Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

SHULE YA SEKONDARI YA MT.

AUGUSTINO - TAGASTE
(ST. AUGUSTINE SECONDARY SCHOOL - TAGASTE)
S. L. P. 31644, DAR ES SALAAM
Na. ya Usajili: S. 4745 MOBILE: 0759-168-003
E- MAIL: augustinesectagaste@gmail.com WEBSITE: www.augustinianschool.com

ANKARA FORM IV SAYANSI 2024


Ndugu Mzazi/Mlezi, unapaswa kumlipia mwanao ________________________________ kwa ajili ya
Masomo yake ya kidato cha NNE SAYANSI mwaka 2024 yenye mchanganuo ufuatao:
A: Ada ya Shule
Na MAELEZO KIASI (Tshs)
1. Gharama za mafunzo 1,400,000
2. Gharama za mitihani 250,000
3. Idara Maalumu (Mathematics) 50,000
4. Gharama za usajili NECTA 50,000
5. Practicals(Physics, Chemistry na Biology) 250,000
Jumla 2,000,000/=
Malipo ya Ada ya Shule yatafanyika kwa awamu MBILI kama ifuatavyo;
 AWAMU YA KWANZA: 1,000,000/=(Mwisho 06 Januari 2024)
 AWAMU YA PILI: 1,000,000/= (Mwisho 06 Julai 2024)
MUHIMU: Malipo yote yafanyike kwenye BENKI YA CRDB, TAWI LOLOTE; JINA LA
AKAUNTI: THE ORDER OF ST. AUGUSTINE – TAGASTE,
AKAUNTI NA. 0150396191300. Risiti ya Benki iletwe shuleni mara baada ya kulipa.

B. MAHITAJI MENGINE

MALAZI Hostel 450,000


NISHATI Umeme, Maji(Safi/taka), Mkaa, Gas 400,000
CHAKULA Chakula 900,000
MICHEZO Mpira na Vifaa Vingine 5,000
Stationeries 100,000
Matibabu 60,000
Ukarabati 20,000
Tahadhari 10,000
Ujenzi wa Bwalo la Chakula 200,000
Parents' day (Siku ya wazazi) 40,000
JUMLA 2,185,000/=

Malipo ya mahitaji mengine yatafanyika Kwa awamu MBILI kama ifuatavyo;


 AWAMU YA KWANZA: 1,185, 000/= (Mwisho 06 Januari 2024)
 AWAMU YA PILI : 1,000, 000/= (Mwisho 06 Julai 2024)
Malipo yote yafanyike kwenye BENKI YA CRDB, TAWI LOLOTE; JINA LA
AKAUNTI: THE ORDER OF ST. AUGUSTINE – TAGASTE DONATIONS,
AKAUNTI Na. 0150396191301. Risiti ya Benki iletwe shuleni mara baada ya kulipa.
___________________________ ____________________________
Fr. Filbert Walter Mhowa, OSA Fr. Thobias Amuko Awuonda, OSA
Mhasibu wa Shule Mkuu wa Shule

You might also like