Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 5

Powered By: www.manyamfranchise.

com

SHULE YA UPILI YA MURURIA

MTIHANI WA KATI YA MHULA WA TATU 2014

KIDATO CHA KWANZA

JINA: ..NAMBARI: .DARASA…

A. UFAHAMU MK. 15

Maswali
2

1. Kwa nini Amedi alishindwa kuingia shuleni?

2. Amedi alikuwa na tabia gani? Toa mifano.

3. Kuna mafunzo gani yanayotokana na kisa hiki?

4. Unafikiri hatima ya Amedi ilikuwa ipi?

5. Eleza maana ya maneno au mafungu haya ya maneno kama yalivyotumika katika kifungu:-
a. Mtanashati

b. Ilimgadhabisha

c. Kumpasulia mbarika

d. Kumtongoa togo wala jando


3

B. SARUFI

i. Taja nusu irabu. Mk. 2

/w/ na /y/

ii. Andika maneno mawili yenye sauti mwambatano. Mk. 2

Sauti Mwambatano ni sauti zenye konsonanti mbili au zaidi. Mfano


Mwamba, Ndoa

iii. Tofautisha baina ya vitate vifuatavyo. Mk. 4


Mzazi na msasi
Mzazi-Aliyemzaa mtu
Msasi-Mwindaji
Mzazi wake ni msasi.

Husuni na Huzuni

Husuni-Gereza au jela
Huzuni- Kukosa Furaha
Waliinguwa na huzuni ndugu yao alipoingia kwa husuni.

iv. Nomino zifuatazo zinapatikana katika ngeli zipi? Mk. 2


a. Ukwato

U-ZI

b. Tabaka
LI-YA

v. Ainisha aina za maneno katika sentensi. Mk. 5


Kijana mzee amewasili nyumbani kwao.
N. V T. E. E

vi. Andika kwa wingi. Mk. 2


Alipoukwea alilichuma tunda.
4
Walipoikwea waliyachuma matunda

vii. Onyesha viambishi awali na tamati. Mk. 4


Yameniogofya
Yameni-Kiambishi awali
Ogo-mzizi
Fya-Kiambishi tamati

viii. Eleza matumizi mawili ya histari kifupi. Mk. 2


Kuonyesha neni halijakamilika huko mwishoni mwa maandishi.
Kuandika tarehe.
kuunganisha sentensi

ix. Andika sentensi upya kwa kutumia ‘O’ rejeshi tamati. Mk. 2
Mkulima ambaye ameondoka amejeruhiwa.
Mkulima aondokaye amejeruhiwa.

x. Kamilisha jedwali. Mk. 6

Fanya Fanyia Fanyika Fanyisha


Jenga Jengea Jengeka Jengesha
Zaa Zalia Zalika Zalisha
Toa Tolea Toleka Toza
Vaa Valia Vialisha Visha

xi. Andika sentensi kwa wingi hali ya ukubwa. Mk. 2


5
Mtoto yule mtundu ametuzwa kwa kitabu hiki.
Vitoto vile vitundu vimetuzwa kwa vitabu hivi.

xii. Unda nomino kutoka kwa vitenzi vifuatavyo. Mk. 2

a. Lima –kulima,mkulima, ukulima

b. Hukumu –kuhukumu

xiii. Sahihisha sentensi hii. Mk. 2


Bona amekula ugali na kijiko.
Bona amekula ugali kwa kijiko

xiv. Kamilisha methali mk. 1


Ukiona vyaelea, jua vimeundwa.

You might also like