Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

JORAM G.M.

ACADEMY
KUSILIKIZA KUZUNGUMZA NA KUSOMA
GRADE ONE OPENER EXAM - 2024
SEHEMU YA A:

SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Mwalimu atamuuliza mwanafunzi maswali yafuatayo, Mwalimu amwamkue


mwanafunzi na amwambie.

Nitakuuliza maswali yafuatayo na uyajibu kwa Kiswahili.

1. Habari yako? ___________________________________


2. Unaitwaje? ___________________________________
3. Unapenda chakula gani sana? ___________________________________
4. Ninani huwapikia chakula nyumbani? ___________________________________
5. Jana usiku ulikula chakula gani? ___________________________________
6. Kabla ya kuanza kula unafaa ufanye nini? ___________________________________

SEHEMU YA 2: KUSOMA KWA SAUTI

Mwalimu wetu ni Bi. Rehema. Hutuandikia kazi ubaoni. Mwalimu wetu ametufunza
umuhimu wa kuamkuana na kusaidiana. Pia ametufunza kuliweka darasa letu liwe safi.
Sisi tunampenda mwalimu wetu sana. Tuko katika gredi ya kwanza.

You might also like