Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

WAKISO MUSLIM SECONDARY SCHOOL

END OF TERM EXAMINATIONS 2024 SCORES

Number 1.
INSTRUCTION: All questions are compulsory Number 2.

Name………………………….. Number 3.
…………………………………………
Number 4.
Candidate’s
Signature............................................................................................................................................................................................ TOTAL
.............................................................

1. Shuleni kwako kutakuwa na sherehe ya wazazi kuwatembelea wanafunzi. Mwalimu mkuu


ameomba wanafunzi kuwatumia ujumbe wazazi wao kuhusu tarahe hiyo itakatokea tarehe
10/06/2024.
ii. Andika barua ukimkumbusha mzazi wako kuja kukutembelea. Katika barua, taja vitu
unavyohitaji akuletee. (Alama 20)
iii. Wewe kama kiranja mkuu wa shule hiyo, andika hotuba yako utakayotoa
kwenye siku hiyo ya wazazi shuleni. (Alama 20)

2. Wazazi wako walihamishwa kutoka kijijini hadi mjini kampala ambako wanaenda
kufanyia kazi. Kwa sababu hiyo, nawe ukaenda nao katika mahali mapya mjini na ulienda
katika shule moja ya mjini kwa ajili ya kusoma.

i. Andikia rafiki yako barua ukimwelezea kuhusu shule jipya. (Alama 20)

3. Mwalimu wako wa kiswahili ametangaza mashindano ya kuandika kuhusu mimea na


ma tunda. Amesema kazi ya mwanafunzi bora itasomwa mbele kwenye siku ya
wazazi shu- leni. Watakaokuwa katika mashindano haya ni wanafunzi wa kidato cha tatu
pekee.
Agizo.
i. Andika insha kati ya maneno 50- 60 kuhusu umuhimu wa mimea na matuda.
(Alama 20)
4. Tafsiri habari hii kwa kiswahili (alama 20)

My name is Lumonde Ahmed. I study from Kobine secondary school in Kobine


district. I am 14 years old. I am in S.2 class. My mother is called Mulinde Jane. My father
is called Kyambadde Moses. My sister is called Musoki Doreen. My brother is called
Muhindo Calvin.

Our school is 5km off Kobine Kiryandongo road. It has good and specious buildings. It
has good and well stocked library and laboratory. Very many toilets and clean birth
rooms. It has a nice gate.

Our head teacher is called Ms Kembabazi Annet. Her Deputy Head teaher is called mr
Turyakiza David and the director of studies is called Kassim Katongole. Our school
has teachers, cleaners, cooks and good gatemen. Mr. James is our sports master. He
trains us how to play football and swimming.

Our school also has a school bus. This bus is used to carry students from school to
different field tours and sports activities. We have good blackboards and use dust free
pieces of chalk. Our food is yummy. I surely love our school.

***MWISHO***

You might also like