KIAPO

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

KIAPO

(Kimetengenezwa chini ya kifungu Na. 8 cha Oaths and Statutory Declaration Act, [CAP 34 R.E 2019])

Mimi, HAPPY ABRAHAM GODSON, wa S.L.P 86, Ifakara Kilombero,


Morogoro nikiwa na akili zangu timamu tena bila ya kushawishiwa na mtu yeyote naapa
na kuthibitisha kama ifuatavyo;

1. Kwamba, kwa sasa mimi ni Mkazi wa eneo tajwa hapo juu.

2. Kwamba, Mimi ni muajiriwa wa Mahakama ya Tanzania ninaye hudumu nafasi


ya msaidizi wa ofisi katika kituo change cha kazi ambacho ni Mahakama ya wilaya
Kilombero.

3. Kwamba, Nilipewa kazi ya Kutafuta jalada la mirathi namba 24/2007 katika


Mahakama ya Mwanzo Ifakara Mjini ila jalada tajwa halijapatikana kutokana
kuliwa na mchwa.

4. Kwamba, Kwa kiapo hiki naomba itambulike kuwa jalada hilo halipo na haliwezi
kulipatikana.

5. Kwamba, Nathibitisha kuwa yote niliyotaja hapa juu ni ya kweli na hatua za


kisheria zichukuliwe dhidi yangu endapo itathibitika kuwa taarifa hizi si za kweli.

Kimeapwa hapa Ifakara na


HAPPY ABRAHAM GODSON ………………
Anayefahamika kwangu MUAPAJI
Leo Siku ya………….Mwezi wa……2024

MBELE YANGU
Jina;……………………….……………….
Saini; ……………………………………..
Tarehe; …………………………………..
Wadhifa; …………………………………
KAMISHNA WA VIAPO

You might also like