Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 7

AKS 100 - Introduction to the Study of Language Premium

Notes - elab notes library


607ae3810e757bb367bf9f7fafb1d3e6
B.A kiswahili (Kenyatta University)

Studocu is not sponsored or endorsed by any college or university


Downloaded by Akandwanaho Fagil (akandwanahofagil4@gmail.com)
elab notes library

KENYATTA UNIVERSITY
INSTITUTE OF OPEN LEARNING

AKS 100
INTRODUCTION TO THE STUDY OF
LANGUAGE

NA

LEONARD CHACHA, PAMELA NGUGI


NA MIRIAM OSORE

IDARA YA KISWAHILI NA LUGHA ZA KIAFRIKA


i

Website: maktaba.elab.co.ke Downloaded WhatsApp:by Akandwanaho+254Fagil (akandwanahofagil4@gmail.com)115 219 324


Email: info@elab.co.ke
YALIYOMO

SOMO MADA UKURASA

Somo la Kwanza: Maana na Malengo ya Isimu ................. 1

Somo la Pili: Usayansi wa Isimu ............................... 15

Somo la Tatu: Historia Fupi ya Taaluma ya Isimu ......... 25


Viwango vya Isimu ............................... 34
Somo la Nne:
Somo la Tano: Matawi ya Isimu ................................... 49

Somo la Sita: Maana na Sifa za Lugha ........................ 56

Somo la Saba: Asili ya Lugha ....................................... 64

Somo la Nane: Sifa Bia za Lugha .................................. 76

Somo la Tisa: Aina za Lugha na Kazi za Lugha ............. 86

Somo la Kumi: Dhana za Kimsingi katika Lugha ............ 100

Somo la Kumi
na Moja: Umuhimu wa Isimu katika Jamii ............ 140

ii

Downloaded by Akandwanaho Fagil (akandwanahofagil4@gmail.com)


MADHUMUNI

Hii ni kozi ya awali katika mfululizo wa kozi anuwai za kiisimu

atakazokumbana nazo mwanafunzi. Madhumuni ya kijumla ya kozi hii

ni kumwelekeza mwanafunzi namna ya kuikabili lugha kisayansi. Aidha,

kozi hii inakusudia kumwezesha mwanafunzi kutimiza madhumuni maalumu

yafuatayo:

1. Kuielewa zaidi isimu kwa kufafanua viwango na matawi yake.

2. Kueleza kwa njia ya kitaalamu maana ya lugha, sifa zake na

kutathmini nadharia mbalimbali za asili ya lugha.

3. Kubainisha dhima za lugha ya mwanadamu.

4. Kufafanua dhana mbalimbali zinazohusiana na lugha kama umilisi,

utendaji, lahaja, lafudhi, lugha sanifu, jumuia lugha, uwili lugha, pijini

na krioli.

5. Kuonyesha umuhimu wa isimu katika maisha ya mwanadamu.

iii
Downloaded by Akandwanaho Fagil (akandwanahofagil4@gmail.com)
iv

Downloaded by Akandwanaho Fagil (akandwanahofagil4@gmail.com)

You might also like