Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

CHANJO NA KINGA YA MAGONJWA YA KUKU WA AINA ZOTE

KUANZIA SIKU YA KWANZA HADI MIEZI MINNE.

1:Mara baada ya kutotolewa/Kuangulia wape chanjo ya #HVT kuzuia(#Marek's) hutolewa kwa njia
Sindano

2:Siku ya kwanza

Wape Glucose kuondoa uchovu kwenye Maji

3:Siku ya 2–6

Wape #Trisulmysine/Trimaze30%changanya na vitalye au dawa yoyote ya vitamin Kuzuia #Pollorum


kwenye maji

4:Siku ya 7

Chanjo ya mdondo/kideri(Newcastle diseases)chanjo #Newcastle's vaccines)

Chanjo hii hutolewa kwa njia mbili

1)Matone

2)Maji

5:Siku ya 14

Chanjo ya Gumboro Aina ya chanjo ni #Gumboro_Vaccine kuzuia ugonjwa(Gumboro Disease) Nayo


hutolewa kwa njia mbili kama Newcastle diseases

6:siku ya 16-20

Wape Trisulmysine/Trimazine30% changanya na Vitalyte au vitamins yoyote kwenye maji Kuzuia


#Koksidiosis

7:Siku ya 21

Mdondo/kideri unarudia #Newcastle_Vaccine

8:Siku ya 27-32

Unawapa OTC20% changanya na Amin'total kwenye maji hii husaidia kuimarisha kinga ya mfumo wa
Mwili.

9:Siku 35-39

Wape OTC50%/cordix/Tylosine75% changanya na vitalyte kwenye maji(Ili kuzuia #Mafua


10:Siku ya 56

Chanjo ya ndui choma sindano kwenye Mabawa

11:Siku ya 60-64

Wape OTC 20%changanya na Amin'total ili kuimarisha kinga ya mfumo wamwili kwenye maji

12:Wiki ya 12

Wape chanjo ya #Gentamysine_Sulphate kuzuia #Typhoid kuku huchomwa sindano kwenye nyama ya
kifua

13:Wiki ya 13

Wape #Pipperazine_Citrate kwenye maji kuzuia #Minyoo

14:Wiki ya 15

Ukataji wa midomo baada ya zoezi wape vitamins kwenye maji

15:Wiki ya 16

Wape chanjo OTC 20% kuku huchomwa kwenye nyama ya kifua kuzuia #Kipindupindu

16:Wiki ya 17

Wape #Tylosine sindano kwenye nyama ya kifua kuzuia (#Mafua#

17:Wiki ya 18

Wape #Gentamysine_Sulphate choma kwenye nyama ya kifua kuzuia (#Typhoid )

#NB

Chanjo zifuatazo hutolewa kila baada ya MIEZI mitatu

1)Newcastle vaccines

2)Gumboro vaccine

Chanjo ya ndui hutolewa kila baada ya MIEZI #6

Tumia hata kwa kuku wa kienyeji utaratibu huu

You might also like