Professional Documents
Culture Documents
Zaburi Psaume 39 (40), 2abc.4ab, 7-8a, 8b-9, 10cd.11cd
Zaburi Psaume 39 (40), 2abc.4ab, 7-8a, 8b-9, 10cd.11cd
11cd
= 70
2
4
Mi mi ha pa, ee Bwa na, i li ni ti
42
4
Fine
mi ze ma pen zi ya ko.
8
1. Kutumaini nimemtumai ni a Bwana, akanielekea, akasikia mlio wa ngu.
2. Hukupenda sadaka wala ma to le o, umenizibua ma si ki o.
3. Katika kurasa za kitabu nimea ndi ki wa: nitimize mapenzi ya ko:
4. Ninatangaza habari za haki ya ko katika mkutano m ku
bwa.
10
Akaweka wimbo mpya kinywani mwa ngu,
Hukuomba sadaka za kuteketezwa wala sadaka za kulipa zam bi;
Ee Mungu wangu, napenda sheria ya ko,
Tazama, sikuzuia midomo ya ngu: