Hisabati Darasa La Sita

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI 28.

Andika saa 1930 katika mtindo wa saa 12

MTIHANI WA HISABATI 29.Ikiwa a=2,b=4 na c=1. Tafuta thamani ya b2-a/c

DARASA LA SITA 30.Tafuta wastani wa namba zifuatazo 20,30,40,na


50
MAY,2023
31.Tausi alitumia 1/7 ya mshahara wake kulipa
JIBU MASWALI YOTE KWA USAHIHI kodi.alitumia 3/7 ya msharaha kwa chakula. Je
alitumia sehemu gani ya mshahara wake wote.
1.2963+2499=
32.Tafuta mzingo wa mstatili
2.7246-5763=
Sm20
3.86×107=

4.27306÷74=
Sm15
5.1/2+1/3=

6.2/5-1/6=
33.Tafuta mzingo
7.3/8×1/4= w
8.2/4÷3/5=

10.3.256-0.136=

11.0.25×0.4= Sm12
12.(+10)+(-20)=

13.(-5)+(-2)= 34.Tafuta Eneo la pembetatu


14.(-25)÷(-5)=

15.Badili ½ kuwa desimali.

16.Badili 0.3 kuwa sehemu

17.Badili ¼ kuwa asilimia Sm10


18.Badili 20% kuwa sehemu

19.Tafuta namba mraba ya 81 Sm8


20.Tafuta kipeuo cha pili cha 64 35.Tafuta thamani ya “a”
21.Tafuta K.D.S cha 12 na 15 2a+20=30
22.Tafuta K.K.S cha 4 na 6 36.Tafuta mzingo wa duara ikiwa kipenyo chake ni
sm 14(π=22/7)
23.Orodhesha namba shufwa zote zilizopo kati ya 10
na 15

24.Orodhesha namba witiri zilizopoz kati 11 na 15

25.Taja namba tasa zilipo kati ya 5 na 10

26.Tafuta thamani ya x Ikiwa 4x-2=10

27.Andika namba MCXL kuwa namba ya kawaida


37.Tafuta eneo la nyuso za mche mstatili wenye
urefu wa sm24,upana sm4 na kimo sm9

38.Tafuta eneo la Nusu duara lenye kipenyo cha sm


28 tumia (π=22/7)

39.Kokotoa :2+10÷5-2=

40.Kuna ½ ngapi katika Lita 20.

41.Tafuta eneo la msambamba

Sm 21

Sm7

Sm14

42.Fikiria namba izidishe ¾ kisha toa 6.Iwapo


jawabu ni 66.Je namba hiyo ni ipi?

43.Juma alizaliwa mwaka 1998 .Andika kwa kirumi


mwaka huo

44.Badili kilogramu 2500 kuwa gramu

45.Mary alinunua jozi ya viatu kwa shilingi 25000 na


kuuza kwa shilingi 16000 Je,alipata hasara ya shilingi
ngapi?

You might also like