MASS

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 4

MASS

ENTRANCE

KYENZENZELU

Amkeni watu wa mataifa yote, kyenzenzelu,

Tumsifu Mungu wetu mwenye uwezo, kyenzenzelu

(kwa maana) Bwana Mungu

Ametenda mambo makuu ya ajabu, kyenzenzelu*2

Simameni wazee kwa vijana wote kwa furaha, tumsifu

Tumwimbie Jalali wetu Mwenyezi, mtawala*2

1) Ni mfalme bendera ya wokovu wetu kwa furaha, tumsifu

Tumpe sifa kiongozi wetu shupavu, mtawala*

2) Kwa hakika ni Alfa na ndiye Omega kwa furaha, tumsifu

Jemedari hoye hoye ni mshindi, Mtawala*2

3) Tumwimbie, dunia na itetemeke kwa furaha, tumsifu

Tumchezee milima nayo iyumbe, mtawala*2

4) Tumhimidi aliyeumba vitu vyote kwa furaha, tumsifu

Bahari na duniani na mbinguni, mtawala*2

Hodi Hodi Nyumbani Lyrics

Hodi hodi nyumbani mwako Bwana, ninabisha nifungulieNimekuja nyumbani mwako leo, nimekuja
kukuabudu,Kwa unyenyekevu naijongea, meza yako yenye barakaNakuja na sala zangu Ee Bwana,
nakuomba zisikilizeNinakutolea sadaka safi, Mungu Baba uipokee.

1) [ b ] Nyua za Bwana zapendeza, zinapendeza macho kama niniNatamani kuingia hekaluni,


[ w ] nikamwabudu

2) Nimeingia hekaluni, nimeingia hekaluni mwakoNimekuja kuabudu kusujudu, nyumbani mwako


3) Unipokee Mungu wangu unitakase, mimi mwenye dhambiNimekuja mbele zako Mungu Baba,
unipokee

MISA( Utukufu Subukia)

BIBLE

SILAHA YA MAPAMBANO

1) Neno lake Bwana Mungu ee silaha ya mapambano ee ee mapambano

silaha ya mapambano dhidi ya ibilisi, hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu.

Yesu ameshinda Yesu ameshinda, mtawala. X2

2) Neno lake Bwana Mungu ee, linashinda mapambano ee ee mapambano,

linashinda mambano dhidi ya ibilisi, hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu.

3) Neno lake Bwana Mungu ee linashinda mbinu zote ee ee mbinu zote,

linashinda mbinu zote dhidi ya ibilisi hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu.

4) Neno lake Bwana Mungu ee linapenya mbinu zote ee ee mbinu zote,

linapenya mbinu zote dhidi ya ibilisi, hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu

NI NENO TOKA KWA BWANA LINAKUJA

Ni neon toka kwa Bwana linakuja x4

Tusikie neno neno lake Bwana ni neno la Bwana linakuja

1) Ushindi…

2) Uzima…

3) Baraka…

4) Hekima…

- Ukiitwa na Yesu

Ukiitwa na Yesu ( itika itika *2)

Sema ndio

( Kama sio Mimi mwenye, kama sio wewe

Kama sio sisi wakristu, nani atangaze injili)


1) Anakuita dada ( itika itika*2)

Anakuita ndugu

2 Mungu mwenye rehema ( itika itika*2)

Anakuita wewe

3) Uokoke uje ndugu ( itika itika*2)

Ueneze injili

SADAKA

*Wakati sasa umeshafika

*Tutoe sadaka

*NIKUPE NINI MUNGU WANGU @Basil Lukando

S/: Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi, nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza x2

A/: Nikupe nini we mwokozi nikupe nini we nikupe nini cha kukupendeza x2

T/: Nikupe nini we nikupe nini nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza x2

B/: Nikupe nini we nikupe nini we mwokozi ni kupe nini Bwana wangu cha kukupendeza x2

1) Kila nitakachoshika mbona bado ni kidogo? Fadhili unazo tenda kwangu mimi naogopa …

Ninakuomba mwokozi nifanyie msamaha na unipokee

Mema unayo yatenda nitafanya nini Mimi nikurudishie

2) Nakutolea mkate toka mumea wa ngano, nakutolea divai ni tunda la mzabibu…

3)Mchana hata usiku wewe wanisimamia, na nikiwa safarini waniepusha ajali…

MATEGA

*Receive oh Lord

*Mungu muumba, twakutolea

*Nainuka

*Sala yangu na ipae

*Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi


*Ni amani katika Yesu Bwana

LAMB OF GOD.

{Oh lamb of God you who take way the sins of the world x2

(Have mercy x5 oh ooh lamb.) X2.} X2.

Oh lamb of God who you take away the sins of the world x2 (Oh grant us x5 grant us peace) X2.

KUPOKEA

*Yumo humu

SHUKRANI

*Nipishe njia

EXIT

*Kama ulivyo wingi wa nyoya za angani

You might also like