Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 4

HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI

PUBLIC EMPLOYEE PERFORMANCE MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM (PEPMIS)


MAJUKUMU (TASKS NA SUB-TASKS) YA WAFAWIDHI
Sn Jukumu (Tasks) Sub Task
1 Kufanya ukaguzi wa taarifa zote zinazohusu (1) rekodi sahihi katika leja ya mali (2)
bidhaa za afya katika nyaraka zote muhimu, prescription zilizojazwa kwa usahihi (3) bin cards
yaani leja ya mali, prescription books, bin cards zilizojazwa kikamilifu (4) diepensing register
na dispensing registers kila wiki yenye taarifa linganifu na sahihi
2 Kusimamia utumaji wa taarifa za RnR kila baada (1) kutuma taarifa sahihi ya matumizi ndani ya
ya miezi miwili kwa wakati unaotakiwa muda uliopangwa (2) kufanya maagizo halisi ya
bidhaa ndani ya muda uliopangwa

3 Kuendesha vikao vya kila wiki mbili vya Kamati ya kuandaa muhtasari wa kikao labla ya mwezi
Kitatibu (Therapeutic Committee) husika kuisha na kuwasilisha wilayani

4 Kufanya matengenezo ya kawaida ya vifaatiba kila (1) kuandaa orodha ya vifaatiba vyote (2)
robo mwaka kuandaa mpango kazi wa matengenezo (3)
kuandaa taarifa ya matengenezo

5 Kuhakikisha kila mjamzito anahudhuria kliniki si (1) kuandaa rejesta ya wajawazito wote ndani ya
chini ya mara nne katika kipindi chote eneo la utoaji huduma (2) kuandaa rejesta ya
mahudhurio ya wajawazito kulingana na tarehe
za miadi
6 Kusimamia utoaji wa dozi mbili za dawa ya SP kwa kuwapatia jumla ya wajawazito ___ jumla ya
wajawazito wanaohudhuria kliniki dozi ____ za SP kwa mwaka

7 Kusimamia utoaji wa dawa ya kuongeza madini kuwapatia jumla ya wajawazito ___ jumla ya
chuma na foliki kwa wajawazito wanaohudhuria vidonge ____ vya FEFO kwa mwaka
kliniki

8 Kusimamia utoaji wa huduma za mkoba kila (1) kutembelea kijiji cha Nyabosongo (2)
mwezi kwa vijiji vya ___, ___ na ___ kutembelea kijiji cha Ring'wani

9 Kuhakikisha kila mjamzito anayehudhuria kliniki kuwasaidia wajawazito ___ kujifungua


anajifungulia katika kituo cha kutolea huduma

10 Kusimamia ujazaji sahihi wa partograph kulingana kujaza jumla ya labour care guides ______ na
na idadi ya wateja waliostahili kujaziwa patient observation charts _____ kwa mwaka
Sn Jukumu (Tasks) Sub Task
11 Kusimamia uwepo wa viashiria vyote vya huduma (1) kuhakikisha wakati wote uwepo wa
ya BEmONC na CEmONC antibiotics kwa ajili ya kutibu puerperal sepsis
katika ngazi ya zahanati, ambazo ni
amoxicillin+clavulanic acids tablets,
metronidazole injection na gentamicin injection
(2) kuhakikikisha wakati wote uwepo wa dawa
za kuzuia na kutibu kifafa cha mimba ambazo ni
magnesium sulphate injection, nifedipine tablets
na methyldopa tablets (3) kuhakikisha uwepo
wa dawa za kuzuia na kutibu PPH, yaani oxytocin
injection na misoprostol tablets (4) kuhakikisha
uwepo wa kifaa cha MVA (5) kuhakikisha uwepo
wa kifaa cha vacuum extrator (6) kuhakikisha
kila mtumishi anayestahili ana uwezo wa
kuonesha namna retained placenta inaweza
kuondolewa kwa njia ya kawaida, yaani manually
(7) kuhakikisha kila mtumishi anayestahili ana
uwezo wa kuonesha namna ya kumhudumia
mjamzito aliye kwenye third stage, yaani active
management of the third stage of labor (AMTSL)
(8) kuhakikisha kuwa huduma za upasuaji wa
dharura wa wajawazito zinapatikana katika kituo
(9) kuhakikisha kuwa kituo kina makundi yote ya
damu pamoja na mazalia yake wakati wote

12 Kusimamia ugawaji wa vyandarua kwa wajawazito (1) kutoa vyandarua kwa wajawazito ___ kila
wa hudhurio la kwanza, watoto wenye umri wa mwezi (2) kutoa vyandarua kwa watoto ___ kila
miezi tisa na kwa makundi maluum (wazee wenye mwezi (3) kutoa vyandarua kwa wazee ___ kila
umri wa zaidi ya miaka 60, watoto waliolazwa mwezi (4) kutoa vyandarua kwa WAVIU ___ kila
kutokana na ugonjwa wa malaria kali wakati wa mwezi
kuruhusiwa na pamoja na WAVIU wanapofika
kliniki kuchukua dawa)

13 Kutoa dawa za mebendazole kwa wajawazito Kutoa vidonge ___ nyenye nguvu ya 500mg kwa
wote wanaohudhuria kliniki wajawazito ___ kwa mwaka

14 Kusimamia upatikanaji na upimaji wa maambukizi (1) kupoma wajawazito ___ maambukizi ya


ya ugonjwa wa kaswende, maambukizi ya kaswende kila mwezi (2) kupima wajawazito ___
ugonjwa wa malaria na kiwango cha damu kwa maambukizi ya malaria kila mwezi (3 )kupima
wajawazito wote wanaohudhuria kliniki wajawazito ___ kiwango cha damu kila mwezi

15 Kutoa huduma za afya ya kinywa na meno katika kutembelea idadi ya shule ___ (majina ya shule)
shule zinazozunguka maeneo yao kila robo kila robo mwaka
mwaka
Sn Jukumu (Tasks) Sub Task
16 Kusimamia utumaji wa taarifa za lishe kila mwezi Kutuma taarifa ya utekelezaji wa afua za lishe
kwa wakati unaotakiwa kabla ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata

17 Kusimamia utumaji wa taarifa za eIDSR kila wiki kutuma taarufa ya eIDSR kila Jumatatu saa 6
kwa wakati unaotakiwa adhuhuri

18 Kusimamia usafi wa ndani na nje ya kituo na (1) Kukwatua na kufyeka nyasi (2) kupanda na
kusimamia zoezi la usafi wa jumla kila Jumamosi kumwagilia miti na maua (3) kuokota na
au Jumapili ya mwisho wa mwezi kuchoma taka (4) kumwagilia maji eneo la mbele
la kituo (5) kusafisha vioo kwa kutumia dawa
maalum (6) kupiga deki ndani na kwenye
varanda kwa kutumia dawa maalum (7)
kusafisha vioo vya madirisha (8) kujaza maji
kwenye vyombo vyote (9) kuondoa buibui na
kufuta vumbi
19 Kusimamia matibabu ya makundi maalum na kuwasilisha taarifa ya mwezi ya wagonjwa
kuwasilisha taarifa ya mwezi ya wagonjwa waliotibiwa kwa msamaha kabla ya tarehe 5 ya
waliotibiwa kwa msamaha kabla ya tarehe 5 ya mwezi unaofuata
kila mwezi
20 Kulipa stahiki za likizo za watumishi ndani ya miezi (1) posho ya kufanya kazi masaa ya ziada (2)
mitatu likizo

21 Kuwasilisha taarifa za MTUHA zilizo sahihi kufikia kuwasilisha taarifa wilayani kabla ya tarehe 5 ya
tarehe 5 ya kila mwezi mwezi unaofuata

22 Kufanya usuluhishi wa kibenki wa mwezi kufikia Kufanya usuluhishi wa kibenki wa mwezi kabla
tarehe 5 ya kila mwezi ya tarehe 5 ya mwezi unaofuata

23 Kuwasilisha madai ya huduma kwa wateja Kuwasilisha madai ya huduma kabla ya tarehe 5
wanufaika wa mfuko wa CHF kwa muda usiozidi ya mwezi unaofuata
mwezi husika

24 Kuwasilisha taarifa ya makusanyo ya mfuko wa Kuwasilisha taarifa ya makusanyo ya mfuko wa


papo-kwa papo kila wiki papo-kwa papo kila wiki kabla ya saa 12 jioni ya
Jumapili

25 Kuwasilisha madai ya huduma kwa wateja Kuwasilisha madai ya huduma kabla ya tarehe 5
wanufaika wa mfuko wa NHIF kwa muda usiozidi ya mwezi unaofuata
mwezi husika

26 Kuendesha vikao vya kila mwezi vya Timu ya kuandaa muhtasari wa kikao labla ya mwezi
Usimamizi ya Kituo (HMT) husika kuisha na kuwasilisha wilayani
Sn Jukumu (Tasks) Sub Task
27 Kuratibu uandikishaji wa wananchi katika Mfuko (1) kusajili idadi ya kaya mpya____ kila mwezi
wa CHF kwa kumsimamia Afisa Mwandikishaji wa (2) kuhuisha idadi ya kaya ____ kila robo mwaka
Kijiji (EO) kwa kufikisha malengo ya kila mwezi

28 Kushiriki na kushirikisha watumishi wote katika kuandaa muhtasari wa kikao ndani ya wiki mbili
hatua zote za uandaaji wa mipango na bajeti ya baada ya kikao na kuwasilisha wilayani ndani ya
kituo kulingana na mwongozo mwezi mmoja

29 Kuratibu vikao vya robo mwaka vya Kamati ya kuandaa muhtasari wa kikao ndani ya wiki mbili
Usimamizi wa Kituo (HFGC) baada ya kikao na kuwasilisha wilayani ndani ya
mwezi mmoja

30 Kuhudhuria na kuwasilisha taarifa katika vikao vya kuwasilisha wilayani nakala ya taarifa ya kituo
VDC na WDC kila robo mwaka iliyosomwa katika kikao cha WDC na VDC ndani
ya mwezi mmoja

You might also like