Professional Documents
Culture Documents
20242605382107tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
20242605382107tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
20242605382107tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili
OFISI YA RAIS
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es
Salaam (DUCE), Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (MWEKA), Hospitali ya Taifa Muhimbili
(MNH), Jeshi la Polisi Tanzania, Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA),, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa
kuendeshwa kuanzia tarehe 03-06-2024 hadi 10-06-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji
kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo
usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
Mwombaji.
6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
10. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
tangazo husika.
11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti
vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba
ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
13. Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa
nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
RATIBA YA USAILI WA MAHOJIANO
Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es TEACHER III B (Commerce and 04-06-2024 07:00 AM CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR
Salaam (DUCE) Book Keeping) ES SALAAM (DUCE)
Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es TEACHER III B (Civic and Moral; and 04-06-2024 07:00 AM CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR
Salaam (DUCE) Social Studies) ES SALAAM (DUCE)
Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es TEACHER III B (English Language) 04-06-2024 07:00 AM CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR
Salaam (DUCE) ES SALAAM (DUCE)
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), ASSISTANT LECTURER - 04-06-2024 07:00 AM Ofisi za Sekretarieti ya Ajira eneo la
MARKETING Asha Rose Migiro,UDOM-DODOMA
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), ASSISTANT LECTURER - LAW 04-06-2024 07:00 AM Ofisi za PSRS, Eneo la Asha Rosa
Migiro, UDOM-DODOMA
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga MTEKNOLOJIA MSAIDIZI Ofisi za Sekretarieti ya Ajira, Eneo la
Taifa (MAABARA) 03-06-2024 07:00 AM Asha Rose Migiro, UDOM -
DODOMA
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga MTEKNOLOJIA MSAIDIZI (DAWA) 03-06-2024 07:00 AM Ofisi za Sekretarieti ya Ajira,eneo la
Taifa Asha Rose Migiro,UDOM-DODOMA
MWAJIRI: HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI (MNH)
KADA: DENTAL SPECIALIST II (ORAL AND MAXILLOFACIAL)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: HAKUNA
MAHALI: HAKUNA
TAREHE YA USAILI WA VITENDO: HAKUNA
MAHALI: HAKUNA
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 03-06-2024 07:00 AM
MAHALI: Ofisi za Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi Umma (PSRS) ,Eneo la Asha Rose Migiro
(UDOM), Dodoma.
# JINA LA MWOMBAJI ANUANI
1 ANNANILEA ELIMASHOYA LEMA P.O Box 1074, Moshi, Kilimanjaro. 2 EMMANUEL SAMWEL KISUNTE. P.O Box 296, Arusha, Arusha.
3 GILDEN GILBERT MAGANDE P.O Box 296, Arusha, Arusha. 4 HAROUB ABDALLA ALI. 0.
5 HAWA HASSAN IKORO 0. 6 JONATHAN RAYMOND LYEME. P.O Box 33132, Ubungo, Dar es
Salaam.
7 MODESTER JOSEPH DOME P.O Box 14118, Kinondoni, Dar es 8 NOEL FESTUS ISSOKOZA. P.O Box 30054, Kibaha, Pwani.
Salaam.
1 ADVELLAH ADERALD RWEIKIZA P.O Box 60, Manyoni, Singida. 2 BARAKA JUMA MAGUO. P.O Box 65000, Ubungo, Dar es
Salaam.
3 BENARD ADOLPH LOSINA P.O Box 318, Rombo, Kilimanjaro. 4 HABIBU HASSANI ATHUMANI. P.O Box 55158, Ubungo, Dar es
Salaam.
# JINA LA MWOMBAJI ANUANI # JINA LA MWOMBAJI ANUANI
5 LAMECK JORAM PAULO P.O Box 46343, Temeke, Dar es 6 NICHOLAUS GILBERTH P.O Box 20950, Kinondoni, Dar es
Salaam. NYEMBA. Salaam.
7 PRIGETH ALEX MNYAMOSI 0. 8 SARAH AGGREY LONDO. P.O Box 2000, Kinondoni, Dar es
Salaam.
9 SECILIA JOVIN LYIMO P.O Box 67497, Kinondoni, Dar es 10 SOLOMONI DAUDI BANAT. P.O Box 2240, Moshi, Kilimanjaro.
Salaam.
11 SUZAN RICHARD MAGESA P.O Box 17010, Ilala, Dar es 12 THEOBALD PAMPHIL MAHOO. P.O Box 65000, Ubungo, Dar es
Salaam. Salaam.
1 ASHURA SELEMAN P.O Box 65000, Ilala, Dar es 2 BASILI EMMANUEL NICODEMU. P.O Box 91, Meru, Arusha.
ABDUL-TWAHIL Salaam.
3 CHACHA ZAKARIA SINGISYA P.O Box 1370, Nyamagana, 4 EMMA DAMIAN BADUNDWA. P.O Box 705, Ubungo, Dar es
Mwanza. Salaam.
5 IRENE DEODAT TARIMO P.O Box 6396, Ubungo, Dar es 6 MAHDI MUSSA OMARY. P.O Box 11088, Dodoma,
Salaam. Dodoma.
7 MAJIDAH HAMZA MAKAME P.O Box 36066, Kigamboni, Dar 8 MICHAEL JACOB P.O Box 38363, Ubungo, Dar es
es Salaam. SANGILAMOTO. Salaam.
9 MUSA MWALIMU SUYA P.O Box 5228, Nyamagana, 10 STELLA RICHARD MGEMA. P.O Box 577, Babati, Manyara.
Mwanza.
1 MOHAMED HASSAN KIKEN P.O Box 7701, Temeke, Dar es 2 VEDASTO MBURA KAJARE. P.O Box 818, Musoma, Mara.
Salaam.
1 DAVID CHARLES JORAM P.O Box 1207, Butiama, Mara. 2 KULWA KITULA NTABIBI. P.O Box 100, Misungwi, Mwanza.
3 MODESTER MANAMBA P.O Box 35091, Ubungo, Dar es 4 SALUM IDDI MGAYA. P.O Box 14, Songea, Ruvuma.
MATATIRO Salaam.
1 DOREEN JOEL LEMA P.O Box 790, Arusha, Arusha. 2 JUSTINE JAMES MAKOBA. P.O Box 9001, Mbulu, Manyara.
1 BLANDINA PANGAROUS NYIGO P.O Box 4220, Dodoma, Dodoma. 2 ERICK KANTONA RUGENGAH. P.O Box 3173, Ilemela, Mwanza.
3 FREDRICK ELIENEA P.O Box 30041, Kibaha, Pwani. 4 HAMIS MASHAURI MAFURU. P.O Box 2904, Nyamagana,
ELEXANDAR Mwanza.
5 IDDY MUSSA MTEGELWA P.O Box 2173, Dodoma, Dodoma. 6 JERIDA BARNABAS MAIGA. P.O Box 162, Same, Kilimanjaro.
7 KANYIKA YUSUPH MCHOME P.O Box 11993, Ilala, Dar es 8 LAMECK HARSON OSOGO. P.O Box 12737, Ilala, Dar es
Salaam. Salaam.
9 LUCA EDMUND FWILA P.O Box 34, Sumbawanga, 10 OMARI SHEHA OMARI. P.O Box 59, Bagamoyo, Pwani.
Rukwa.
11 PRISCA FREDERICK NGAEJE P.O Box 10, Kiteto, Manyara. 12 RAHEL JEREMIAH KANGURA. P.O Box 16, Kigoma, Kigoma.
13 SALIMU HAMISI OMARI P.O Box 163, Bagamoyo, Pwani. 14 SCHOLASTICA ROBERT P.O Box 69, Kondoa, Dodoma.
MAFURU.
1 HAPPY EMELTUS MWANJA P.O Box 22, Rufiji, Pwani. 2 JAMILA MOHAMED RAJABU. P.O Box 86, Mtwara, Mtwara.
5 SAIDI MKENGA MBWAMBO P.O Box 3092, Arusha, Arusha. 6 SARAH NDATULU SYLIVESTER. P.O Box 1634, Kinondoni, Dar es
Salaam.
1 EDGARD CHARLES PAUL P.O Box 227, Arusha, Arusha. 2 EMMNAUEL ZEBEDAYO P.O Box 2011, Shinyanga,
NYASEBWA. Shinyanga.
1 BARAKA ORDINATION P.O Box 283, Iringa , Iringa. 2 DEVIS DAUD MBEWE. P.O Box 16541, Ilala, Dar es
MGONGOLWA Salaam.
3 ERICK REUBEN SHAYO P.O Box 22321, Kinondoni, Dar es 4 HAFIDHU TWAHIRI KEREMA. P.O Box 1031, Morogoro,
Salaam. Morogoro.
1 BASIL ANDREA MBUNA P.O Box 307, Nyamagana, 2 JOHN RAYMOND MWELA. P.O Box 36246, Kigamboni, Dar
Mwanza. es Salaam.
3 JOSEPH PIUS CHIWANGO P.O Box 23208, Kinondoni, Dar es 4 KELVIN RAPHAEL KOMBA. P.O Box 32247, Kinondoni, Dar es
Salaam. Salaam.
5 LOITISHIP ELISANTE GABRIEL P.O Box 71039, Ilala, Dar es 6 MOSES EMMANUEL SHILLA. P.O Box 1798, Iringa , Iringa.
Salaam.
1 CATHERINE JOHN NDALAHWA P.O Box 774, Iringa , Iringa. 2 COSMAS BABILAS MASIMO. P.O Box 774, Iringa , Iringa.
3 DIANA DAMSON MSELELA P.O Box 200, Iringa , Iringa. 4 HENRY PETER COSMAS. P.O Box 307, Nyamagana,
Mwanza.
5 MATHIAS VALENTINE MGALULA P.O Box 166, Morogoro, 6 PETER HERBETH KIPFUMU. P.O Box 307, Nyamagana,
Morogoro. Mwanza.
LIMETOLEWA NA;
KATIBU