Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 12

Jarida

Jarida la Tume ya Taifa ya Uchaguzi Toleo Na. 19 Januari, 2024

Maandalizi
uboreshaji wa 02 TUME YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO KATA 23
ZA TANZANIA BARA

Daftari yapo
kwenye hatua NEC YATEUA MADIWANI WANAWAKE WATANO
09
za mwisho WA VITI MAALUM
01 Jarida
Njia za Utoaji wa Elimu ya
Mpiga Kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikitekeleza mkaka� wa kutoa Elimu ya
Mpiga Kura endelevu kwa kutumia njia zifuatazo;

(I)mikusanyiko rasmi ya watu: Tume inatumia maonyesho mbalimbali


Ifahamu Tume
kama vile Sabasaba, Nanenane, Mikutano ya Serikali za Mitaa (ALAT) na
wiki ya vijana kwa kutoa Elimu ya mpiga Kura ana kwa ana au kuwapa�a
vijitabu na vipeperushi vyenye kuonesha hatua mbalimbali za mchakato
wa uchaguzi;

(ii)mikutano na wadau: Tume hufanya mikutano na wadau mbalimbali


ikiwa ni njia ya kutoa elimu. Aidha, imekuwa ikiandaa mikutano ka�ka
shule mbalimbali za sekondari kwa lengo la kuwaelimisha wapiga kura
watarajiwa kuhusu shughuli za Tume na michakato ya Uchaguzi ili
kuwahamasisha kushiriki ka�ka Uchaguzi;

(iii)vipindi vya Redio na Televisheni: Tume inaandaa na kutekeleza


programu ya kushiriki ka�ka vipindi mbalimbali vya redio na runinga ili
kuweza kuwaelimisha wananchi kuhusu sheria,kanuni na maelekezo.

(iv)makala za magaze�: Tume huandaa makala zinazohusu masuala ya


Uchaguzi na kuzichapisha ka�ka magaze� mbalimbali nchini kwa lengo la
kutoa habari na kuelimisha umma kuhusu Sheria, kanuni na tara�bu za
uendeshaji Uchaguzi.

(v)mitandao ya Kijamii: Tume imekuwa ikitumia mitandao ya kijamii


ka�ka kutoa habari za kuelimisha na kuhabarisha.

(vi)vijitabu, vijarida na vipeperushi: Tume imekuwa ikiandaa vijitabu na


vijarida mbalimbali ambavyo huvigawa kwa wananchi bure.

(vii)sanaa: Tume imekuwa ikitumia nyimbo na michezo ya kuigiza ambayo


huandaliwa kwa kushirikiana na wasanii mbalimbali. Nyimbo hizo na
michezo hutumika ka�ka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

(viii)gari la Matangazo: Tume hutumia gari lake la matangazo ambalo


hupita ka�ka maeneo mbalimbali yenye mikusanyiko ya watu kama vile
stendi, sokoni, minadani na shuleni ili kutoa Elimu ya Mpiga kura ana kwa
ana.
02 Jarida
TUME YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO KATA 23 ZA TANZANIA
BARA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (katikati) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma tarehe 15 Februari, 2024 ambapo pamoja na
mambo mengine kilitangaza uchaguzi mdogo wa kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 20 Machi, 2024. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Mstaafu,
Mbarouk Salim Mbarouk na kulia ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K.

Na Mwandishi Wetu

T
ume ya Taifa ya Uchaguzi vyama vya siasa, wagombea na wadau wote Songea).
imetangaza uchaguzi mdogo wa wa uchaguzi kuzinga�a Ka�ba, Sheria,
madiwani kwenye kata 23 za Kanuni, Maadili ya Uchaguzi, Tara�bu, Nyingine ni Isebya (Halmashauri ya Wilaya ya
Tanzania Bara. Miongozo na maelekezo ya Tume ka�ka Mbogwe), Kibata (Halmashauri ya Wilaya ya
kipindi cha uchaguzi huu mdogo,” imesema Kilwa), Mshikamano (Halmashauri ya
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa taarifa hiyo. Manispaa ya Musoma), Busegwe
na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa (Halmashauri ya Wilaya ya Bu�ama), Nkokwa
ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K jijini Dodoma Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kata (Halmashauri ya Wilaya ya Kyela), Kamwene
tarehe 15 Februari, 2023 uchaguzi huo zitakazofanya uchaguzi huo mdogo ni Kimbiji (Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba),
utafanyika tarehe 20 Machi, 2024. (Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni), Chipuputa (Halmashauri ya Wilaya ya
Kasingirima (Halmashauri ya Manispaa ya Nanyumbu), Buzilasoga (Halmashauri ya
“Fomu za uteuzi zitatolewa kuanzia tarehe 27 Kigoma/Ujiji), Ndevelwa (Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema), Mhande (Halmashauri
Februari, 2024 hadi tarehe 04 Machi, 2024, Manispaa ya Tabora), Msangani ya Wilaya ya Kwimba), Kabwe (Halmashauri
uteuzi wa wagombea utafanyika tarehe 04 (Halmashauri ya Mji Kibaha), Fukayosi ya Nkasi), Bukundi (Halmashauri ya Wilaya ya
Machi, 2024 na kampeni za uchaguzi (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo), Meatu) Mkuzi (Halmashauri ya Wilaya ya
zitafanyika kuanzia tarehe 05 hadi 19 Machi, Mlanzi (Halmashauri ya Wilaya ya Kibi�), Muheza) na Boma, M�mbwani na
2024,” imesema taarifa hiyo. U�ri (Halmashauri ya Mji Mbinga) na Mayomboni (Halmashauri ya Wilaya ya
Mbingamhalule (Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga).
Taarifa hiyo imeanisha kuwa uchaguzi huo
umetangazwa kwa kuzinga�a matakwa ya
kifungu cha 13(3) cha Sheria ya Uchaguzi ya
Serikali za Mitaa, Sura ya 292 baada ya
kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye
dhamana ya Serikali za Mitaa, akiitaarifu Tume
kuhusu uwepo wa nafasi wazi za madiwani
ka�ka kata 23 za Tanzania Bara.
Taarifa hiyo imesema kuwa Waziri ametoa
taarifa hiyo kwa kuzinga�a matakwa ya
kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya
Serikali za Mitaa, Sura ya 292.

“Tume inatumia nafasi hii kuvikumbusha


03 Jarida

TAHARIRI

M
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakitoa Elimu
ya Mpiga Kura kwa wananchi waliotembelea banda aonesho ya Kimataifa ya Zanzibar (ZEC) ili waweze kushiriki ka�ka upigaji
la Tume kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara Biashara ya Sherehe za kura wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
ya Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mapinduzi Matukufu ya Tanzania.
miaka 60 yaliyofanyika katika viwanja vya Nyamanzi
(Fumba Town). Zanzibar yaliyofanyika ka�ka
viwanja vya Nyamanzi (Fumba Town) kuanzia Kadhalika wananchi nao walipata fursa ya
tarehe 7 hadi 19 Januari 2023 na maonesho ya kuelewa kwa undani hatua za kujiandikisha
Wiki ya Sheria yaliyofanyika ka� ya tarehe 24 kama wapiga kura na umuhimu wa kushiriki
hadi 30 Januari, 2024 ka�ka viwanja vya ka�ka zoezi la uchaguzi. Lakini pia walipata
Nyerere Square jijini Dodoma yalitumiwa na fursa ya kuuliza maswali mbalimbali na
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kujibiwa papohapo.
kutoa elimu ya mpiga kura kwa wananchi kwa
njia ya ana kwa ana. Kwa kutambua umuhimu wa elimu ya mpiga

Wananchi, Maonesho ya Zanzibar yamefanyika ili kuenzi


Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ambayo
kura kuwafikia wadau mbalimbali wa uchaguzi
hususani wapiga kura, tunapenda kutoa wito
kwa wananchi kuendelea na moyo wa

Tumieni Fursa yame�miza miaka 60, waka� maonesho ya


Dodoma ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki
ya Sheria ambapo Tume iliitumia ipasavyo
kutembelea mabanda ya Tume na kupata elimu
ya mpiga kura kupi�a maonesho mbalimbali
ambayo Tume itashiriki.

ya Maonesho mikusanyiko hiyo kutoa Elimu ya Mpiga Kura.

Kupi�a mikusanyiko hiyo wananchi walipewa


Vile vile, tunatoa wito kwa wananchi kutumia
fursa mbalimbali za kupata elimu ya mpiga kura

Kupata Elimu elimu ya mpiga kura na Maafisa wa Tume kwa


njia ya ana kwa ana, na kupa�wa vipeperushi
na vijitabu mbalimbali vinavyoelezea
ikiwemo ile inayotolewa kupi�a mikutano ya
Tume na wadau, machapisho kwenye tovu� na
kurasa za mitandao ya kijamii ya Tume.

ya Mpiga Kura
majukumu ya Tume. Elimu ya mpiga kura ni
muhimu kwani huwajengea uelewa wananchi Pia tunawaasa wananchi kutumia fursa ya
kuhusu haki na wajibu wao wa kushiriki kupata elimu ya mpiga kura kwa njia ya
uchaguzi wakiwa na taarifa kamili na sahihi juu
vipindi vya redio na televisheni
ya mchakato wa Uchaguzi. vinavyoandaliwa na Tume kwa lengo la
kuwaelimisha wananchi kuhusu majukumu ya
Mathalani, ka�ka maonesho ya Zanzibar, Tume.
Maafisa wa Tume walipata fursa ya kutoa
ufafanuzi na kuwaeleza wakazi wa Zanzibar
kuhusu utara�bu unaotumika kuwaandikisha
wapiga kura wanaoishi visiwani humo ambao
hawakidhi vigezo vya Tume ya Uchaguzi
04 Jarida

MAANDALIZI UBORESHAJI WA DAFTARI YAPO KWENYE HATUA ZA


MWISHO
Akieleza kuhusu changamoto ya uchukuaji wa
alama za vidole (fingerprint) waka� wa
uboreshaji wa Da�ari na jinsi Tume
ilivyojipanga kukabiliana na ta�zo endapo
litajitokeza, Jaji Mwambegele amesema
teknolojia inayotumika kuboresha Da�ari
inaruhusu njia mbadala kutumika kumpa�a
mwananchi haki ya kupiga kura hata kama
kutakuwa na changamoto ya kuchukua alama
zake za vidole.

“Tulipokuwa tunafanya uboreshaji wa


majaribio hatujakutana na ta�zo hilo,
tunaelewa kwamba pale ambapo fingerprint
hazisomeki haswa maeneo ya vijijini zipo njia
za kufanya ili wananchi wapate haki yao ya
kujiandikisha,” amesema.
Kuhusu sababu za Tume kufanya maonesho
Zanzibar, Jaji Mwambegele amesema “wote
mnajua kwamba tulikuwa na sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, sambamba
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akifanya na hilo sisi Tume ya Taifa ya Uchaguzi
mahojiano na waandishi wa habari visiwani Zanzibar baada ya kutembelea maonesho ya tumekuja kwenye maonesho haya kwa lengo
Kimataifa ya Biashara ya Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 60 la kuwaelimisha wananchi, kuhusu majukumu
yaliyofanyika katika viwanja vya Nyamanzi (Fumba Town). ya Tume,” ameongeza kwa kusema:
“Mnajua kwamba Ka�ba ya Jamhuri ya
Na Mwandishi Wetu Mungano wa Tanzania na Ka�ba ya Zanzibar

M
ku�miza umri wa kupiga kura. zinahitaji Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume
wenyeki� wa Tume ya Taifa ya ya Uchaguzi Zanzibar zifanye kazi kwa
Uchaguzi, Jaji (Rufaa), Mhe. kushirikiana. Kwa hiyo kuweka banda hapa ni
“Mtu ili aweze kuandikishwa kuwa mpiga
Jacobs Mwambegele amesema ka�ka kuonesha mshikamano huo na
kura anatakiwa awe mtanzania na awe
Tume inaendelea vizuri na
ame�miza umri wa kupiga kura ambao ni
maandalizi ya uboreshaji wa
miaka 18. Anaweza kuwa na kitambulisho
Da�ari la Kudumu la Wapiga
Kura na itawajulisha wananchi hivi karibuni
cha NIDA au namba ya NIDA ili kuthibi�sha
uraia wake,” amesema.
“Katiba zote mbili;
kuhusu tarehe ya kuanza kwa zoezi hilo.
Jaji Mwambegele amesema mpiga kura
ya Jamhuri ya
Mhe. Mwambegele ameyasema hayo hivi
karibuni muda mfupi baada ya kutembelea
anayeboresha taarifa zake anapaswa kwenda Muungano wa
kwenye kituo cha kuandikisha wapiga kura
banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi waka� wa
mahojiano na waandishi wa habari kwenye
na kadi yake ya mpiga kura ambayo ilitolewa Tanzania na Katiba
Maonesho ya Kibiashara ya Kimataifa ikiwa ni
na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
ya Zanzibar
sehemu ya Sherehe za Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar ya miaka 60 yaliyofanyika ka�ka
“Tunayo kadi ya mpiga kura, mpiga kura
anayehitaji kuboresha taarifa zake anatakiwa
zinatutaka tufanye
viwanja vya Nyamanzi (Fumba Town).
kuwa na kadi ya mpiga kura ambayo kazi kwa
inatolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi,”
“Tume ya Taifa ya Uchaguzi itawatangazia
wananchi tarehe ya kuanza kwa uboreshaji
amesema. kushirikiana na
wa Da�ari la Kudumu la Wapiga Kura, si muda
Kuhusu uandikishaji wa wapiga kura tukiwa hapa
mrefu kutoka sasa. Tayari tumeshafanya
uboreshaji wa majaribio wa Da�ari kujaribu
Zanzibar, Mhe. Mwambegele amesema kuwa
Tume itatumia Da�ari la Tume ya Uchaguzi
Zanzibar tunatumia
vifaa vyetu, majaribio yameenda vizuri na
tutawajulisha Watanzania waka� muafaka
Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya Uchaguzi kwa
upande wa Tanzania Zanzibar.
Daftari la ZEC
utakapofika wa kuanza kwa zoezi hilo,”
amesema Jaji Mwambegele.
kwenye uchaguzi,”
“Ka�ba zote mbili; ya Jamhuri ya Muungano
Kuhusu sifa ambazo mwananchi atapaswa
wa Tanzania na Ka�ba ya Zanzibar zinatutaka amesema Jaji
kuwa nazo ili aweze kujiandikisha kuwa mpiga
tufanye kazi kwa kushirikiana na tukiwa hapa
Zanzibar tunatumia Da�ari la ZEC kwenye (Rufaa)
kura, Mwenyeki� wa Tume amesema kuwa
pamoja na sifa nyingine, sifa kuu za kuweza
uchaguzi,” amesema.
Mwambegele.
kuandikishwa kwenye Da�ari ni uraia na
05 Jarida

BUNGE LAPITISHA MISWADA YA UCHAGUZI

Kutoka Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs C. Mwambegele, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji (Rufaa) (Mst) Mbarouk S.Mbarouk, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Mhe.Jaji George J.Kazi na Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibat (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi), Mhe.Hamza Hassan walipokuwa wakifuatilia
mjadala wa Miswada ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na Madiwani ya mwaka 2023 na Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Na Mwandishi Wetu

B
unge la Jamhuri ya Muungano wa utekelezaji wa maoni ya wadau
Tanzania limepi�sha miswada waliopendekeza uwepo wa neno ‘huru’
miwili inayoihusu Tume ya Taifa ya kwenye jina la Tume kwa kuwa msingi wa
Uchaguzi ambayo inalenga uhuru huo upo kwenye ibara ya 74(7) na
kuimarisha utawala bora na 74(11) ya Ka�ba ya Jamhuri ya Muungano
demokrasia nchini. wa Tanzania ya mwaka 1977.

Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Kwa mujibu wa Ibara ya 74(7) ya Ka�ba ya


Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa mwaka 2023 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya
na Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, mwaka 1977, Tume ya Uchaguzi itakuwa ni
Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. idara huru inayojitegemea, itafanya
maamuzi yake rasmi kuhusu utekelezaji wa
Miswada hiyo imejadiliwa ka�ka kikao cha majukumu yake kwa vikao, na mtendaji wake
14 cha Bunge jijini Dodoma kuanzia tarehe mkuu atakuwa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi
30 Januari hadi tarehe 01 Februari, 2024, na ambaye atateuliwa na kufanya kazi kwa
imepi�shwa tarehe 02 Februari, 2024. mujibu wa mashar� ya sheria iliyotungwa na
Bunge.
Kabla ya miswada hiyo kupi�shwa, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Kadhalika, Ibara ya 74(11) ya Ka�ba ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
Ura�bu), Mhe. Jenista Mhagama amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
kuwa serikali imeridhia mapendekezo ya mwaka 1977, inafafanua ka�ka kutekeleza akizungumza wakati wa kuhitimisha
Wabunge wengi ya kutaka jina la Tume ya madaraka yake kwa mujibu wa mashar� ya mjadala wa Sheria zinazohusu Uchaguzi na
Uchaguzi libadilike na kuwa Tume huru ya Ka�ba hii, Tume ya Uchaguzi haitalazimika Tume ya Taifa ya Uchaguzi Februari 2, 2024
Uchaguzi. kufuata amri au maagizo ya mtu yeyote au Bungeni jijini Dodoma.
idara yoyote ya Serikali, au maoni ya chama
Amesema kwamba, Serikali haina ta�zo na chochote cha siasa.
06 Jarida

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA ELIMU YA MPIGA KURA


ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Adam Mkina alipotembelea banda la Tume katika maonesho ya Kimataifa
ya Biashara ya Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 60 yaliyofanyika katika viwanja vya Nyamanzi (Fumba Town).

Na Mwandishi Wetu

B Tume ya Taifa ya Uchaguzi ka�ka


kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar ambayo yame�miza miaka
60, imeshiriki kutoa elimu ya mpiga
kura kwa wakazi wa Zanzibar kupi�a
Aidha, Mkurugenzi huyo ametaja baadhi ya
mafanikio ya Tume kuwa ni pamoja na
kura�bu shughuli za uboreshaji wa Da�ari la
Kudumu la Wapiga Kura na usimamizi wa
uchaguzi ka�ka majimbo 50 ya Zanzibar.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatekeleza
majukumu yake kwa mujibu wa Ibara ya
74(6) ya Ka�ba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ya mwaka 1977, ambayo pamoja na
mambo mengine inaitaka Tume kusimamia
maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya na kura�bu uandikishaji wa Wapiga Kura
Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Kwa mujibu wa Bw. Mkina, Tume ka�ka uchaguzi wa Rais, Wabunge ka�ka
yaliyofanyika ka�ka viwanja vya Nyamanzi itaandikisha wapiga kura ambao Jamhuri ya Muungano na Madiwani kwa
(Fumba Town) kuanzia tarehe 7 hadi 19 hawakukidhi vigezo vya kuandikishwa na ZEC Tanzania Bara.
Januari 2024. lakini wana sifa ya kupiga kura ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia Kusimamia na kura�bu uendeshaji wa
Akielezea ushiriki wa Tume kwenye Uchaguzi wa Rais na Wabunge, kuchunguza
maonesho hayo, Mkurugenzi wa Ofisi ya Vigezo hivyo ni kuwa Mzanzibari mwenye mipaka na kuigawa Jamhuri ya Muungano
Zanzibar wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi. Hivyo wa Tanzania ka�ka maeneo mbalimbali kwa
Adam Mkina, amesema, Tume imetumia watanzania wote wanaoishi Zanzibar lakini ajili ya Uchaguzi wa Wabunge.
fursa hiyo kutoa elimu ya mpiga kura kwa wamekosa sifa ya Mzanzibar Mkaazi
njia ya ana kwa ana kwa wakazi wa Zanzibar. huandikishwa na NEC ili waweze kupiga kura Aidha, majukumu mengine yaliyowekwa
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano. kwa mujibu wa kifungu cha 4C cha Sheria ya
Bw. Mkina amewashukuru wananchi hao Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha
kwa kujitokeza kwa wingi kwenye maonesho “Tunawapata wananchi wengi kutoka 86A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za
hayo kwa lengo la kupata elimu ya mpiga Tanzania Bara ambao huja Zanzibar kwa Mitaa, Sura ya 292 ni kutoa Elimu ya Mpiga
kura, kutambua majukumu yao kama wapiga shughuli za kiuchumi na biashara na Kura kwa nchi nzima, kura�bu na kusimamia
kura na kufahamu sheria, kanuni na tara�bu Wazanzibar ambao hawaja�miza sifa ya taasisi na asasi za kiraia zinazotoa elimu hiyo
zinazohusika ka�ka mchakato wa uchaguzi. kupata kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi,” na kuteua madiwani wanawake wa vi�
amesisi�za Bw. Mkina.
Inaendelea Uk.07
07 Jarida
Inatoka Uk.06
maalum. ya Uchaguzi.
NEC na ZEC zimekuwa zikifanya hivyo kila
Pia Ibara 74 (13) ya Ka�ba ya Jamhuri ya mara kwa kukutana na kufanya vikao vya Kabla ya kuwepo kwa jengo hilo, NEC ilikuwa
Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 pamoja kuhusiana na utekelezaji wa inategemea miundombinu ya Tume ya
imeelekeza kuwa ka�ka utekelezaji wa majukumu yao. Uchaguzi Zanzibar (ZEC), lakini sasa, ina ofisi
madaraka yake, Tume ya Taifa ya Uchaguzi yake na imeweza kuboresha utekelezaji wa
(NEC) itashauriana mara kwa mara na Tume Mafanikio mengine ni pamoja na upa�kanaji shughuli za uchaguzi kwa upande wa
ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC). wa Jengo la Ofisi ya Zanzibar la Tume ya Taifa Zanzibar kwa ufanisi zaidi.

NEC YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA

Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wananchi waliotembelea banda la Tume kwenye maonesho ya
Kimataifa ya Biashara ya Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 60 yaliyofanyika katika viwanja vya Nyamanzi (Fumba Town).

Na Mwandishi Wetu

B aadhi ya wananchi waliotembelea


Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC) waka� wa
Maonesho ya Kimataifa ya
Biashara ya Sherehe za miaka 60 za
tofau� ya majukumu ka� ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC).

Amesema elimu ya mpiga kura inayotolewa


changamoto ya kupata habari mbalimbali
zikiwemo habari zinazohusu mchakato wa
uchaguzi ka�ka visiwa vya Zanzibar.

Kwa upande wake, Bw. Omar Salim Mbarouk


Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni nzuri kwa sababu inawawezesha wananchi amesema kitendo cha elimu ya mpiga kura
yaliyofanyika ka�ka viwanja vya Nyamanzi kufahamu tara�bu za mchakato wa kutolewa kila baada ya miaka mitano waka�
(Fumba Town) wameipongeza Tume kwa Uchaguzi, ikiwa ni pamoja na kuelewa wa uchaguzi mkuu kinachangia wananchi
kushiriki maonesho hayo na kutoa elimu ya wajibu wao na umuhimu wao wa kushiriki walio na uelewa mdogo kuhusu mchakato
mpiga kura kwa njia ya ana kwa ana kwa kikamilifu mchakato wa uchaguzi. wa uchaguzi kutoona umuhimu wa kushiriki
wakazi wa Zanzibar. kikamilifu ka�ka zoezi la kujiandikisha na
Mwananchi mwingine ambaye amepata kupiga kura. Inaendelea Uk.07
Mmoja wa wananchi waliotembelea banda fursa ya kutoa maoni yake baada ya
la Tume waka� wa maonesho hayo kutembelea banda la Tume ni Bi. Khadija Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetumia fursa
yaliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 19 Hassan Mkaja (mwenye ulemavu wa kusikia) hiyo kutoa elimu ya mpiga kura kwa njia ya
Januari, 2024, Bw. Salum Pazi amesema ambaye ameitaka Tume kuhakikisha kuwa ana kwa ana kwa wakazi wa Zanzibar
miongoni mwa vitu vilivyomfurahisha baada elimu ya mpiga kura inawafikia kwasababu ambapo wananchi waliotembelea Banda la
ya kutembelea banda hilo ni kufahamu watu wenye uziwi wamekuwa wakipata Tume walipata fursa ya kupewa elimu ya

Inaendelea Uk.08
08 Jarida

Inatoka Uk.07 TEMBELEENI TOVUTI NA MITANDAO YA


mpiga kura, kutambua majukumu yao kama KIJAMII YA TUME
wapiga kura na kufahamu sheria, kanuni na
tara�bu zinazohusika ka�ka mchakato wa
uchaguzi.

Maonesho ya kumi ya kibiashara ya


kimataifa ya Zanzibar yalifanyika ka�ka
viwanja vilivyopo eneo la Fumba Dimani,
Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Unguja na
yameshirikisha taasisi 500 zikiwemo za
serikali, sekta binafsi, wafanyabiashara
wakubwa na wadogo na wajasiriamali
kutoka nje ya Tanzania na ndani ya Tanzania.

Kaulimbiu ya maonesho hayo ilikuwa


“Biashara Mtandao kwa Maendeleo ya
Biashara na Uwekezaji”.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw.Kailima, R. K, tarehe 30 Januari,


2024 ametembelea banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika maonesho ya Wiki ya Sheria
yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma kwa siku saba kuanzia tarehe
Na Mwandishi Wetu 24 hadi 30 Januari, 2024.

M kurugenzi wa Uchaguzi wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw.
Kailima, R. K amewaomba
wananchi kutembelea mara
kwa mara Tovu� na Kurasa za Mitandao ya
ka�ka uchaguzi. Hivyo, tunawakaribisha
wananchi kutembelea banda hili ili kupata
taarifa mbalimbali. Njoo uulize maswali yako
na upate ufafanuzi mzuri kuhusu mambo
yanayohusu uboreshaji na uchaguzi mkuu".
Bi. Giveness Aswile.

Kilele cha Maonesho ya Wiki ya Sheria


kilifanyika tarehe 01 Februari, 2024 ka�ka
Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma
Kijamii ya Tume ili kupata elimu ya mpiga ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa
kura. Bw. Kailima ameongeza kuwa eneo hili ni zuri Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
kwa wananchi kupata ufahamu wa lini Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo ilihud-
Akizungumza baada ya kutembelea banda la uboreshaji utaanza, tara�bu za uboreshaji na huriwa na Mwenyeki� wa Tume ya Taifa ya
Tume ya Taifa ya Uchaguzi waka� wa maone- mambo mengine yanayohusu uchaguzi. Uchaguzi Jaji (Rufaa), Mhe. Jacobs Mwambe-
sho ya Wiki ya Sheria yaliyofanyika kuanzia gele na Mjumbe wa Tume Jaji (Rufaa), Mhe.
tarehe 24 hadi 30 Januari, 2024 ka�ka viwan- “Mathalani, kwa sasa tuna so�ware Mwanaisha Kwariko.
ja vya Nyerere Square jijini Dodoma, Bw. (programu) inayoruhusu wale walioandikish-
Kailima amesisi�za umuhimu wa wananchi wa kwenye da�ari kuboresha taarifa zao
kutembelea Tovu� na Kurasa za mitandao ya kupi�a simu. Hivyo, niwaombe wananchi
kijamii ya Tume ili kupata taarifa sahihi watembelee banda la Tume ya Taifa ya
kuhusu mambo mbalimbali yanayoihusu Uchaguzi ili kupata taarifa mbalimbali zilizo
Tume. sahihi," amesema.

Amesema pamoja na majukumu mengine, Viongozi wengine wa Tume waliotembelea


Tume ina jukumu la kutoa elimu ya mpiga Banda la Tume ka�ka maonesho ya Wiki ya
kura ambapo wananchi wanapaswa kutumia Sheria ni pamoja na Mwenyeki� wa Tume ya
fursa ya maonesho kama ya Wiki ya Sheria Taifa ya Uchaguzi Jaji (Rufaa), Mhe. Jacobs
na mengine ambayo Tume inashiriki kwa ajili Mwambegele, Makamu Mwenyeki� wa
ya kupata ufafanuzi mzuri ili kuepuka Tume Jaji wa Rufaa (Mstaafu), Mhe.
upotoshaji kuhusu majukumu ya Tume ikiwa Mbarouk Salim Mbarouk na Wajumbe wote
ni pamoja na jukumu la uboreshaji wa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Da�ari la Kudumu la Wapiga Kura na (NEC) wakiongozwa na Makamu
Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Baada ya kumalizika kwa maonesho hayo, Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufaa
mwaka 2025. Mkurugenzi Msaidizi (Habari) wa Tume ya (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk,
Taifa ya Uchaguzi, Bi. Leilla Muhaji, alipokea tarehe 29 Januari, 2024 wametembelea
"Tunawakaribisha wananchi kutembelea Che� cha Ushiriki kilichotolewa na Mahaka- banda la Tume kwenye maonesho ya Wiki
tovu� yetu na mitandao yetu ya kijamii ili ma kutambua ushiriki wa Tume kwenye ya Sheria yaliyofanyika katika viwanja vya
kupata taarifa sahihi na kuepuka upotosha- maonesho hayo. Maonesho hayo Nyerere Square jijini Dodoma kwa siku
ji," amesisi�za Bw. Kailima na kuongeza: yaliwashirikisha watumishi wa Tume ya Taifa saba kuanzia tarehe 24 hadi 30 Januari,
ya Uchaguzi chini ya uongozi wa Mkurugenzi 2024.
"Mwakani, Mungu akitujaalia, tutaingia wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura,
09 Jarida
NEC YATEUA MADIWANI WANAWAKE WATANO WA VITI MAALUM
Na Mwandishi Wetu

T ume ya Taifa ya Uchaguzi “Uteuzi huu umefanyika baada ya kupokea Bi. Joyce Milembe Aenda ambaye ameteuli-
imeteua Madiwani Wanawake taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana wa kuwa Diwani wa Vi� Maalum ka�ka
watano wa Vi� Maalum kujaza ya Serikali za Mitaa, ambaye kwa kuzinga�a Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Bi.
nafasi zilizokuwa wazi za mashar� ya kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Sharifa Hassan Magalagala anayekuwa
Madiwani ka�ka Halmashauri tano za Tanza- Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, aliitaarifu Diwani wa Vi� Maalum ka�ka Halmashauri
nia Bara. Tume ya Taifa ya Uchaguzi uwepo wa nafasi ya Wilaya ya Nanyumbu.
hizo wazi za Madiwani wanawake wa Vi�
Taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugen- Maalum,” imesema taarifa hiyo. Wengine ni Bi. Clemen�na Daudi Mateja
zi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya ambaye ameteuliwa kuwa Diwani wa Vi�
Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K, imesema Taarifa hiyo imewataja walioteuliwa kuwa ni Maalum ka�ka Halmashauri ya Wilaya ya
kwamba Tume imefanya uteuzi huo kwenye pamoja na Bi. Mecha Goodluck Ma�le Buchosa na Bi. Mariam Abdi Galu ambaye
kikao chake cha tarehe 30 Januari, 2024. ambaye ameteuliwa kuwa Diwani wa Vi� anakuwa Diwani wa Vi� Maalum ka�ka
Maalum ka�ka Halmashauri ya Jiji la Tanga, Halmashauri ya Wilaya ya Chemba.

MATUKIO KATIKA PICHA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kulia) Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa Bungeni jijini
akishiriki Matembezi ya ufunguzi wa Wiki ya Sheria Kitaifa Mkoani Dodoma Januari Dodoma. Bunge limepitisha Miswada miwili ya Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi
27,2024. Matembezi hayo yaliongozwa na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson. mwaka 2023 na Mswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka
Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yalianza Januari 24,2024 na yalifikia tamati Februari 1, 2023.
mwaka huu.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K, akisaini kitabu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele
cha wageni wakati alipotembelea banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika maonesho (katikati) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine
ya Wiki ya Sheria yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma kwa siku kiliteua madiwani watano wa viti Maalum. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume,
saba kuanzia tarehe 24 hadi 30 Januari, 2024. Mhe. Jaji (Rufaa) Mstaafu, Mbarouk Salim Mbarouk na kulia ni Katibu wa Tume na
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K.
08 Jarida Michezo
WATUMISHI NEC WAITIKIA WITO WA KUFANYA MAZOEZI

Timu ya Kamba wanaume kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakivuta kamba dhidi ya Timu kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii katika
Michezo inayohusisha Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ambayo kwa mwaka 2023 ilifanyika mkoani Iringa mwezi Oktoba.

Na Mwandishi Wetu

W anamichezo wa Tume ya Taifa


ya Uchaguzi (NEC) ka�ka
kutekeleza wito unaotolewa
mara kwa mara na viongozi
wakuu wa serikali na wataalamu wa afya
Waziri Mkuu waka� wa ufunguzi wa SHIMI-
WI wamesisi�za kwa nyaka� tofau� juu ya
umuhimu wa watumishi wa umma kufanya
mazoezi walau siku moja kwa wiki,” amese-
“Viongozi
wakuu wa serikali
wetu

wameanza kujifua kwa kufanya mazoezi ya


ma Bw. Kijanjali.
ambao ni Makamu wa
viungo mara nne kwa wiki. Ameongeza kuwa hata Mkurugenzi wa Rais, Waziri Mkuu na
Uchaguzi amekuwa akitoa msisi�zo kwa
Ka�bu wa Klabu ya Michezo ya NEC, Bw. watumishi kuhusu kufanya mazoezi kwa ajili Naibu Waziri Mkuu
Edward Kijanjali amesema kuwa kuanzia
tarehe 05 Februari, 2024, wanamichezo hao
ya kuimarisha afya zao, hivyo klabu yake
inatekeleza maagizo hayo kwa vitendo.
wakati wa ufunguzi
wamekuwa wakikutana mara nne kwa wiki
baada ya saa za kazi kwa ajili ya kufanya
wa SHIMIWI
Bw. Kijanjali amewasihi watumishi wa NEC
mazoezi ili kuweka afya zao zikae vizuri. wanaopenda michezo kushiriki ka�ka kufan- wamesisitiza kwa
Amesema kuwa mazoezi hayo ambayo
ya mazoezi kwani mbali na kuimarisha afya
ya akili na mwili, mazoezi yanasaidia kujenga
nyakati tofauti juu ya
hufanyika kuanzia jumatatu hadi alhamis
pamoja na kulenga kuweka afya sawa za
ushirikiano na umoja baina ya watumishi wa umuhimu wa
umma.
watumishi wanaopenda michezo lakini pia ni watumishi wa umma
ka�ka kui�kia wito uliotolewa na viongozi
wakuu wa serikali waka� wa ufunguzi wa
Mbali ya kufanya mazoezi ya viungo, klabu ya
michezo ya NEC inajiandaa kushiriki kwenye
kufanya mazoezi
Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya
Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI).
Michezo ya Bonanza na Mashindano walau siku moja kwa
mengine yakiwemo SHIMIWI ka�ka michezo
ya kamba, mpira wa miguu, ne�boli, riadha wiki,” amesema Bw.
“Viongozi wetu wakuu wa serikali ambao ni
Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu
na michezo ya jadi.
Kijanjali.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Makao Makuu Dodoma,
5 Barabara ya Uchaguzi,
41107 Njedengwa,
Uchaguzi House,
Anuani: S.L.P 358, Dodoma
Namba ya simu: +255 26 2962345-8
Nukushi: +255 26 2962348
Barua pepe: Uchaguzi@nec.go.tz

www.nec.go.tz tumeyauchaguzi_tanzania

Tume ya Uchaguzi-TZ Tume ya Uchaguzi-tz NEC online TV

You might also like