Mwili Wangu, Njooni Kuleni

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

MWILI WANGU , NJOONI KULENI

T.B. Pg.53 D6

Sop.
Alto
 4            Harm:Benjamin KAZAKU

K/ Mwi
 li wa ngu , njoo ni ku le ni ,

Tenor
 
  4          
Bass

S.

             
A.

Da
mu ya ngu , njoo ni ku nywe ni Mi mi

T.            
   
B.

S.
A.
             
ni
 U zi ma , mi mi ma pe ndo Ee Bwa

T.
 
              
B.

S.
A.
            1. 2.

na u tu pe ma pe ndo ya ko . ko .

T.
      
            
B.
S.
A.
               
1. Mu ngu a na tu pe nda na ma pe ndo ya kwe li , a tu
S.
A.
              
chu nga si ku zo te ka ma nyo ta u si ku , a tu
S.
A.
              
pa ma pe ndo ya ke tu na po ku la Mka te , Mka te
S.
A.
         
wa u ra fi ki Mka te Mu ngu .

2. Mungu anatupenda na mapendo Ya kweli ;


kwa watu wa mjini mwake Ni mwana wa msermala ,
afanya Kazi ya mikono ; sawa na marafiki
Ajua mateso ya kila siku .
3. Mungu anatupenda na mapendo Ya kweli ;
amekufa msalabani sababu Ya mapendo ,
mapendo yake makubwa Ya kushinda na kifo ,
akatoka Mshindaji kaburini .
4. Mungu anatupenda na mapendo Ya kweli ,
akusanya watu wote , awapa Na uzima ;
Wakristu dunia kote Vyungo vyake vyote ,
mapendo yake Yawaunga wote .

You might also like