Kiswahili f1

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

Sehemu A: Ufahamu Al.

15
Ndoto yangu

SEHEMU B ISIMU JAMII al 10


a. Nini maana ya neno isimu jamii? Al 1
b. Nini maana ya neon sajili? Al 1
c. Taja aina tatu ya mifano tatu ya sajili. Al 3
d. Eleza kaida zozote tano za lugha al 5

SEHEMU C: MATUMIZI YA LUGHA al 35


a. Taja vigezo viwili vinavyotumika kuaisha
i. Irabu al 1
ii. Konsonanti al 2
b. Tofautisha sauti /p/ na /r/ al 1
c. Tunga sentensi yenyebvijisehemu vifuatvyo. Al 2
N+V+T+E
d. Tofautisha silabi huru na silab funge huku ukitoa mifano. Al 2
e. (i) nini maana ya kiambishi? Al 2
(ii) Eleza tofauti Kti viambishi awali na viambishi huku ukitoa mifano al 2
f. (i) Fafanua maana ya sauti mwambatano. Al 1
(ii) Andika maneno mawili yaliyo na sauti mwambatano. Al 2
g. Taja kikwamizo cha kaakaa laini. Al 1
h. Huku ukitoa mifano, tambua matumizi mawili ya alama ya kitone. Al
2
i. Nomino hizi ziko katika ngeli zipi? Al 2
i. Choo
ii. Wembe
iii. Mtwana
iv. Mwavuli
j. Tumia vitate vaa na faa katika sentensi moja. Al2
k. Tia shadda katika maneno yafuatayo; al 2
i. Ala
ii. Barabara
l. Nini maana ya sentensi? Al 1
m. Panga maneno yafuatayo jinsi yatakavyo fuatana kwenye kamusi. Al 2
Alfabeti,alfajiri,almasi,alfalfa
n. Tumia neon “panda” katika sentensi moja kubainisha maana zake mbili tofauti.
Al 2
o. Huku ukionyesha mifano, eleza umuhimu tatu wa kiimbo. Al 3
p. Eleza sifa za sauti mbalimbali katika neon;”cheza” al 2
q. Andika kinyume , al 2
Mama alienda sokoni kabla ya kulala

SEHEMU YA D: INSHA AL 20
1. Mwandikie Rafiki yako anayesoma shule nyingine ukimweleza hali ilivyo
katika shule yenu. Al 20
Au
2. Chagua methali yoyote uayojua kisha utunge kisa cha kusisima kuonyesha
maana na matumizi yake. Al 20

You might also like