Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

6.

2Matawi ya fonetik:- fonetiki matamshi au fonetiki utamkaji : Tawi hili hujishughulisha na uchunguzi
wa sauti namna zinavyotamkwa na mahali ambapo sauti hizo zinatamkiwa, yaani mahali pa matamshi.
fonetiki mawimbi sauti au fonetiki akustika Hili ni tawi la fonetiki ambalo hujishughulisha na jinsi
mawimbi ya sauti ya Lugha yanavyosafiri kutoka katika kinywa cha msemaji hadi katika sikio la msikilizaji.
fonetiki masikizi au fonetiki sikivu : Kimsingi tawi hili la fonetiki hujishughulisha na jinsi utambuzi wa
sauti mbalimbali za Lugha unavyofanywa, na uhusiano uliopo baina ya sikio, neva masikizi (yaani neva
zinazohusika na usikiaji wa sauti) na ubongo. fonetiki-tiba matamshi: Tawi hili hujishughulisha na
matatizo yanayo ambatana na usemaji au utamkaji wa sauti na jinsi ya kuyatatua fonetiki kokotozi : Hii
ni taaluma ambayo inachambua mawimbi sauti na kuweza kutumia mchoro wa spektogramu kuonyesha
picha ya sauti katika vipengele vyake vya kasimawimbi. fonetiki ushawishi

Ni taaluma inayohusiana na kurikodi sauti kwa kutumia kinasa sauti na baadae kuchambua kwa kusikiliza
tu. fonetiki majaribio Inahusika na uchukuwaji wa sauti iliyorikodiwa na kuingizwa katika kompyuta kwa
ajili ya kutafuta matokeo ya uchambuzi

You might also like