Professional Documents
Culture Documents
Pansiansi Wildlife Trainning Institute Report
Pansiansi Wildlife Trainning Institute Report
P O BOX 1432
MWANZA
30 JULY 2023
MENEJA
RANDILEN WILDLIFE MANAGEMENT AREA
KUSUDI; kutoa taarifa fupi kuhusu mafunzo ya uhifadhikwa Askari wa uhifadhi yanayohusu
kuwajengea uwezo na ufanisi katika majukumu yao.
1. MAELEZO
Mafunzo yalianza rasmi tarehe 24, July 2023 siku ya jumatatu katika kambi ya Randilen Wildlife
Management Area, na yaliendeshwa na wakufunzi kutoka chuo cha Taaluma ya wanyamapori
cha Pansiansi Mwanza ambao ni;
2. MAFUNZO YALIJUMUISHA
a. Utimamu wa mwili eg mbio za kujitegemea mchaka mchaka route march nk
Nakala
Mkuu wa Taasisi PWTI (Pansiansi – Mwanza)
i. Umuhimu wa NIDHAMU na UTII kwa mwanajeshi
3. MAFUNZO
Mafunzo yaliendeshwa kwa makundi mawili kwa kila kundi lilifundishwa kwa siku tatu kwa
jumla ya Askari wa vyeo mchanganyiko idadi yao ikiwa ni 18 kati ya 26 waliopangwa. Idadi ya
askari ilipungua kutokana na wengine kulazimika kuendelea na kazi katika vituo husika.
Askari walipokea mafunzo kwa ari na kujituma Pamoja na kuonekana muda mrefu kidogo
hawakupata mazoezi ya kina.
Hatua kwa hatua ya mafunzo yalifanyika kwa kiwango cha kuridhisha na kuonyesha iko haja ya
utaratibu wa mafunzo ya mara kwa mara ufanyike Pamoja na mazoezi ya ukakamavu ili
kuwaweka vyema kutokana na majukumu yao ya doria na ulinzi wa maliasili za Taifa.
4. CHANGAMOTO
Kwa ujumla changamoto ni kuwa, Askari wengi wako katika vituo mtawanyiko, hivyo hata
kukusanyika kwao katika kituo cha mafunzo imekuwa ni vigumu.
5. MAONI NA MAPENDEKEZO
Kwa ujumla suala la mafunzo na mazoezi ni muhimu kwani wengi wao wamepitia vyeo
vinavyotamuliwa vya serikali vya askari wahifadhi wa mali asili kwa mtindo wa jeshi usu.
Ni vyema ufanyike utaratibu wa makusudi kuwa Askari hawa wahifadhi watambulike kwa
upande wa kuwaorodhesha katika jeshi la uhifadhi hasa TAWA.
6. MWISHO
Nakala
Mkuu wa Taasisi PWTI (Pansiansi – Mwanza)
IBRAHIM H. MAKUNGA (MEJA MSTAAFU)
MKUFUNZI KIONGOZI
Nakala
Mkuu wa Taasisi PWTI (Pansiansi – Mwanza)