Professional Documents
Culture Documents
Kamati Ya Shule
Kamati Ya Shule
Kamati Ya Shule
1. KUFUNGUA KIKAO
Mwenyekiti alifungua kikao mnamo saa 4:30 Asubuhi kwa kuwa karibisha
wajumbe wote walio hudhuria kikao na kuwaambia wawe huru kuchangia Agenda
ilizopo Mbele yao.
2. KUIDHINISHA MALIPO
Kamati ya ujenzi imeidhinisha malipo ya ujenzi wa wa vyoo vya wanafunzi matundu
kumi(10) ambao bado unaendelea na kuiagiza kamati ya manunuzi kuendelea na
taratibu za ujenzi huo.
3. KUFUNGA KIKAO
AGENDA
1. KUFUNGUA KIKAO
2. MAHITAJI YA UJENZI
3. KUFUNGA KIKAO
1. KUFUNGUA KIKAO
Mwenyekiti alifungua kikao mnamo saa 6:00 mchana kwa kuwa karibisha
wajumbe wote walio hudhuria kikao na kuwaambia wawe huru kuchangia Agenda
ilizopo Mbele yao.
2. MAHITAJI YA UJENZI
Kamati ya ujenzi imepokea majitaji kutoka kwa fundi kwaajili ya umaliziaji wa vyoo
vya wanafunzi matundu kumi(10) ambao bado unaendelea na kuiagiza kamati ya
manunuzi kuendelea na taratibu za manunuzi ya bidhaa hizo.
Vifaa vilivyo ainishwa kwa sasa ni kama ifuatavyo:-
S/N Description Unit of measure Quantity
required
1. Cement 42:5N Bag 12
2. Tiles 40x40 Boxes 2
3. Vanish cleaner 4L Tin 1
4. Msasa 120 Bag 3
5. Pillar tape (yso) Tin 1
6. Bip cock 1.5 M 5
7. Wash basin PCs 3
8. Seal tape PCs 9
9. Tiling strips PCs 50
10. Pollypine 3⁄4 class B PCs 2
3. KUFUNGA KIKAO
……………………………. ………………………….
MWENYEKITI KATIBU
GEORGE LESILWA MUINGI NDARO
MUHTASARI WA KIKAO CHA KAMATI YA MANUNUZI
SHULE YA MSINGI MKOYO TAREHE …………..
MAHUDHURIO
1. EMILISIANA KONYANZA – M/KITI
2. RAMADHANI MASEGELO – KATIBU
3. NDARO MUINGI – MJUMBE
4. ESTER MSANJILA – MJUMBE
5. RAMADHANI MASEGELO – MJUMBE
AGENDA
1. KUFUNGUA KIKAO
2. KUPITISHA MZABUNI
3. KUAGIZA VIFAA VYA UJENZI
4. KUNGA KIKAO
1. KUNGUA KIKAO
Mwenyekiti alifungua kikao mnamo saa 3:30 Asubuhi na kuwataka wajumbe
wawe huru kuchangia agenda tajwa. Aidha mwenyekiti aliwataka wajumbe
kutoa mapendekezo na maoni juu ya agenda hizo.
2. KUPITISHA MZABUNI
Kamati imepokea zabuni tatu (3) kutoka kwa wazabuni kama ifuatavyo:-
i. Clean D. Malya Tsh 1,305,000/=
ii. Frelimu General suppliers Tsh 2,245,500/=
iii. Mudundu Tsh 1.65,000/=
Kwaajii ya manunizi ya vifaa vya ujenzi wa vyoo vya wanafunzi matundu
kumi (10) ambao bado unaendelea.
3. KUAGIZA VIFAA VYA UJENZI
Rejea Quaortation hapa nyuma. Kamati immoitisha mzabuni Muddish
Pharmacy Tsh 1,165,000/= na kumtaka alete vifaa hivyo kama ifuatavyo:-
S/N Description Unit of measure Quantity
required
15. Cement 42:5N Bag 12
16. Tiles 40x40 Boxes 2
17. Vanish cleaner 4L Tin 1
18. Msasa 120 Bag 3
19. Pillar tape (yso) Tin 1
20. Bip cock 1.5 M 5
21. Wash basin PCs 3
22. Seal tape PCs 9
23. Tiling strips PCs 50
24. Pollypine 3⁄4 class B PCs 2
4. KUFUNGA KIKAO
1. KUNGUA KIKAO
Mwenyekiti alifungua kikao mnamo saa 3:30 Asubuhi na kuwataka
wajumbe wawe huru kuchangia agenda tajwa. Aidha mwenyekiti
aliwataka wajumbe kutoa mapendekezo na maoni juu ya agenda hizo.
3. KUFUNGA KIKAO
Mwenyekiti amefunga kikao mnamo saa 4:00 Asubuhi na kukabidhi
ripoti ya ukaguzi kwa kamati ya shule
……………………………. ………………………….
MWENYEKITI KATIBU
E. MSANJILA NDARO MUINGI
SHULE YA MSINGI MKOYO,
S.L.P 1249,
DODOMA
24.05.2024
MKURUGENZI WA JIJI,
S.L.P 1249,
DODOMA
K.K
MKURUGENZI WA JIJI,
S.L.P 1249,
DODOMA
AFISA MANUNUZI,
S.L.P 1249,
DODOMA
AFISA ELIMU IDARA YA ELIMU
AWALI NA MSINGI,
S.L.P 1249,
DODOMA
K.K
AFISA ELIMU KATA,
HOMBOLO BWAWANI,
S.L.P 1249,
DODOMA
YAH: OMBI LA KUMLIPA MZABUNI KWAAJILI YA MANUNUZI YA
VIFAA VYA UJENZI WA CHOO CHA WANAFUNZI JUMLA YA TSH
1,165,000/=
Husika na mada tajwa hapo juu,
Tunaomba kutoa fedha kwenye akaunti ya shule kwenye fungu la ujenzi
kwaajili ya kumlipa mzabuni Mudish Pharmacy Company Limited kwaajili ya
malipo ya vifaa vya ujenzi.
Rejea viambata vyote vya manunuzi hapa chini.
Wako katika ujenzi wa taifa,
…………………………………………
EMMANUEL A. LIHELI
MKUU WA SHULE