Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 42

GRADE 7&8 TOPICAL REVISION

KISWAHILI
A Series of JSS Assessment & Revision Questions for Grades
7&8 Cutting across all the Stands & Sub-strands

FOR MARKING SCHEMES:

CONTACT
O724333200/ 0795491185/ 0768321553
OR
SUBSCRIBE TO OUR WEBSITE PACKAGES
{Monthly, Quarterly or Yearly
Subscriptions} and enjoy updated e-
learning resources every single day as
they get prepared and updated.
www.kenyaeducators.co.ke
KENYA EDUCATORS CONSULTANCY
Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi.
Tel 0724333200 E-mail kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES AT
www.kenyaeducators.co.ke or Contact 0724333200/0768321553/0795491185
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

MASWALI YA MADA ZOTE GREDI YA 7

KISWAHILI.
KIFUNGU CHA 1: USAFI WA KIBINAFSI
ZOEZI 1

1. Tunga sentensi tano kuhusu usafj wa kibinafsi ukizingatia matumizi ya herufi kubwa na kikomo

A) .

B) .

C) .

D) .

E).

2. Pisia mistari maneno yaliyotumia herufi kubwa katika sentensi zifuatazo

(a) Vijana wa kijiji cha Pemba wanazingatia usafi wa kibinafsi.

(b) Ugonjwa wa saratani ni hatari sana.

(c) Usafi wa meno unadumishwa_ kwa kupiga mswaki ukitumia dawa ya meno na maji safi.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(d) Nilimtembelea mjomba wangu_ tarehe 30.01.2023.

(e) Julia alinunua kichana kwa shilingi 30.50 kwenye duka la Naivas.

Soma sentensi zifuatazo kisha utambue nomino za pekee

(a) Ijumaa ijayo nitaenda kuzuru nchi ya Uhabashi.

(b) “Sitaki kwenda Kisum kabla ya kwenda Mombasa,” baba alisema.

(c) Mto Athi unaelekeza maji yake katika Bahari Hindi.

(d) Oktoba huwa jua kali kuliko Julai.

(e) Belende anapenda kusoma Kiswahili.

1.Tambua nomino za kawaida kwenye sentensi zifuatazo

(a) Rafu huwekelewa vitabu darasani.

b) Kitabu chake kimepotea.

c) Wewe umeumwa na mbu hatari.

d) Futa ubao mwalimu aandike

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

e) Matunda huoshwa kabla ya kuliwa

KIFUNGU CHA 2: LISHE BORA

Tumia maneno yafuatayo kuunda vitanza ndimi vyenye maana

(a) Adhiri / athiri

(b) Ridhi / rithi

(c) Dhamini / thamini

(d) Dhibiti / thibiti

(e) Dhamani / thamani

ZOEZI 2

Tumia msamiati ufuatao kutunga sentensi

(a) Vitamin

(b) Lishe bora

(c) Afya

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(d) Mboga

(e) Viinilishe

ZOEZI 3

Tunga sentensi kwa kutumia nomino za makundi zifuatazo

(a) Fungu la nyanya -

(b) Safu ya milima-

(c) Halaiki ya watu_ -

(d) Bunda la noti -

(e) Shehena ya mizigo -

Zoezi 4

1. Tambua nomino za dhahania kwen e orodha ifuatayo

Mwalimu, uzuri, taa, ubaya, Amani, shibe, ujasini, lishe, afya, huruma, tembea, uchovu.

2. Tumia nomino za dhahani ulizoandika kutunga sentensi tano.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

3. Uhuru wa wanyama

KIFUNGU CHA 3: UHURU WA WANYAMA

ZOEZI 5

Pigia mstari nomino za wingi kwenye sentensi zifuatazo

1. Chemsha maziwa haya unywe.

2. Chai haina sukari.

3. Chakula hakina mafuta.

4. Wino umemwagika kitabuni.

5. Mgomba utapandwa mchangani.

ZOEZI 6

Soma sentensi zifuatazo kisha upigie mistari nomino za vitenzi - jina

1. Kuimba kwake kuliwavutia.

2. Kunyonya kwa ndama kunaboresha siha.

3. Kupumzika huko kulimwimarisha ng'ombe afya yake.

4. Kutunza wanyama kunasisitizwa na kila mfugaji.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

5. Kusoma kwake kuhusu haki za wanyama kulimwongezea maarifa.

KIFUNGU CHA 4: AINA ZA MALI ASILI.

ZOEZI 7

1. Taja mitindo mitatu ya kuwasilisha nyimbo za watoto.

2. Taja mitindo mitatu ya kuwasilisha bembelezi.

3. Tunga na umwimbie rafiki yako wimbo wa bembelezi au nyimbo za watoto

ZOEZI 8

1. Tunga sentensi kuonyesha wakati uliopo -na-

2. Tunga sentensi kuonyesha wakati uliopita -li-

3. Tunga sentensi kuonyesha wakati ujao -ta-

Zoezi 9

1. Andika maamkuzi yanayotumika katika miktadha ifuatayo na majibu yake.

(a) Mtoto kwa mzazi au mlezi.

(b) Wakati wa asubuhi

(c) Wakati wa jioni.

(d) Watoto kwa watoto.

(e) Mtoto mdogo kiumri kwa mkubwa wake?

KIFUNGU CHA 5: UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Zoezi 10

1. Taja wakati ambao maagano yafuatayo hutumika.

(a) Buriani -

(b) Safari njema -

(c) Kwaheri -

(d) Usiku mwema -

(e) Alamsiki

Zoezi 11

1. Pigia mstari vitenzi vilivyo katika wakati uliopo hali ya kuendelea

(a) Watoto wangali wanacheza.

(b) Mwalimu angali anasoma.

(c) Wakulima wangali wanapanda mahindi.

(d) Mvua ingali inanyesha.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(e) Serikali ingali inasambaza maji safi.

2. Pigia mistari vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali ya kuendelea kwenye sentensi zifuatazo

(a) Shamba lilikuwa likipaliliwa tulipofika.

(b) Hakimu alikuwa_ asikiliza kesi ya

unyanyazaji.

(c) Mama alikuwa anapika ugali jioni.

(d) Mgeni alikuwa akitembea nijiani.

(e) Nilipofika nyanya alikua akilala,

KIFUNGU CHA 6: USALAMA SHULENI

Zoezi 12

1. Pigia mstari vitenzi vikuu kwenye sentensi Zifuatazo

(a) Wajenzi walikuwa wakijenga nyumbani.

(b) Wanafunzi waliweza kusafisha maktaba jana.

(c) Bawabu angali analinda lango la shule. (d) Itambidi mfanyakazi alime shamba lote.

(e) Mtoto huyo ameweza kuponea ajali.

2. Tunga sentensi tano kwa kutumia vitenzi vikuu

ZOEZI 13

1. Taja vitenzi visaidizi vitano unavyojua

2. Tunga sentensi ukitumia vitenzi visaidizi ulivyotaja hapo juu

KIFUNGU CHA 7: KUHUDUMIA JAMII SHULENI

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Zoezi 14

1. Soma kifungu kifuatacho kisha ufanye _ shughuli zinazofuata

Tunapoketi na kutafakari kuhusu elimu, tunaona kwamba elimu ni kitu muhimu sana katika jami, nayo
humsaidia adinasi kila kuchao. Kwanza kabisa,

elimu haipatikani shuleni na vyuni tu bali huendelea kila siku. Utakubaliana name nikisema kuwa kila
siku unasoma jambo jipya katika ulimwengu huu hata kama uliyakamilisha masomo ya chuoni mwongo
mzima uliopita. Nasema haya uyapatayo hutokana na visa mbalimbali. Vinavyowapata aila au sahibu
yako na kwa hivyo ukatahadhari kabla ya kupatwa habari ile.

(a) Andika habari kuu za aya hiyo.

(b) Andika sentensi moja inayoeleza habari kuu za aya hiyo kwa usahihi.

(c) Eleza maana ya ufupisho.

Zoezi 15

Pigia mstari vitenzi vishirikishi kwenye sentensi zifuatazo

(a) Suleiman ni mtoto mwadilifu sana.

(b) Sisi si wavivu katika kila tufanyalo.

(c) Kitanda chako ki nyuma ya mlango.

(d) Wao ndio washindi wetu wa Kiswahili.

(e) Katana ndiye mwimbaji hodari.

Tunga sentensi ukitumia vitenzi vishirikishi vifuatavyo

(a) Vi -

(b) Si

(c) Yu

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(d) Ndisi

(e) Ni

KIFUNGU CHA 8: ULAGUZI WA BINADAMU

Zoezi 16

1. Eleza maana ya mazungumzo ya kupasha habari.

2. Ni tofauti gani illyopo baina ya mazungumzo ya kupasha habari na aina nyingine za mazungumzo.

3. Eleza maana za maneno yafuatayo.

(a) Ploti -

(b) Mandhari -

4. Eleza umuhimu wa ploti ya novella.

5. Eleza umuhimu wa mandhari ya novella.

Zoezi 17

1. Tunga sentensi tano zenye ngeli ya U — I

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

2. Tunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U -l

a)

b)

C)

d)

e)

KIFUNGU CHA 9: MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI

KATIKA MAWASILIANO
Zoezi 18

1. Andika vitanza ndimi tano zenye sauti d na nd

2. Tunga sentensi ukitumia vitanza ndimi ulizoandika hapo juu.

Zoezi 19

1. Tunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi ukitumia nomino zifuatazo.

(a) Kidole

(b) Kitoto

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(c} Choo

(d) Kitanda

(e) Chakula

Zoezi 20

1. Andika wingi wa sentensi zifuatazo,

(a) Jaa jipya linatupiwa taka -

(b) Gari la babu yangu -

(c) Nanasi lilioiva ni tamu -

(d) Jimbo lako limenawiri kwa sababu ya kilimo biashara

(e) Jengo lenye kifaa cha kidijitall lihifadhiwe

2. Tunga sentensi zenye upatanisho wa kisaru! wa ngeli ya LI - YA ufaao.

(a) Jani -

(b) Jicho -

(c) Bega -

(d) Panzia -

(e) Dirisha -

Zoezi 21

1. Toa maelezo ya msamiati ufuatayo.

(a) Kipepesi -

(b) Intaneti -

(c) Arafa -

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(d) Pigwa jeki -

(e) Barua pepe -

(f) Kujipalia makaa -

(g) Tovuti -

KIFUNGU CHA 10: KUJITHAMINI

Zoezi 22

1. Watu katika mchoro huo wanafanya ain?

2. Wimbo gani unaoweza kuimbwa na watu hao?

3. Andika umuhimu tano wa nyimbo za kazi.

Zoezi 23

1. Tambua mazingira yanayoonekana kwenye picha hizo.

2. Ni nyimbo gani zinazohusishwa na mazingira uliyotambua?

3. Imba wimbo wowote unaoweza kuimbwa katika shughuli zinazohusishwa na mazingira mMojawapo.

4. Andika umuhimu wa nyimbo za dini.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(a).

(b) .

(c) .

Zoezi 24

Nomino Kinyume

a) Mvulana

b) Koo

c) Bibi

d) Mjomba

e) Fahali

f) Tajiri

2.

Kivumishi. Kinyume

Refu

Eupe

Karimu

Safi

Nene

KIFUNGU CHA 11: MAJUKUMU YA WATOTO

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Zoezi 25

1. Jedwali la vitenzi na minyambuliko yake

Kutenda. Kutendea. Kutendwa

Pigia

Soma

Chukua

Omba

Cheza

Fua

Beba

KIFUNGU CHA 12: MAGONJWA YANAYOAMBUKIZWA

Zoezi 26

1. Tunga sentensi sahili tano Zinazolenga magonjwa ya kuambukizwa.

2. Tunga sentensi ambatano tano kuhusu magonjwa ya kuambukizwa.

KIFUNGU CHA 13: UTATUZI WA MIZOZO

Zoezi 27

1. Eleza mbinu za lugha zifuatazo huku ukizitolea mfano.

(a) Tashbihi

(b) Methali
Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(c) Chukutanakali za sauti

(d) Nahau

Ukanushaji kwa kuzingatia nyakati

Zoezi 28

_ Ukanushaji ni hali ya kukataa jambo.

1. Tunga sentensi tatu katika wakati uliopo uliopita na ujao.

2 Kanusha sentensi ulizozutunga.

3. Kanusha sentensi ulizozitunga.

(a) Mazungumzo baina yao yalipunguza uhasama.

(b) Sisi tutachoma taka.

(c) Wakazi wale watapanda miti.

(d) Mzozo huo utatatuliwa na chifu.

(e) Meka anamwambia mzazi wake hela.

KIFUNGU CHA 14: MATUMIZI YA PESA

Zoezi 29

Hali ya wastani. Hali ya ukubwa

Samaki

Jicho

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Choo

Ndoo

Ukuta

Mwana

KIFUNGU CHA 15: MAADILI YA MTU BINAFSI

ZOEZI 30

1. Badilisha sentensi zifuatazo kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa.

(a) Nikijua utanigeuka sitakusaidia”, mkopeshaji alimwambia mnunuzi.

{b) Msomaji wa habari allsema “jua likichomoza nitaanza kazi”.

(c) “Tuhifadhi vyema_ vipakatalishi vyetu baada ya somo”, mwalimu alisema.

(d) “Mtu mwenye maadili hupendwa na wengi”. Kiranja aliwaambia.

(e) Weneta alisema, Uzalendo wako utajulikana iwapo utalipa ushuru kikamilifu’.

2. Badilisha sentensi zifuatazo kutoka usemi taarifa hadi usemi halisi

a. Almasi aliwahimiza wenzake kuwa wawe waangalifu) wanaposakura kwenye mtandao.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

b. Mgeni mwalikwa aliwaambia kuwa kuihudumia jamii shuleni ni jukumu la kila mmoja wao.

c. Mwalimu aliwaambia kuwa wangefaulu maishani mwao_ ikiwa wangezitoa maadili ya mtu binafsi.

d. Nyanya alimwomba mbalamwezi amsaidie kubeba mzigo.

e. Chifu aliwaeleza wazazi kwamba watoto wa jinsia zote ni sawa wasibaguliwe.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

KISWAHILI TATHMINI
Mtihani wa Tathmini 1

Sehemu A

Kuzingatia 1_wa mazingira 2_ swala la mjadala tena. 3_ni watoto wachanga tu ambao 4_ukweli huu. 5_
ni jambo la kupoteza tumaini kuona mazingira yakichafuliwa 6 . Wananchi wa humu nchini na
kwingineko ulimwenguni 7_wanaendelea _ 8 wenzao 9_ kuyaweka mazingira katika hali safi. Tusiwe
pweza wa kujipalia maji. Tuyatunze mazingira 10_.

A B C. D.

1.Usafi Safi usafi uchafu

2.ni si. Ndio sio

3.kwa vile Angalau ikiwa. labda

4.hawayui hawajui wanajua hawakuijua

5.kwa hivyo Na vile Hata hivyo Na pia

6.kweli Pia. kabisa. hakika

7. walikua wangall wangekua wanakuwa

8. kusaidia kuagiza kuhamasisha kuendeleza

9. kwa kuwa dhidi ya pia. ili

10.yetu letu chetu. zetu

SEHEMU YA B

Kusoma

Soma kifungu alafu jibu maswali kutoka 11 - 20

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Unapotembeatembea katika miji na majiji yetu makuu ni kawaida kuwaona watoto walionenepa sana.
Utawaona wameandamana na wazazi wao wanaoonekana kutojali afya ya watoto wao. Watoto wenyewe
wataonekana wenye raha, wasio na lolote la kuashiria kuwa wanaijali afya yao. Ukikutana nao katika
maduka makuu, utawapata wakiburura troli zilizo sheheni mapochopocho ya kila aina. Kaukau, biskuti,
chokoleti, keki na tamutamu nyinginezo. Kutoka hapo, ukiwafuata wataingia katika mikahawa na kuagiza
vibanzi, kuku na sharubati au soda. Baada ya kula na kushiba shibe yao, wataingia magarini mwao na
kupelekwa nyumbani au kustarehe kwingineko. Vyakula hivi vyenye mafuta na sukari nyingi ndivyo
husababisha miili iwe minene. Kuutia msumari moto kwenye kidonda, mazoezi ya kunyoosha misuli
hayapo. Nyumbani nako hawana majukumu yoyote. Kazi ni kutazama runinga na sinema. Si nadra wao
kufuliwa nguo, kupigiwa viatu rangi na mengine. Wajakazi na watwana wao hulimbikiziwa kazi zote.

11.Watoto wanaozungumziwa wana sifa ya

12.Vyakula wanavyoagiza wana hawa vina upungufu wa

13.Si nadra.....maana yake ni

14.Watoto hawa huburura troli zilizojaa

15.Vyakula vyenye mafuta vyenye mafuta husababisha nini

16.Andika ufupisho wa ufahamu huu

17.Andika kichwa mwafaka cha ufahamu

huu.

SEHEMU YA C

18. Sahihisha sentensi zifuatazo ukizingatia matumizi sahihi ya kikomo.

(a) Mama Tulia ameenda sokoni kununua matunda

(b) Mji wa Nakuru utapata wageni wengi tarehe 24/06/2023

(c) Zenga huangua kucha zake kila mara 19. Tunga sentensi ukitumia nomino za pekee

(a) Jumamosi

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(b) Profesa Oliech

(c) Februari

20. Pigia mstari nomino za makundi

(a) Mama alinunua chane la ndizi sokoni.

(b) Ukienda sokoni ninunulie fungu ta nyanya.

(c) Baba aliweka bunda la noti sandukuni

21. Tumia viambishi ngeli vifaavyo:

Ndizi hii_ bivu ni _dogo sana.

22. Tuliandikiana barua_ naye. Kauli iliyotumika ni

23. Andika wingi wa:

(a) Wino uliomwagika Sakafuni umezolewa

(c) Unapenda kucheza na mtoto

(c) Alimuua nyoka karibu na ua.

24, Kinyume cha ziba ni

25. Andika ukanusho wa:

(a) Baba alikula akashiba

(b) Nyanya ameenda sokoni

(c) Mwanafunzi ataandika kitabuni

26. Geuza katika usemi taarifa

(a) “Kesho ni jumamosi’ mwalimu alituambia

27. Andika majibu ya maamkuzi

(a) Sabalkheri

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(b) Shikamoo

Kuandika Insha Andika Insha ya kusisimua kuhusu

LISHE BORA

MTIHANI WA TATHMINI WA 2

KAMILISHA KIFUNGU KIFUATACHO KWA KUTUMIA MAJIBU ULIYOPEWA.

Usafi _ Kibinafsi ni jukumu la kila_ katika Jamii. Hili si jukumu ta kuwachia _bu wa kuwaeleza wanao
kunawa_ kabla na baada ya kula na kutumia _._Walimu nao wana jukumu la kuendeleza ufunzaji huo,
Wanapaswa kuwaeleza _ umuhimu wa kunawa, kutumia_ na kufua zao.

(wa, mswaki, shuleni, walimu, wanafunzi, nguo, mikono, mtu, wazazi, misala)

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswaili

Viumbe wote hai huhitaji chakula ili kuishi. Chakula huwapa binadamu nguvu ili waweze kufanya
shughuli zao za kila siku. Ni muhimu kula chakula bora na cha kutosha. Tunashauriwa Chakula cha
wanga huongeza nguvu mwilini.kula mlo kamili ulio na virutubishi na madini. Tunahitaji nguvu ya
kusoma, Kuandika na kufanya shughuli zingine za kila siku. Baadhi ya vyakula vya Wanga ni mahindi,
mihogo, wali na ugali. Vyakula vya protini kama vile samaki, maharagwe, mayai na pojo hutusaidia
katika kujenga mwili na uponaji wa vidonda na majeraha.

Vitamini ni mojawapo ya virutubishi muhimu katika mwili wa binadamu. Husaidia kulinda mwilt dhidi
ya maradhi mbalimbali. Vyakula vilivyo na vitamini ni kama vile mboga za majani na matunda. Maji
hujenga asilimia kubwa ya mwili wa binadamu na husaidia kuusafisha mwili. Maji kamili, sharubati,
maziwa, supu au chakula chenye maji kwa wingi kama mboga na matunda huongeza maji mwilini.
Chumvi pia ni muhimu mwilini kwa kuwa huongeza ladha kwenye chakula. Baadhi ya vyakula kama vile

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

biskuti, chokoreti na peremende hudhuru meno. Ni muhimu kutovila vyakula hivi ili kujiepusha na
madhara yake.

Ni vyema kutathmini lishe bora. Kula vyakula vyenye viinilishe hakudhibiti magonjwa tu bali pia
hutufanya tuwe thabiti. Jambo hili la kuwa imara hutuwezesha kufanya shughuli mbalimbali bila shida.
Maradhi huathiri afya yetu.Tunaweza kuyaepuka iwapo tutakula vyakula .Ni kweli kuwa kuthamini lishe
bora hufanya tuwe na afya vinavyoridhisha mahitaji ya mwili madhubuti.

11.Umejifunza nini kutoka kwenye kifungu?

12.Tambua msamiati kuhusu lishe bora uliotumika katika kifungu

13.Eleza maana ya msamiati uliotambua. Tumia kamusi ya Kiswahili ukitatizika.

14.Toa muhtasari wa kifungu ulichokisoma.

15.Andika vyakula vyenye viinilishe ya kudhibiti magonjwa mwilini.

a)

b)

c)

d)

SARUFI

16.Tunga sentensi tano ukitumia nomino za wingi.

(a)

(b)

(c)

(d)

17. Pigia mstari nomino za vitenzi jina kwenye sentensi zifuatazo

(a) Kuimba kule kulimchangamsha msikilizaji.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(b) Kuandika kuzuri kunamvutia mwalimu.

(c) Kuhutubia huko kuli hamasisha hadhira.

18. Badilisha sentensi zifuatazo ziwe katika wakati ulio kwenye mabano.

(a) Mbuzi wale wanatibiwa (wakati uliopita)

(b) Mtoto mwadilifu anapewa tuzo (wakati ujao)

(c) Walezi watazingatia haki za watoto (wakati uliopo)

19. Andika majibu ya maagano yafuatayo

(a) Kwa heri

(b) Lala salama

(c) Alamsiki

20. Pigia mistari vitenzi vikuu kwenye sentensi zifuatazo.

(a) Bawabu angali analinda lango la shule.

(b) Itambidi mfanyakazi afike kazini mapema.

(c) Mwalime huwa anasoma gazeti.

Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja kuhusu UNYANYASAJI WA KIJINSIA

MTIHANI WA TATHMINI 3

Kusoma

Soma kifungu kifuatacho ukizingatia matamshi bora

Watetezi wengi wamezuka ili kujishughulisha na shughuli aula ya kuzitetea haki za watoto.Utetezi huu
umezagaa mashinani na mijini. Lakini je, umewahi kuketi na kujiuliza watoto haki zipi? Ama wewe
wadhani haki za watoto ni kule kutoadhibiwa kwa mieledi tu! —

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Haki za watoto zimeorodheshwa katika katiba kwanza kabisa, kama mtu mwingine yeyote mtoto ana haki
ya kuishi. Hakuna anayeruhusiwa na sheria kukatiza uhai wa mtoto eti kwa kuwa ni mtoto. Wanaoavya
mimba na kuwatupa watoto baada ya kujifungua huchukuliwa hatua kali za sheria.

1. Tambua vitenzi visaidizi kwenye sentensi zifuatazo kwa kuvipigia mistari. (a) Tumekuwa tukisoma
vitabu vya hadithi.

(b) Itatubidi tuimarishe usalama wetu shuleni.

(c) Wanyama pori wangali wanatunzwa nchini Kenya.

2.Tumia koma kuakifisha. sentensi zifuatazo

(a) Mfanyi biashara alipata faida ya shilingi 500230.

(b) Je unafahamu kuwa tarakilishi kipepesi rununu na kipakatalishi ni vyombo vya mawasiliano?

3.Taja nomino tano kwenye mazingira ya shuleni zinazopatikana katika ngeli ya A — WA

(a)

(b)

(c)

(d)

4. Tunga sentensi zenye upatanisho Ufaag wa kisarufi ukitumia nomino Zifuatazo.

(a) Ndege

(c) Kipepeo

(d) Askari

(e) Mwalimu

(e) Mbunge

5. Andika vitanza ndimi zenye sauti dh na th

(a)

(b)
Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(c)

(d)

(e)

Kuandika

Insha

Andika Insha ya

UMUHIMU WA KUIHUDUMIA JAMII SHULENI

MTIHANI WA TATHMINI 4

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Sahihisha kifungu kifuatacho na kukiakifisha ipasavyo.

Maswali mengi yameibuka siku za hivi majuzi kuhusu ulaguzi wa binadamu. Kwanza kabisa, ulaguzi wa
binadamu ni nini je, unahusisha kina nani ni nani wa kulaumiwa kuhusu swala hili. Bila shaka ulaguzi wa
binadamu ni jambo lililo kinyume na haki za kibinadamu. Ni nani asiyefahamu madhara yanayotokana na
zimwi hili mbona binadamu mwenye akili razini awe na tama ya kumnyanyasa binadamu mwenzake je,
tumepaliwa na utu kabisa Tunafaa kuwaza na kutafakari kwa kina kuhusu hali ya kizazi kijacho mbona
tukiache kiangamie.

4 Jibu maamkuzi na Maagano.

(a) Alamsiki

(b) Chewa

(c) Habari yako?

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(d) Shikamoo nyanya?

(e) Masalkheri?

2. Chora na utie rangi vyakula mbalimbali vya lishe bora.

3.Tumia nomino za wingi zifuatazo kutunga sentensi.

(a) Maji

(b) Mafuta

(c) Maziwa

(d) Marashi

(e) Uji

4.Eleza sifa tatu za nyimbo za watoto

(a)

(b)

(c)

KUANDIKA INSHA

Andika vidokezo vya kuandika insha ya kubuni yenye ujumbe kuhusu

UHURU WA WANYAMA

MTIHANI WA TATHMINI 5
Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Soma sentensi zifuatazo ipasavyo

(a) Mlango upi uliotengenezwa na_ fundi huyu?

(b) Muhogo huu utapikiwa mgeni.

(c) Mti umepandwa na chifu yule.

(d) Misitu imefaidi nchi hii

(e) Mpira umeshonwa Andika win i wa sentensi zifuatazo

1. Mamba amemvutia mtalii

2. Kifaru amezuiliwa na mlinzi yule asitoroke mbugani.

3.Dereva ataliendesha gari lenye mzigo polepole.

4. Shamba lake limepandwa mananasi

5. Samaki mdogo alirudishwa majini

Tunga sentensi zenye sauti ‘nd na 'd'

(a)

(b)

(c)

(d)

(e)

Andika wingi wa

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(a) Gazeti hilo litiwe katika kabati zuri.

(b) Jimbo langu linasisitiza haki ya mtoto

(c) Jifya ndogo litatumiwa na mzazi

(d) Kufuli lipi litakalotumika kufungia kizimbe cha kuku?

(e) Tunda litakuongeza vitamin.

KUANDIKA

INSHA

Andika barua rasmi ya kuomba msamaha kwa kukosa kuhudhuria vipindi vya Kiswahili.

MTIHANI WA TATHMINI 6

Chagua jibu lifaalo kujaza pengo

1_ ni vitu kama vile madini, misitu, maziwa, wanyamapori na vitu vingine 2_ na maumbile ambavyo
hupatikana katika mazingira. Mito pia huunda sehemu kubwa ya mazingira. Mto ni maji 3_ 4_ wakati
wote 5_ kuanzia milimani kuelekea ziwani au baharini 6_ kuna baadhi ya mito 7_ hutowekea kwenye 8_ .
Nchini Kenya kuna mito na 9_, vingi. Mito mikuu ni pamoja na Tana, Ewaso, Nyiro na Athi 10 urefu wa
kilomita 5477. Mito mingine ni Yala, Sondu, Mailewa, Sio na migineyo.

A B. C D

1. Mazingira maliasili malighafi mazingara

2. Inavyotokana zinazotokana yanayotokana wanaotokana

3. Mingi nyingi makubwa mengi

4. Inayotiririka yanatiririka yanayotiririka zinazotiririka

5. Aghalabu sanasana maramingi angalau

6. labda aidha licha ya maadamu

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

7. ambao ambayo ambazo yenye

8. milima masimo vinamasi misitu

9. vishimo vijitu visima vijito

10. wenye yenye zenye ina

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali

Siku hiyo ni siku ambayo bila shaka Sifa hataisahau maishani asilani. llikua siku ya siku. Siku ambayo
angepata fursa ya kujifunza mengi. Alikua amefunga safari kutoka mashambani walikoishi ili kuja mjini
kuhudhuria hafla ya kipekee. Siku yenyewe ilikua siku ya jumamosi mwezi wa Aprili wakati ambapo
shule zilikua zimefungwa kwa likizo ya muhula wa kwanza.

Hauchi hauchi unakucha. Siku yenyewe ilipowadia, Sifa aliabiri matwana hadi mjini kisha akapiga
milundi kufululiza kenyekenye hadi katika taasisi ya Elimu ya Talanta.milundi n jmbali vya kidijitali
kama vile tarakilishi, vipakatalishi, Hapo wangejifunza mengi kuhusu vyombo mbalimbali vya kidijitali
kama vile tarakilishi,vipakatalishi,rununu, vipepesi na kadhalika. Walikua wamepewa mwaliko wa
kuenda kujifunza kuhusu matumizi ya vifaa vya kidijitali katika mawasiliano.

Alipofika katika ukumbi wa mapokezi wa shirika hilo, alimkuta mhazili. Rehema alikua amemsubiri
kumwongoza hadi katika chumba cha mkutano. Aliwakuta wanatunzi wengi wa rika lake kutoka maeneo
mbalimbali ya nchi wakiwa wametulia. Walikaa ange wakisubiri shughu ae Mzungumzaji alipoaanza
kuwaeleza kuhusu matumizi ya vifaa vya Kidijitali katika mawasiliano wote walitega maskio na
kusikiliza kwa makini. Aliwarai na kuwashawish kuwa vayifunze kuvitumia kwani vifaa hivyo vina
mchango mkubwa katika Nyanja nyingi za maisha yakiwemo.

1. Mhusika mkuu katika kifungu hiki ni nani?

2. Mbhusika mkuu katika kifungu hiki alikuja mjini kufanya nini?

3. Shughuli yenyewe ilifanyika wapi?

4.Siku ya hafla yenyewe ilikuwa gani?

5. Andika kifungu kifupi kuhusu_ kifungu ulichokisoma.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Andika sentensi zen e u-atanisho ufaao wa kisarufi ukitumia nomino zifuatazo:

(a) Kitabu

(b) Chandarua

(c) Chama

(d) Kijiti

(e) Kikombe

Andika umoja wa sentensi zifuatazo

a) Vyakula vyenye viungo vitamu vitapewa vijibwa vile.

b) Vidole hivi ndivyo vinavyotumika kubofya . bodidota.

(c) Vichwa vya vifungu hivi vinahusu vifaa vya kidijitali.

Andika kinyume cha:

(a) Mbingu

(b) Eupe

(c) Nzuri

(d) Mwanaume

(e) Wengi Kuandika

Andika hotuba ya kupasha habari kuhusu MAGONJWA YA KUAMBUKIZWA

MTIHANI WA TATHMINI 7

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Soma kwa sauti maneno yafuatayo

(a) uwekezaji (f) mhalifu

(b) miradi. (g) mashabiki

(c) wateja. (h) mzozo

(d) akiba. (i) kuhifadhi

(e) mtaji. (f) ardhi

Soma wimbo ufuatao kwa makini kisha ujibu maswali

Wakenya tufanye kazi na tujenge taifa, Kwani nchi yetu hujengwa nasi wananchi, Kwako wewe
mwanafunzi, amka tafadhali, Nenda shuleni usome, upate maarifa.

Hata wewe mkulima, elekea shambani Kilimo ndicho uti wa mgongo wa uchumi wetu, Kwenu nyinyi
wasomi, msichague kazi Kwani mchagua jembe, si mkulima.

Bidii ni lazima, huimarisha uchumi Tujikaze kazini ili tujenge taifa Wakulima tulime kwa nguvu zetu
zote, Bidii ndio msingi wa maendeleo.

1. Wimbo huo ni wa aina gani? Eleza jibu lako

2. Eleza ujumbe katika wimbo huu

3. Imba wimbo huo kwa njia_ inayofaa ukizingatia hisia na ishara za mwili.

Andika sentensi zifuatazo upya ukitumia vinyume vya maneno yaliyopigiwa mistari

(a) Mtoto huyu ni mkarimu

(b) Bibi mwenye nguo nyeusi ni mfupi

(c) Njia hii ni ndogo na fupi.

Pigia mstari kitenzi — jina katika sentensi zifuatazo

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(a) Kuilinda nchi yako ni kuonyesha uzalendo

(b) Kumpa huduma ya kwanza kumsaidia.

(c) Kusafisha mazingira kunazuia magonjwa mengi.

d) Kupalilia mimea ni shughuli muhimu katika ukulima.

(e) Kupanda miti kunazuia mmomonyoko wa udongo.

KUANDIKA

Insha

Andika Insha kuhusu

MAJUKUMU YA WATOTO

MTIHANI WA TATHMINI YA 8

Soma sentensi zifuatazo ipasavyo

(a) Wachezaji walicheza vizuri.

(b) Rehema alisema kuwa alikua akiishi karibu na maduka.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(c) Mnunuzi alilalamika kuwa maembe hayo yalikuwa na mabuu.

(d) Ami aliuliza kwa nini walikuwa wakipigana.

(e) Ali alisema kuwa kwake kulikuwa kukipigwa deki wakati huo.

Soma kifungu kifuatacho kisha ufanye shughuli zinazofuata

Sote tunapenda mwalimu wetu. Mwalimu huyo alitufunza kuhusu magonjwa ya kuambukizwa.
Magonjwa hayo yanaathiri watu wengi licha ya kuwa yanawezwa kukingwa. Magonjwa hayo yanaweza
kuingia mwilini kwa njia tofauti. Mtu hafai kula vyakula bila ya kunawa. Hiyo ni njia rahisi ya
kuambukizwa maradhi. Wengine hawanawi mikono ingawa wanaelewa kuwa ni mienendo mizuri. Kila
mmoja ana jukumu la kuimarisha afya. Ni sharti sisi sote tudumishe afya bora ili tuishi kwa muda mrefu.
Tukumbuke kuwa afya ni mali.

(a) Andika sentensi sahihi zilizotumika kwenye kifungo hicho.

(b) Andika sentensi ambatano kutoka kwenye kifungu hicho.

(c) Andika hotuba fupi ya kupasha habari kuhusu namna ya kujikinga kutokana na magonjwa ya
kuambukizwa.

Kanusha sentensi zifuatazo

(a) Mhalifu yule alipelekwa katika kituo cha polisi.

(b) Musa anamwomba mzazi wake msamaha.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(c) Mwizi atarudisha mali aliyoiba.

(d) Wajukuu walishauriwa na babu kuhusu amani na umoja.

Andika katika wingi

(a) Kula anakokula kunaweza kuhatarisha maisha yake.

(b) Halima alijaribu kuruka kamba bila mafanikio.

(c) Kuishi kwingi ni kuona mendgi.

(d) Kufuzu kwema kunahitaji kujitolea.

Sanifisha vitenzi vilivyo mabanoni vilete mn ambuliko ufaao

(a) Kitabu iki kina _____ (soma) vizuri.

(b) Vera alina___ (nawa) watoto mikono kabla ya kula.

(c) Kibet ali ___ (chukia) na uvundo wa choo chetu.

(d) Wachira ana __(cheza) timu ya shujaa.

Kuandika Insha

Andika Insha ya maelezo kuhusu

RAIS WETU

MTIHANI WA TATHMINI 9

Andika maneno utakayosomewa na mwalimu au mzazi.

(a)

(b)

(c)

(d)

(e)

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(f)

(g)

(h)

(i)

(j)

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali

Urafiki ni uhusiano mwema au unaofaa baina ya mtu na mwingine. Pia, unaweza kuwe usuhuba keti ya
Jamii na Jamii au nchi na nyingine. Usahibu wa mtu

na mwingine ni hali ya mja kumpenda na kumwamini mwingine. Neno rafiki hutumiwa kama kisawe cha
sahibu, swahibu, muhibu, mwandani, mbasi

Kufanya urafiki kunahitaji tahadhari kubwa. Rafiki wa kweli atakua mtu anayeweza kukusaidia kwa
urahisi ukiwa na shida. Yafaa ikumbukwe kuwa adha haina hodil. Ni muhimu kwa marafiki kuelewa
kuwa mtu anayekupenda wakati ambapo una shida ndiye muhibu wa kweli.

Uaminifu au utendaji wa mambo kwa nia dhabiti ni sifa nyingine muhimu ya marafiki. Kumpata mwenzi
wa aina hii huhitaji maarifa na akili ya kutoa uamuzi unaofaa.

Masahibu hawana budi kuwa waadilifu katika usuhuba wao kutendeana haki bila upendeleo, ushirikiano
au utangamano miongoni mwa marafiki, hulazimu kuungana na kusaidiana pasi na nia ya kunyonyana.

Kuhusiana kimbasi huhitaji uangalifu makini na hadhari. Ni jambo la muhimu kukumbuka kuwa asiye
nadhari, siandamane naye. Hili ni jambo linalosisitizwa kwa usemi kuwa mtu aso nadhari, ng’ombe.
Natoa himizo kwa masahibu kuwa wasikilizaji wema na wenye akili zilizotua wanapohusiana. Urafiki,
kama ulivyo mgomba, huhitaji kupaliliwa kwa hekima na busara.

(a) Kumpenda na kumwamini mtu mwingine ni sawa na .

(b) Maana ya adha haina hodi ni

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(c) Andika visawe vya neno rafiki

(a)

(b)

(c)

(d)

(c) Kulingana na taarifa rafiki wa kweli ni (d) Kuhusiana kimbasi ni sawa na

(e) Kichwa kifaacho cha habari hii ni

Andika kinyume cha vitenzi katika sentensi zifuatazo

(a) Wanafunzi wote walianika nguo zao asubuhi.

(b) Babu aliketi ili ahesabu miche.

(c) “Meza unachokula haraka”, yaya alimwambia mtoto.

(d) Mwalimu wetu alifurahishwa na mchezo wetu.

Andika wingi wa

(a) Ukata wake ndio ulimponza.

(b) Wema aghalabu hauozi.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(c) Sandukuni humo mna bunda la noti.

(d) Kijijini kuna maisha mazuri

(e) Kucheka kwako kulimwaibisha.

Andika ukanusho wa:

(a) Baba atamnunulia baiskeli.

(b) Mtoto anakunywa maziwa.

(c) Mimi nitasema ukweli kesho.

(d) Nokoa atafanya bidii kazini.

Kuandika Insha

Andika Insha ya maelezo kuhusu

MATUMIZI YA PESA

MTIHANI WA TATHMINI 10

Soma sentensi zifuatazo ipasavyo

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(a) Nyumba ingalisafishwa tena ingalitakata.

(b) Kitabu kingaliwekwa jalada kingalidumu.

(c) Kuzi angalisoma polepole tungalimsikia.

(d) Wazirl angalipokea matokeo angaliyatangaza.

(e) Ukuta ungalisiribwa vyema ungalikuwa laini.

Andika sentensi hizi katika usemi taarifa

(a)“Mimi ninapenda kusoma Kiswahili” Kamanda alisema

(b) Wanafunzi walisema “Tulisoma mazoezi mengi ya insha jana”

(c)"Ninasoma kitabu sasa” Janeti alisema.

Kamilisha Jedwali

Kitenzi Kutendeana Kutendwa

Andika ------------- -------------

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

Pika pikiana -------------

Panda ------------- -------------

Ruka ------------- -------------

Ingia ------------- -------------

Haribu ------------- -------------

Andika umoja wa sentensi zifuatazo

(a) Vyombo vyao vimeundwa vizuri sana.

(b) Vitabu vikipotea walimu watakasirika.

(c) Vikapu vidogo vina matunda mengi.

(d) Vyama vya riadha vimesifika sana.

(e) Vitanda vya wanafunzi havifai kuwa na kunguni.

Taja na uandike magonjwa mbalimbali

yanayoambukizwana.

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553
MINISTRY OF EDUCATION

JUNIOR SECONARY SCHOOLS ALL STRANDS & SUBSTARNDS REVISION QUESTIONS

(a)

(b)

(c)

(d)

(e)

KUANDIKA INSHA

Andika Insha ya kubuni yenye kumalizia na

.........unapotenda mema nenda zako

Compiled and Distributed by Kenya Educators Consultancy, P.O.BOX 15400-00500, Nairobi. Tel 0724333200,
Email: kenyaeducators@gmail.com. ORDER MARKING SCHEMES ONLINE AT: www.kenyaeducators.co.ke or
Contact Kenya Educators Consultancy officials 0724333200/ 0795491185/ 0768321553

You might also like