Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

Maswali OFISI YA RAIS

(a) Pendekeza kichwa cha habari kinachofaa kwa habari uliyosoma TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
(b) “Dereva bora ni yule anayejihami” usemi huo una maana gani? UMOJA WA WAKUU WA SHULE WILAYA YA ITILIMA (TAHOSSA)
(c) Taja watumiaji wawili wa barabara ambao wapo hatarini zaidi wawapo
barabarani kulingana na habari uliyosoma
(d) Orodhesha hatari tatu anazokumbana nazo dereva anapokuwa barabarani.
(e) Toa maana ya maneno yaliyopigiwa mstari kama yalivyotumika kwenye
habari hii. MTIHANI WA PAMOJA ROBO MHULA KIDATO CHA NNE

8. Mkuu wa Chuo cha Utalii Mweka ametangaza nafasi tatu za kazi za udereva 021 KISWAHILI
tarehe 12/3/2023. Wewe kama miongoni mwa wahitimu wa kidato cha nne 2022
umeliona tangazo hilo. Andika barua kwa mkuu wa chuo cha utalii cha Mweka, MUDA: MASAA 3 Machi 17, 2023 Asubuhi
SLP 3090 Kilimanjaro,ukiomba nafasi ya kazi ya udereva chuoni hapo. Jina lako MAELEKEZO
liwe Masumbuko Mateso wa SLP 1215 Bukoba. 1. Karatasi hii ina sehemu A, B na C na zenye jumla ya maswali 11.
2. Jibu maswali yote kutoka sehemu A, B na chagua maswali mawili kutoka
SEHEMU C (Alama 30) sehemu C.
Jibu maswali mawili (2) kutoka sehemu hii 3. Zingatia maagizo ya kila sehemu na kila swali.
4. Andika kwa kutumia kalamu ya wino wa blue au nyeusi
ORODHA YA VITABU TEULE 5. Simu za mkononi na vitu vyote visivyo ruhusiwa kwenye chumba cha mtihani
RIWAYA havirusiwi
Takadini 6. Andika namba yako mtihani katika kila ukurasa wa katatasi yako ya kujibia.
Watoto wa Mama Ntilie
Joka la Mdimu SEHEMU A (Alama 16)
TAMTHILIYA Jibu maswali yote kutoka sehemu hii.
Orodha
NgoswePenzi Kitovu cha Uzembe 1. Chagua herufi ya jibu sahihi katika vingele (i) hadi (x) kisha andika herufi ya jibu
Kilio Chetu (i) Katika kipindi cha harakati za kudai uhuru lugha ya Kiswahili ilipata kukua na
USHAIRI kuenea kwa zaidi kwa maana ya kuongeza msamiati na kukua kimatumizi, katika
Wasakatonge kipindi hicho maneno yafuatayo yaliibuka.
Malengawapya A. Uhuru na umoja, uhuru na kazi B. Baba kabwela, unyonyaji
Mashairi ya cheka cheka C. Kupe, Baba kabwela, Uhuru na kazi D. Uhuru na umoja, unyonyaji,kupe
E. Kupe,umoja na kazi, baba kabwela
9. Jamii ya kitanzania inakabiliwa na matatizo mbalimbali ya kijamii
yanayokwamisha maendeleo. Thibitisha kauli hii kwa kutoa hoja tatu (ii) Kuimba kwake kunafurahisha. Neno lililopigiwa mstari ni aina
kwa kila riwaya kati ya riwaya mbili ulizozisoma. gani ya neno?
A. Kitenzi B. Kivumishi C. Kiwakilishi D. kihisishi E. Nomino
10. Kwa kutumia hoja tatu kwa kila tamthiliya kutoka tamthiliya mbili
ulizosoma. Jadili kufaulu kwa mwandishi katika kipengele cha utumizi (iii) Ni lugha mseto ya muda inayozuka pindi makundi mawili yenye
wa tamathali za semi. lugha mbili tofauti yakutanapo
A. Lugha ya vizalia B. Pigini C. Kibantu D. Kiswahili E. Kiunguja
11. Mtunzi wa mashairi ni mhariri sana katika kutumia miundo tofautitofauti ili
kuipamba kazi yake ya fasihi. Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kuonesha (iv) Lugha ya Kiswahili hujiongeza msamiati kwa njia mbalimbali.
miundo mitatu iliyotumika kwa kila ushairi uliosoma. Je, neno kengele limeundwa kwa njia gani?
A. Kutohoa B. Kubadili mpangilio wa herufi
C. Kuiga sauti D. Urudufishaji E. Kuambatanisha maneno
Page 4 of 4 Page 1 of 4
(v) “Nimesema sikutaki sikutaki sikutaki” Je hii ni tamathali gani ya semi (b) Kwa kutumia nomino (i)-(iv) hapo juu,tunga sentensi moja yenye kiambishi cha
A. Tashibiha B. Taniaba C. Tafsida D. Tashititi E. Takriri O- rejeshi kwa kila nomino
(vi) Bainisha neno lenye kiambishi kinachodokeza kauli ya kutendesha katika 4 (a) Utata katika mawasiliano huweza kusababishwa na mambo mengi.
orodha ya maneno hapa chini Taja mambo manne yanayosababisha utata katika mawasiliano.
A. Kupigiwa B. Paza C. Limika D. Temeana E. Oana (b) Maneno yafuatayo yana maana zaidi ya moja. Toa maana mbili za
(vii) Mwalimu alikuwa anafundisha. Neno lililopigwa mstari ni? maneno haya (i) Paa (ii)Mbuzi (iii) Kaa (iv) Ua (v) Kanga
A. Kitenzi kisaidizi B. kitenzi kishirikishi
C. kitenzi kikuu D. kielezi cha sifa E. kivumishi cha idadi 5 (a) Ainisha neno TUPA na neno KAA katika tungo zifuatazo
(i) Tafadhali kaa hapa unisubiri.
(viii) Sifa ipi haitofautishi fasihi simulizi na andishi (ii) Hicho kisu kinapaswa kunolewa kwa tupa.
A. Ukubwa B.Uwasilishaji C.Uhifadhi D.Ukuaji E. Ukongwe (iii) Kilichobaki tupa kule.
(iv) Watu wa pwani hula kaa.
(ix) Neno lipi kati ya haya ni mofimu huru? (v) Baba ameleta tupa toka sokoni.
A. Uji B. Uzuri C. Uchache D. Ufa E. Cheza (b) Toa sababu nne za msingi ni kwa nini watumiaji wa lugha huongeza
msamiati wa lugha.
(x) Ni hatua inayofuata baada ya kipengele cha mwisho wa barua katika uandishi
wa barua rasmi 6 (a) Waingereza ni wadau wakubwa katika kukuza na kuifanya lugha ya Kiswahili
A. Jina la mwandishi B. Cheo cha mwandishi kuwa hai kama ilivyo katika lugha ya kiingereza kwa kuzingatia shughuli za
C. Saini ya mwandishi D. Salamu za maagano E. kichwa cha barua kielimu katika kipindi chao. Onesha ni kwa namna gani waingereza walikipa
kiswahili mashiko yaliokiandaa kuwa hivi kilivyo leo (hoja tano)
2. Oanisha dhana zilizo katika orodha A kwa kuchagua herufi ya dhana (b) Kwa Maoni yako unafikiri ni kwa jinsi gani matumizi ya picha na michoro
husika katika orodha B, kisha andika herufi husika katika karatasi ya majibu yanamsaidia mtumiaji wa kamusi (hoja nne).
ORODHA A ORODHA B
(i) Makosa ya upatanisho wa kisarufi A. Mzizi asili maana 7. Soma kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata
(ii) Hatua ya kwanza ya uchanganuzi B. Sarufi
wa sentensi C. Kuainisha aina za sentensi Siku zote madereva hupambana na hatari mbalimbali wanapoendesha magari
(iii) Misemo ya picha ambayo huleta D. Tanakali sauti yao barabarani. Hatari hizo husababishwa na ubovu wa magari, uzembe wa
maana iliyofichika E. Tungo tata waenda kwa miguu na hali ya barabara yenyewe. Kusudio la taifa siku zote ni
(iv) Ni kanuni, sheria na taratibu F. Ng’ombe watoa maziwa kuwa na dereva wa kujihami,ambaye atahakikisha usalama barabarani wakati
zinazowabana wazungumzaji wa mengi wote. Dereva bora lazima awe na utaalamu wa kutosha katika kazi yake, awe na
lugha wapate kuelewana G. Mzizi/kiini mbinu kadhaa za kutumia katika kukwepa ajali na kujiokoa yeye, gari lake na
(v) Ni sehemu ya neno inayobakia H. Kuainisha aina za maneno watumiaji wengine wa barabara. Lazima uwezo wake wa kuhisi na kutambua
baada ya kuondoa aina zote za I. Misimu hatari uwe mkubwa. Asiendeshe kwa kudhani au kubahatisha bali awe na uhakika.
viambishi J. Nahau Ang’amue hatari mapema na aamue kukwepa hatari na vikwazo vya barabara.
(vi) Sehemu ya neno ambayo huweza K. Irabu
kutamkwa mara moja na kwa pamoja L. Silabi Si hivyo tu, bali pia ajitahidi kuepuka hatari na kuzuia janga kutokea.
kama fungu la sauti Ajifunze na atumie mbinu mbalimbali wakati ufaao. Aendeshe kwa kufikiri mbele
zaidi na akihisi tatizo atekeleze maamuzi mara moja. Asingojee yatokee aepushe
shari asiwaze kuwa dereva mwenzake ndiye atasimamia bali asimamie yeye .
SEHEMU B (Alama 54)
Jibu maswali yote Wanafunzi wanakwenda shuleni na wazee wamo hatarini zaidi kuliko watu
3 (a) Upatanisho wa kisarufi ni kigezo kimoja wapo kinachounda ngeli za wazima. Hivyo ni muhimu watu hao walindwe na kufundishwa juu ya vyombo
nomino. Kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi panga nomino zifuatayo vya moto wahakikishe ubora wa afya zao kabla kuendesha . Aidha magari
katika ngeli zake (i) Ugonjwa (ii) Sukari (iii) Mchungwa (iv)Uovu (v)Maziwa yakaguliwe mara kwa mara ili yasisababishe ajali za barabarani. Tukizingatia
hayo ajali za barabarani zitapungua kama siyo kuisha kabisa
Page 2 of 4 Page 3 of 4

You might also like