mmomonyoko wa udongo[ ]
B. Sunami D. Kimbunga
32. Jina jumuishi la mito, ardhi, misitu na madini ni:
A. Bidhaa za nje C. Uoto wa asili
B. Dunia D. Rasilimali za asili E. Mbuga za wanyama [ ]
33. Itakuwa saa ngapi katika mji wa Kagali uliopo 15 Mashariki ikiwa ni saa 4:30 asubuhi
0