Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

METROPOLITAN INTERNATIONAL UNIVERSITY

FUCULTY OF EDUCATION
DEPARTMENT OF LANGUAGES AND INGUISTICS

SECOND YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR DEPLOMA AND


BACHELORS DEGREE OF EDUCATION
KSA 3204: KISWAHILI TEACHING METHODS II

DATE: TIME: 3 HOURS


MAAGIZO:
Jibu jumla ya maswali matatu. Swali la kwanza na mengine mawili

1. a)Fafanua dhana ya tathimini. (alama 05)


b). Jadili aina mbili za tathimini na umuhimu wake kwa kutoa mifano mwafaka.
(alama 20)

2. a). Fafanua andalio la somo (alama 05)


b). Jadili sifa za andalio la somo (alama 20)

3. a). Fafanua dhana nyenzo (alama 05)


b). Jadili umuhimu wa nyenzo katika ujifunzaji na ufundishaji wa somo (alama 20)

4. a). Fafanua dhana ya mbinu za kufundisha. (alama 05)


b). Wewe kama mwalimu wa kiswahili, eleza jinsi unavyoweza kutumia mbinu zifuatazo
darasani kufundisha wanafunzi wa Kidato cha pili kuhusu mada ya uongozi katika jamii.
(alama 20)

5. a). Kesho utakuwa na kipindi cha kiswahili katika kidato cha pili kuanzia saa 08:00 - hadi
saa 09:00 asubuhi. Andaa somo lako. (alama 25)

6. Fafanua umuhimu wa kusoma kozi ya mbinu za kufundisha kiswahili kwa mwalimu wa


kiswahili. (alama 25)

7. Eleza jinsi ya kufundisha mada ya ngeli za majina kwa wanafunzi wa kiswahili.


(alama 25)

…HITIMISHO…

You might also like