Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

SHULE YA UPILI YA BWEYOGERE HIGH KITO

S.4 MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA 2024

MAAGIZO: JIBU MASWALIYOTE

MUDA: SAA MBILI

1. Jamii iko kwa hatari kubwa kutokana na ongozoko la utumiaji wa madakani na mitaani
wowo kuma kionguziwa wanafunzi. Andika vshauri utakaowatolea wanafunzi wonzake
huhusa madawa ya kulevya hayo.
2. Andika sherehe za kitaifa Unazojua na siku sherehe hizo huwepo kulingana nan chi yako
wowe kama mwana Uganda.
3. Tunga Sentensi tano ukitumia mashati ya ‘’nge’’ na ‘’ngali’’ na baadaye Uzikanusho.

SECTION B

UFUPISHO
4. Kwa kutumia maneno Sabini (70) oleza jinsimtu anavyoweza kujilinda dhidi ya ugnjwa
wa malaria kama ilivyoelozwa kwa taarifa.

Ugonjwa wa Malaria ni hatari sana kwa mwanadamu. Ugonjwa huu umekuwa tishio kuhwa kwa
wana Uganda na ulimwengu mzima, watu wengi yaani wazee kwa vijana wamekufa kwa
ugonjwa wa malaria ugonjwa huu huamhukizwa na mhu wa kike anayejulikana kama anafolesi
mbu hupenda kuishi kwenye maji na vichaka chaka. Kutukana na madhara yanayosahahishwa na
mbu hao hatari ini muhimu kujikinga dhidi ya wadudu hao kwa kutunza usafi nyumbani.

Njia ya kwanza, inatuhidi tufyeke nyasi zilizo karibu na nyumba zotu ili tusiwape nafusi ya
kujificha na kuzaana. Kwa kufanya hivyo tutawazuia mbu kujificha humo. Isitoshe, ni muhimu
kutoa maji yaliyo tuama karibu na nyumba zotu. Tunaweza kufanya hivi kwa kutou vyombo
visivyotumika kuma chopa, ndoo na beseni ili mhu wa sizalie humo mayai yao.

Ni jambo la muhimu kufunga milango na madiirisha wakati wa jioni ili mhu wasiingie kwa
nyumba. Pamoja na hayo tunasitahili kulala ndani ya vyandarua ili tusiumwe na mbu hao hatari.
Njia nyingine ya kujikingu dhidi ya waduda huo hatari tunawoza kunyunyiza dawa nyumbani na
kuwaua. Pia ni vizuri kufunika mashimo yaliyo karibu na nyumbani na kuwaua. Pia ni vizuri
kufunika mashimo yaliyo karibu na nyumbani kwetu ili mbu wasije wakazalia humo.

Ni muhimu kwamha ukiji tombua kuwa na dalili yoyote ya ugnjwa wa malana vondo hospitalini
upimwe na kuputa matibahu.

Mwishani, wizara ya afyo inastahili kuelimisha watu kujikinga dhidi ya ugonjwa wa malaria na
magonjwa mengine kwa kutumia vyombo vya mawasiliano kama magazoti, radio na televisheni.

MWISHO

Nawatakia kila la heri

You might also like