Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

VIFAA/ZANA

MWZ

WIKI
UMAHIRI UMAHIRI ZANA ZA

VIP
SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI REJEA ZA MAONI
MKUU MAHUSUSI UPIMAJI
UFUNDISHAJI
Kucheza
michezo Kuwaongoza wanafunzi kucheza michezo
sahihi. sahihi inayochezwa na watoto. mchoro wa duara Maswali na majibu

T.E.T 2015. Mwongozo wa mwalimu kitabu cha kiada drs la I na kiongozi cha
a) Mchezo wa nyama nyama
4

2&3
b) Mdako

JANUARI
Mawe, shimo.

c) kipande Maswali na majibu


Kuthamini utamaduni, sanaa na michezo

Igizo dhima
d) simama kaa

Kuwaongoza wanfunzi kucheza

4&5
4 Igizo dhima Maswali na majibu
e) kuruka kamba
4

1&2

mwalimu.
FEBUARI
f) kuvuta kamba Igizo dhima Maswali na majibu

3&4
g) kuruka viunzi Igizo dhima Maswali na majibu

Kamba ,
Kuwaongoza kucheza michezo ya asili
1 magunia, Maswali na majibu
inayochezwa katika mazingira yao 2
mchanga
Kuwaongoza wanafunzi kufanya mazoezi ya Chati kuonesha
mwili mfano. kujisawazisha, kujiviringisha, 2 2 mazoezi Maswali na majibu
MACHI
na kujinyoosha. mbalimbali

Kuwaongoza wanafunzi kufanya mazoezi,


kucheza michezo ya mpira kwa kuzingatia
Picha kuonesha
kanuni, rede, kurusha na kutaka mpira, 3 Maswali na majibu
2 mikao mbalimbali
kulenga chupa.

MITIHANI YA NUSU MUHULA WA KWANZA 2 MITIHANI YA NUSU MUHULA WA KWANZA

LIKIZO YA NUSU MUHULA WA KWANZA 28/03/ HADI 8/04/2024


VIFAA/ZANA

MWZ

WIKI
UMAHIRI UMAHIRI ZANA ZA

VIP
SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI REJEA ZA MAONI
MKUU MAHUSUSI UPIMAJI
UFUNDISHAJI
Kucheza 4

mwalimu kitabu cha kiada drs


la I na kiongozi cha mwalimu
michezo

2&3

T.E.T 2015. Mwongozo wa


Kuwaongoza wanafunzi kulenga chupa. Chupa, mipira Maswali na majibu

APRILI
sahihi
Kuwaongoza kucheza michezo ya aina 4
4 filimbi Maswali na majibu
tofauti
Kuwaongoza kutembea, riadha, kukimbia 1
Kuthamini utamaduni, sanaa na michezo

mguu mmoja 4 filimbi Maswali na majibu

I
2

E
Uwanja, michezo
Kuwaongoza wanafunzi kukimbia mbio fupi 4 Maswali na majibu
ya mbio, filimbi

M
MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA 3 MITIHANI YA MUHULA WA KWANZA

LIKIZO YA MUHULA WA KWANZA (31 MEI HADI 01 JULAI, 2024)


Kufanya Kuwaongoza wanafunzi kuchora maumbo ya 4 Maumbo yenye Maswali na majibu

mwalimu kitabu cha kiada drs la I


sanaa za herufi na namba na vitu herufi na namba

T.E.T 2015. Mwongozo wa

na kiongozi cha mwalimu


1&2
ufundi za

JULAI
aina
Kuwaongoza kuchora maumbo ya namba Maumbo ya Maswali na majibu
4 namba

3&4
Kuwaongoza kupaka rangi kwa kufuata Rangi mbalimbali Maswali na majibu
maumbo ya herufi, numeral na vitu 4 na herufi/numeral
AGOSTI

1&2
3-4

MITIHANI YA NUSU MUHULA WA PILI

LIKIZO YA NUSU MUHULA WA PILI (30 AGOSTHADI 16 SEPTEMBA, 2024)


VIFAA/ZANA

MWZ

WIKI
UMAHIRI UMAHIRI ZANA ZA

VIP
SHUGHULI ZA UFUNDISHAJI REJEA ZA MAONI
MKUU MAHUSUSI UPIMAJI
UFUNDISHAJI
Kufanya

T.E.T 2015. Mwongozo wa mwalimu kitabu cha kiada drs la I na


sanaa za Kuwaongoza wanafunzi kufinyanga vitu

SEPT
3&4
Udongo wa
ufundi za anavyovifahamu katika mazingira yao na Maswali na majibu
4 ufinyanzi
aina kujieleza
Kuthamini utamaduni, sanaa na michezo

1&2
Kuwaongoza kuchapa kwa kusugua na Maji,rangi,
4 Maswali na majibu
kukandamiza penseli,karatasi

OCTOBA

kiongozi cha mwalimu


Kuimba
nyimbo fupi Kuwaongoza kuimba nyimbo kumi na mbili Nyimbo
3 2 Maswali na majibu
na sahihi. fupi na sahihi.

Kuwaongoza kuimba wimbo mbalimbali kwa Nyimbo


kutumia alama za miziki zinzopatikana na 4 2 mbalimbali Maswali na majibu
kwenye mazingira yake
Kufanya
Kuwaongoza kuangalia mchezo rahisi teule
sanaa za

DISEMBA & NOVEMBA


ya kuigiza ya aina mbalimbali na kujibu 1 2 Maigizo, michezo Maswali na majibu
maonyesho
maswali

Kuwaongoza wanafunzi kusimulia hadithi Hadithi


2 2 Maswali na majibu
sahihi nne zenye ujumbe mbalimbali

Vichekesho
Kuwaongoza wanafunzi kufunya vichekesho 3 2 Maswali na majibu
mbalimbali

MARUDIO YA MADA MBALIMBALI NA MTIHANI WA MARUDIO YA MADA MBALIMBALI NA MTIHANI WA


4&5

MUHULA WA PILI 2024 MUHULA WA PILI 2024

LIKIZO YA MUHULA WA PILI 06/12/2024

You might also like