Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 24

MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA TATU MUHULA WA KWANZA 2019

KIPIND
JUMA

NJIA ZA
MADA KUU SHABAHA MAONI
I

MADA NDOGO KUFUNDISHIA NYENZO

1 1 Kusikiliza na Vinyume vya vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Marudio. Kiswahili
Fasaha – 3
kuzungumza. aweze: Maelezo. Mwongozo wa
Kutofautisha baina ya kinyume na Maswali na majibu. Mwalimu.
kukanusha. Mifano. Kitabu cha
Kueleza maana ya vinyume vya vitenzi. Mazoezi. Mwana-funzi.
KCM Uk 1-2.
Kutumia vinyume katika sentensi. Kazi mradi. MWM Uk 1-2

2 Fasihi. Dhima ya fasihi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo.


KCM 2-3
aweze: Kuandika.
Kueleza dhima ya fasihi. Mifano. MWM
Kujibu maswali kwa usahihi. Tajriba. Uk 2.

3 Ufahamu. Usalama barabarani. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Tajriba.


KCM
aweze: Maelezo. Uk 3-6
Kusoma kwa sauti na kimya. Usomaji.
Kujibu maswali. Maswali na majibu. MWM
Kubainisha umuhimu wa usalama Utafiti. UK 2-3.
Kamusi.
barabarani.

4-5 Sarufi. Vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Marudio.


KCM
aweze: Mazoezi. Uk 6-9.
Kutofautisha baina ya vitenzi asili na vile Maelezo.
vya kigeni. Mifano vya vitenzi. MWM
Kufafanua mzizi wa vitenzi. Kazi mradi. UK 3-4.
Kuainisha viambishi awali na tamati.
Kutumia vitenzi sahihi.

6 Kuandika. Insha ya hadithi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mazoezi.


KCM
aweze: Tajriba. Uk 12
(Masimulizi). Kueleza vipengele vya insha. Maelezo.
Kuandika insha ya masimulizi. Kuandika. MWM
UK 86-7.

2 1-2 Fasihi teule. Usuli katika riwaya. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mifano.
KCM
aweze: Uchunguzi. Uk 11.
Kueleza maana ya usuli. Usomaji.
Kueleza umuhimu wa usuli wa riwaya. Majadiliano. MWM
Kumweleza mwandishi na jumuia yake. Kuandika. UK 5.
Kueleza dhamira ya mwandishi. Kitabu teule.
3-4 Fasihi andishi. Hadithi fupi: Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma kwa sauti. Kitabu cha
Mayai
aweze: Majadiliano.
Utenzi wa moyoni. Kutaja maudhui ya hadithi. Uchambuzi. MWM
Kujadili mbinu za lugha. Kuandika. UK. 12.
Kujadili wahusika.

5-6 Sarufi. Uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mifano ya alama.


KCM
aweze: Matumizi ya alama Uk 9-10.
Kuzitambua, kutaja na kueleza alama za Majadiliano.
uakifishaji na matumizi. Mazoezi. MWM
Kuakifisha makala. UK.
4-5.

3 1-2 Kuandika. Insha ya hadithi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Tajriba.


aweze: Visa tofauti. KCM
(Utunzi) Kueleza vipengele vya insha. Kuandika. Uk 12
Kueleza namna ya kuandika insha.
Kuandika insha kulingana na mada MWM
UK. 6-7.
iliyotolewa.

3 Kusikiliza na Hali ya kuamrisha. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maigizo. KCM


Uk 13
kuzungumza. aweze: Maelezo.
Kutaja njia za kuamrisha. Tajriba. MWM
Kutunga sentensi. Tofauti ya kurai, UK. 7-9.
Kubainisha viambishi. kuamrisha na kuhimiza.

4-5 Fasihi yetu. Fasihi simulizi: Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 14-15.
aweze: Majadiliano.
Vipera vya simulizi. Kueleza maana ya fasihi simulizi. Maswali na majibu. MWM
Kufafanua umuhimu wake. Maelezo. UK. 10.
Kutaja mifano ya vipera vya fasihi Kazi maradi.
simulizi.

3 6 Ufahamu. Haki za wanyama Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM


Uk 116-18
aweze: Maswali na majibu.
Kusoma na kujibu maswali. Kujadili. MWM
Kujadili kwa ufasaha matendo mazuri na Mifano. UK.
mabaya kwa wanyama. Maelezo. 10-11.
Kamusi.
4 1 Ufasaha wa lugha. Kuandika barua rasmi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maswali na majibu. KCM
Uk 20-21
aweze: Ufaraguzi.
Kufahamu sifa za barua rasmi. Kuandika. MWM
Kubainisha mitindo ya barua. Mazoezi. UK. 11-12.
Kueleza sifa za lugha. Kunakili. Barua rasmi.

2-3 Sarufi. Nyakati na hali. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufaraguzi. KCM
18-20.
aweze: maswali na majibu.
Kubainisha viambishi vya nyakati na hali. Kuandika.
Kutunga sentensi akitumia viambishi vya Mazoezi. MWM
nyakati na hali. Kunakili. UK. 11.

4-5 Kusoma. Hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma kwa sauti. Kitabu teule.
aweze: Majadiliano.
Kujadili dhamira ya mwandishi. Muhtasari wa hadithi. MWM
Kuchambua maudhui na tamathali za UK.
lugha. 19-21.

6 Fasihi teule. Maudhui katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma kwa sauti. KCM
Uk 22-23
riwaya. aweze: Majadiliano. .
Kueleza maana ya riwaya na maudhui. Kujadili sifa za maudhui.
Kuchambua maudhui. Kuandika. MWM
Kueleza uchambuzi wa maudhui. Uchunguzi. UK. 12-13.
Uhakiki. Kitabu teule.

5 1 Kusikiliza na Lugha ya dini. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM


Uk 25
kuzungumza. aweze: Kuigiza. .
Kueleza sifa za lugha ya kidini. Maswali na majibu.
Kutumia sifa katika utekelezaji. Kujadili. MWM
Kubainisha madhumuni na maudhui ya Mifano. UK.
14-16
lugha ya kidini.

5 2 Utunzi. Umbo la barua rasmi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo ya barua rasmi. KCM
Uk 23-24
aweze: Mifano. .
Kufafanua hoja kuhusu
Kufafanua umbo la barua rasmi. mtindo. MWM
Kutofautisha barua rasmi na barua ya Kuandika barua rasmi. UK. 13-14
kirafiki. Barua rasmi.
Kubuni maudhui ya barua rasmi.
Kuandika barua rasmi. Magazeti.
Kubuni maudhui ya barua rasmi.
Kuandika barua rasmi.
3-4 Kusoma. Hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Majadiliano. Kitabu teule.
Uk 50-56
aweze: Kuchambua hoja kuu za
Kusoma kwa sauti na kimya. maudui, lugha na
Kueleza sifa za ulaghai. wahusika.
Kufafanua maudhui na sifa za wahusika. Uchambuzi.
Maswali na majibu.
5 Kusoma. Ulumbi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uigizaji. KCM
Uk 25-26
(Fasihi yetu). aweze: Majadiliano. .
(Hotuba) Kueleza maana na kanuni za ulumbi. Hotuba.
Kutaja mifano ya ulumbi. Kazi ya makundi. MWM
Kueleza umuhimu wa ulumbi. UK. 16-17
Kueleza walumbi na sifa zao.

6 Sarufi. Ukanushaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM


Uk 29-33
aweze: Mifano.
Kuelewa viambishi vya kukanusha. Maumbo ya viambishi.
Kutofautisha kinyume na kukanusha. Mazoezi. MWM
Kukanusha sentensi. Kuandika. UK. 18-20

6 1 Ufahamu. Matumizi ya simu Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma kifungu. KCM
Uk 26-29
tamba maabadini. aweze: Kujadili msamiati mpya.
Kujibu maswali kwa usahihi. Mazungumzo.
Kuelezea msamiati uliotumiwa. Uigizaji. MWM
Maswali na majibu. UK.
17-18.

Kamusi.
6 2-3 Fasihi teule. Wahusika katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule
riwaya. aweze: Majadiliano. na
Kueleza aina za wahusika katika riwaya. Tajriba. mwongozo.
Kufafanua sifa na umuhimu wa wahusika. Makundi.
Uhakiki.

4 Ufasaha wa lugha. Historia na chimbuko Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM
Uk 3633-36
la Kiswahili. aweze: Majadiliano.
Kueleza Historia na chimbuko la Tajriba.
Kiswahili. Mifano. MWM
Kujadili lahaja. Makundi. UK.
20-21
Kubainisha kuhusu asili ya Kiswahili. Ufafanuzi.

5-6 Kusoma. Hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Majadiliano. Kitabu teule
aweze: Kusoma. Na
Kusoma hadithi. Kuchambua hadithi. mwongozo.
Kujadili wahusika, maudhui na lugha. Kujibu maswali.
7 1 Kusikiliza na Hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Michezo. KCM
Uk 39-40
kuzungumza. aweze: Mashindano.
Kubainisha za kuzingatia mtu anapotoa Utafiti.
hoja. Kazi ya makundi. MWM
Kueleza hoja muhimu. Ufahamu. UK.
24-25
Kutoa hotuba mbele ya darasa.
Kuandika muhtasari.

2-3 Kuandika. Utunzi: insha ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 38
mazungumzo. aweze: Maagizo.
Kueleza sifa za insha . Maswali na majibu.
Kufafanua mbinu za utunzi wa insha. Kuandika MWM
Kuandika insha ya mazungumzo. Majadiliano. UK.
22-24

7 4 Sarufi. Kauli ya vitenzi: Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk 43-45
Kutendeshana. aweze: Mazoezi ya kutunga
Kutendeshewa. Kubainisha maumbo ya vitenzi. sentensi. MWM
Kutendesheka. Kugeuza vitenzi. Mifano. UK. 28
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi. Tajriba.
Kueleza maana ya sentensi zenye vitenzi.
Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzi
katika kauli maalumu.

5 Kusoma. Hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. Kitabu teule
aweze: Kujadili. na mwongozo.
Kufafanua dhamira, maudhui na Maswali na majibu.
Uk 63-77
wahusika.
Kuchunguza lugha iliyotumiwa.

6
MAJARIBIO
8 1 Kusikiliza na Hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM
Uk 40-41
kuzungumza. aweze: Maelezo.
Kufafanua mambo ya kuzingatia mtu Maigizo.
atoapo hotuba. Uvumbuzi. MWM
Kuandaa muswada wa hotuba. Uchunguzi. UK.
25-27.

2 Kusoma. Mawaidha. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufaraguzi. KCM


Uk 40-41
aweze: Ufafanuzi.
Fasihi yetu. Kutoa maana ya mawaidha. Utafiti.
Kueleza sifa, muundo na manufaa ya Mifano. MWM
mawaidha. Uigizaji. UK.
25-27
Kutoa mawaidha kutegea hali Fulani.
3 Ufahamu. Umaskini Afrika. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utafiti. KCM
Uk 42-43
aweze: Utatuzi wa mambo.
Kusoma taarifa kwa ufasaha. Uchunguzi kifani.
Kujibu maswali kwa usahihi. Usomaji. MWM
Kueleza maana ya maneno na misemo. UK. 27-28
Kuzingatia mafunzo. Kamusi.

8 4-5 Ufasaha wa lugha. Muhtasari: Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maagizo. KCM
Uk 45-46
Ratiba ya mkutano. aweze: Tajriba.
Kueleza umuhimu wa ratiba. Ufafanuzi wa muundo.
Kubainisha saa za ratiba. Kuandika ratiba. MWM
Kuandaa ratiba ya mikutano ya hadhara. UK. 29

6 Kusoma. Muundo wa mtindo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM


Uk 47
katika riwaya. aweze: Kuoma.
Fasihi teule. Kutoa maelezo ya muundo. Udadisi.
Kufafanua sura za muundo na mtindo. Maelezo. MWM
Kutumia mifano kuonyesha muundo na Uchambuzi. UK. 30-31.
mtindo wa riwaya.

9 1 Kandika. Hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo. KCM


Uk 48
aweze: Uvumbuzi.
(Utunzi) Kuandika hotuba kama ipasavyo. Maigizo.
Uchunguzi kifani. MWM
Kuandika. UK. 31-33
Maelezo.
2 Kusikiliza na Hojaji na kujaza fomu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utafiti. KCM
Uk 49
kuzungumza. aweze: Maswali na majibu.
Kueleza hojaji na kujaza fomu. Kutayarisha hojaji na
Kueleza namna ya kutayarisha na kujaza fomu. MWM
hojaji na fomu. Kujaza. UK. 34-35.
Kufafanua madhumuni ya kutumia hojaji Maelezo.
au fomu.

3 Kusoma. Malumbano ya utani Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Tajriba. KCM


Uk 51-53
katika fasihi simulizi. aweze: Masimulizi.
Fasihi yetu. Kueleza utani na umuhimu wake. Mjadala.
Kutoa mifano ya utani. Majadiliano. MWM
Kueleza mabadilika katika utanzu wa Uchunguzi wa msamiati. UK. 37-39
utani.
4 Ufahamu. Ugaidi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Tajriba. KCM
Uk 51-53
aweze: Mjadala.
Kusoma kwa ufasaha. Majadiliano.
Kujibu maswali ya ufahamu. Uchunguzi. MWM
Usomaji. UK.37-39.

Kamusi.
9 5-6 Sarufi. Kauli za vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 54-55
aweze: Ufafanuzi wa viambishi.
Kugeuza vitenzi. Kuigiza.
Kutunga sentensi sahihi. Ufaraguzi. MWM
Mazoezi. UK.39-40.

10 1 Ufasaha wa lugha. Uhusiano wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk 56.
Kiswahili na lugha za aweze: Ufafanuzi.
Kibantu. Kueleza uhusiano wa Kiswahili na lugha Mifano.
za Kibantu. Maswali na majibu. MWM
Kueleza muundo wa maneno katika lugha. Makundi. UK.40.

2-3 Fasihi teule. Matumizi ya lugha Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uhakiki. KCM
Uk 56-58
katika riwaya. aweze: Majadiliano
Kueleza umuhimu wa lugha Maswali na majibu.
Kufafanua mambo ya kuzingatia wakati MWM
wa kuhakiki lugha katika riwaya. UK.41

4 Kuandika. Insha ya mawazo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 58.
aweze: Maswali na majibu.
(Utunzi) Kueleza maana ya insha. Tajriba.
Kuandika insha ya mawazo. Kuandika. MWM
UK.41-42

5 Kusikiliza na Vitendawili na Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo. KCM


Uk 59-61
kuzungumza. mafumbo. aweze: Maswali na majibu.
Kueleza maana na kupambanua. Mifano. MWM
Kutoa mifano ya vitendawili. UK.41-42
Kutega vitendawili na mafumbo.

6 Fasihi yetu. Soga katika fasihi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Majadiliano KCM
Uk 61-62
simulizi. aweze: Vikundi.
Kueleza maana ya soga. Mahojiano. MWM
Kufafanua mafunzo ya soga. Usomaji. UK.43.
Kufanya mazoezi ya kutoa soga. Mifano.
Kamusi.
11 1-2 Ufahamu. Chanzo cha matatizo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 64-65
barani Afrika. aweze: Mifano.
Kusoma taarifa na kujibu maswali. Tajriba. MWM
Kueleza ainaza matatizo barani Afrika. Masimulizi. UK. 45-46
Kufafanua maana za maneno. Vikundi.
Kamusi.
Mazoezi.
3-4 Kusikiliza na Mahojiano baina ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 69-70
kuzungumza. wataalamu wawili. aweze: Ufafanuzi.
Kueleza umuhimu wa mahojiano. Mahojiano. MWM
Kufafanua sifa hizo za mahojiano. Maigizo. UK. 49-50.
Kufafanua maenezi ya ugonjwa wa kansa. Usomaji.

5-6 Sarufi. Mnyambuliko wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM


Uk 74-75
vitenzi vya asili ya aweze: Maelezo.
kigeni. Kueleza tofauti kati ya vitenzi vya asili na Mifano. MWM
kigeni. UK. 53-54
Kugeuza vitenzi.
Kutumia vitenzi katika sentensi na kueleza
maana zake.

12-13
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA
MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA TATU MUHULA WA PILI 2019
KIPINDI

NJIA ZA
JUMA

MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NYENZO MAONI


KUFUNDISHIA

1 1-2 Fasihi teule. Tathmini katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji wa riwaya. Kitabu teule.
riwaya. aweze: Maelezo.
Kueleza jinsi ya kujitayarisha kwa Maswali na majibu.
tamthini. Majadiliano.
Kubainisha aina za maswali ya riwaya.

3-4 Kuandika. Mahojiano. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mahojiano. KCM


Uk 78
aweze: Mifano. MWM
(Utunzi) Kueleza na kufafanua mtindo na Maigizo. UK. 55.
madhumuni ya mahojiano. Maswali na majibu. Kamusi.
Kuandika insha ya mahojiano.

5 Kusikiliza na Maenezi ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk 79-81
kuzungumza. Kiswahili kabla ya aweze: Masimulizi. MWM
uhuru. Kueleza sababu za kuenea kwa Majadiliano. UK. 56
Kiswahili. Tajriba. Kamusi.
Kutetea sababu za kukithamini na Makundi.
kuhodhi Kiswahili.
Kuyafahamu maeneo ya maenezi.

6 Fasihi yetu. Visasili katika fasihi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule.
simulizi aweze: Mifano.
Kueleza na kufafanua maana na sifa za Masimulizi.
visasili. Uhakiki.
Kutoa mfano wa kisasili. Maswali na majibu.

2 1 Ufahamu. Urafiki baina ya Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma. KCM


Uk 82-84
Binadamu na Mbwa. aweze: Uhakiki.
Kusoma kwa ufasaha. Tajriba. MWM
Kujibu maswali ya ufahamu. Maswali na majibu. UK. 58-60
Kuhakiki matumizi ya lugha na Ufafanuzi.
Kamusi.
ujumbe.
2 2-3 Sarufi. Vielezi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM
Uk 84-87
aweze: Maswali na majibu.
Kueleza dhana ya vielezi. Majadiliano. MWM
Kueleza aina za vielezi. UK. 60
Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. Kamusi.

4 Ufasaha wa lugha. Uhusiano wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk 87-88.
Kiswahili na lugha aweze: Maswali na majibu. MWM
za Kigeni. Kueleza uhusiano baina ya Kiswahili Majadiliano. UK. 60-61.
na Lugha za Kigeni. Makundi. Magazeti.
Kutaja msamiati wa kukopwa. Tajriba.

5 Fasihi teule. Maana na usuli wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo, Kitabu teule.
hadithi fupi. aweze: Mifano,
Kueleza maana ya usuli na hadithi fupi. Maswali na Majibu,
Kueleza umuhimu wake katika Uhakiki.
kuhakiki hadithi fupi.
Kufafanua usuli wa hadithi katika
kitabu cha hadithi.

6 Kuandika. Insha ya masimulizi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kuandika. KCM


Uk 90
aweze: Maelezo. MWM
(Utunzi) Kueleza sifa za insha. Maswali na majibu. UK. 62-63.
Kusimulia na kuandika kisa juu ya Masimulizi. Kamusi.
mada waliopewa.

3 1-2 Fasihi teule. Hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma, Kitabu teule.
aweze: Maelezo,
Kusoma hadithi fupi. Maswali na majibu,
Kuichambua kwa usahihi. Uchambuzi,
Kujadili maudhui na lugha. Majadiliano.

3 Kusikiliza na Wasifu wa kitu au Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi KCM


Uk 91-92.
kuzungumza. mtu. aweze: Maelezo.
Kutoa fasili ya neno wasifu. Mifano maigizo. MWM
Kutoa mifano ya wasifu. Ziara nyanjani. Uk 63-64.
Kueleza mafunzo kutoka kwa wasifu.
3 4-5 Fasihi yetu. Mighani katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule.
fasihi simulizi. aweze: Utafiti.
Kuelezea maana na sifa ya mighani. Mifano.
Kutoa mifano ya mighani. Ufahamu.
Kupambanua umuhimu wa mighani.

6 Ufahamu. Wasifu wa Shaaban Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM


Uk 94-95.
Robert. aweze: Kusoma. MWM
Kusoma kwa ufasaha. Maswali na majibu. Uk 65-66
Kueleza maana za maneno na vifungu. Tajriba. Kamusi.
Kujibu maswali.

4 1-2 Kusikiliza na Kupasha ujumbe Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kukariri. KCM
Uk 105-6.
kuzungumza. siku hizi. aweze: Mjadala.
Kusoma na kukariri shairi. Tajriba. MWM
Kujibu maswali. Ufahamu. UK. 70-72.
Kueleza sifa za ujumbe wa rununu Usomaji.
ulioandikwa. Maswali na majibu.

3-4 Fasihi yetu. Miviga katika fasihi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maigizo. Kitabu teule.
simulizi. aweze: Tajriba.
Kufafanua maana na faida ya miviga. Majadiliano.
Kutoa miifano ya miviga katika jamii Utazamaji.
mbalimbali. Ufafanuzi.

5 Ufahamu. Satalaiti. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM


Uk 107-9.
aweze: Utafiti.
Kusoma taarifa kwa ugasaha. Uvumbuvi. MWM
Kujibu maswali. Maelezo. Uk. 73-74.
Usomaji.
Kamusi.
6 Sarufi. Viwakilishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk 109-12.
aweze: Mifano.
Kueleza matumizi ya viwakilishi. Tajriba. MWM
Kutoa mifano na Kuvitumia katika Uk. 74-5.
sentensi. Kamusi.

5 1 Ufasaha wa lugha. Lugha ya Komputa. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi KCM


Uk 112-3
aweze: Maelezo.
Kueleza matatizo ya lugha ya Tajriba. MWM
Kompuyta na ufumbuzi wake. Mifano. Uk. 75.
Kufafanua istilahi za Kompyuta.
2-3 Fasihi teule. Maudhui katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. Kitabu teule.
hadithi fupi. aweze: Uvumbuzi.
Kueleza maudhui ya hadithi fupi. Maswali na majibu.
Kufafanua jinsi ya kufichua maudhui Maelezo.
ya hadithi fupi. Uhakiki.

4 Utunzi. Barua pepe. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Majaribio. KCM


Uk 114.
aweze: Mifano.
Kubainisha sura za baruapepe. Utafiti. MWM
Kueleza maana. Maelezo. Uk. 76.
Kuandika barua pepe. Kuandika.
Kamusi.

5 Kusikiliza na Methali. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk 115-6
kuzungumza. aweze: Ufafanuzi.
Kueleza umuhimu, maana na matumizi Utafiti. MWM
ya methali. Uchambuzi. Uk. 77-8
Kupambanua uhusiano kati ya methali Tajriba.
Kamusi ya
na mazingira zinazotumika. methali.

6 Fasihi yetu. Sifa za methali Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 116-8.
katika fasihi aweze: Maelezo. MWM
simulizi. Kufafanua na kutathmini lugha ya Tajriba. Uk. 78-80.
methali. Ufahamu.
Kubainisha muundo wa methali. Hadithi fupi.

6 1 Ufahamu. Tapeli hatari. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uvumbuzi. KCM


Uk 118-20.
aweze: Maelezo. MWM
Kusoma kwa ufasaha. Majadiliano. Uk. 80-81.
Kueleza ujumbe wa kifungu. Usomaji. Kamusi.
Kujibu maswali ya ufahamu.

2 Sarufi. Viwakilishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk 120-22
aweze: Uchunguzi.
Kupambanua baadhi ya viwakilishi. Mifano. MWM
Kubainisha maumbo ya viwakilishi. Ufafanuzi. Uk. 81-82.
Kutunga sentensi sahihi kudhihirisha
viwakilishi.

3-4 Ufasaha wa lugha. Tamathali za semi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi.
KCM
aweze: Mifano. Uk 122-4
Kueleza maana ya ushairi wa mapokeo Maelezo.
na sifa. Kuchambua. MWM
Kuhakiki mashairi ya arudhi. Uk. 42-83.
5-6 Fasihi teule. Ushairi mapokeo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mijadala. Kitabu teule.
(wa jadi). aweze: Mifano.
Kusoma na kujibu maswali ya Uhakiki.
ufahamu. Maelezo.
Kutumia msamiati wa michezo katika
mazungumzo.

7 1 Utunzi. Insha ya methali. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi KCM


Uk 126.
aweze: Ufafanuzi.
Kufafanua methali. Masimulizi. MWM
Kuandika insha inayothibitisha ukweli Mifano. Uk. 85.
na matumizi ya methali. Kuandika.
Kamusi ya
methali.

2 Kusikiliza na Misemo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utafiti. KCM


Uk
kuzungumza. aweze: Mifano. 127-8
Kueleza maana ya misemo na nahau. Kuandika.
Kutumia mifa na nahau katika sentensi. MWM
Uk. 86-7.
7 3 Fasihi yetu. Ushairi: Nyimbo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utazamaji. Kitabu teule.
aweze: Mahojiano.
Kueleza maana, sifa na nyimbo. Maelezo.
Kupambanua miuundo tofauti ya Mifano.
nyimbo na umuhimu wake. Ufahamu.
Imla.
4 Ufahamu. Situmiki kinafiki. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Kusoma na kukariri. KCM
Uk 130-2
aweze: Kuigiza.
Kusoma na kukariri kwa ufasaha. Uchunguzi. MWM
Kuhifadhi kiini cha habari katika Maswali na majibu. Uk. 89-90.
shairi.
Kamusi.
Kujibu maswali ya shairi.
5 Fasihi teule. Riwaya teule. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. Kitabu teule.
aweze: Uhakiki.
Kutathmini kazi ya fasihi. Majadiliano.
Kueleza sifa na tabia za wahusika. Uchambuzi wa
Kujadili maudhui na lugha katika maudhui.
riwaya teule.
6
MAJARIBIO
8 1 Sarufi. Upatanisho wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Uchunguzi. KCM
Uk 132-3
kisarufi aweze: Mifano. MWM
Katika umoja na Kubainisha nyanja za umoja na wingi. Ufafanuzi. Uk. 90-93.
wingi. Kubadilisha sentensi na wingi wa Kuigiza.
sentensi. Maswali na majibu.
Kutunga sentensi katika umoja na
wingi akizingatia upatanisho wa
kisarufi.

2 Ufasaha wa lugha. Mlinganisho wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi wa mambo.


KCM
mashairi ya arudhi aweze: Uchunguzi kifani. Uk 134-5.
na mashairi huru. Kuonyesha kufanana kwa mashairi ya Kuigiza.
mapokeo na huru. Maswali na majibu. MWM
Kupambanua tofauti zilizomo. Uk. 95-96.

Kamusi.
3-4 Fasihi teule. Ushairi wa jadi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule.
aweze: Maigizo.
Kuafanua dhana ya ushairi wa jadi, Ufafanuzi.
kimuundo, lugha na wahusika.n.k. Uchunguzi.
Ugunduzi.
Maswali na Majibu.
8 5 Utunzi. Shairi la arudhi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Majaribio. KCM
Uk 137-8
aweze: Utatuzi.
Kufafanua hatua za utunzi wa mashairi. Tajriba. MWM
Kutunga shairi la arudhi au huru kama Utafiti. Uk. 96-7.
njia ya kisanii. Kuandika.

6 Hadithi fupi. Hadithi teule. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. Kitabu cha
aweze: Majadiliano. hadithi fupi
Kutathmini kazi ya fasihi, kimuundo na Uchambuzi. kilichote-
uliwa.
lugha.
Kuchambua maudhui na wahusika.

9 1 Kusikiliza na Mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Mjadala. KCM


139
kuzungumza. aweze: Utendaji.
Kuzua hoja na kuzitetea. Ufafanuzi. MWM
Kuziwasilisha katika mjadala kwa Tajriba. Uk.97-98.
ufsaha. Kanda za
Sauti.
Redio.
2-3 Fasihi yetu. Maghani katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule.
fasihi simulizi. aweze: Ufaraguzi.
Kueleza na kufafanua aina tofauti za Mifano.
maghani. Maswali na majibu.
Kueleza sifa za utanzu wa maghai. Vikundi.

4 Ufahamu. Sakata za ufisadi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM


141-4.
aweze: Ufafanuzi. MWM
Kueleza taarifa. Tajriba. UK. 101-3.
Kueleza chanzo na madhara ya ufisadi. Makundi. Kamusi.
Kujibu maswali. Mjadala.

5-6 Sarufi. Upatanisho wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Ufafanuzi. KCM


144-9
kisarufi katika umoja aweze: Maelezo.
na wingi. Kubainisha nyanja za umoja na wingi. Majadiliano. MWM
Kutunga na kugeuza sentensi katika Tajriba. UK. 103
hali moja hadi nyingine. Mazoezi.
Kubainisha viambishi visisitizi na vya
vivumishi.

10 1 Ufasaha wa lugha. Muhtasari. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maswali na majibu. KCM
150
aweze: Makundi.
Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia Uchambuzi. MWM
katika muhtasari. Kukariri. UK.
Kuandika muhtasari wa kifungu teule. 107-108.

2 Fasihi teule. Mashairi huru. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule.
aweze: Ufafanuzi.
Kueleza maana ya shairi huru. Uchambuzi.
Kufafanua na kuhakiki mashairi huru. Maswali na majibu.
Kukariri.
Maswali na majibu.

3 Utunzi. Mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo na ufafanuzi. KCM


150.
aweze: Mjadala.
Kueleza muundo wa insha ya mjadala. Utafiti na uchunguzi. MWM
Kufafanua sifa na kuandika insha ya Maswali na majibu. UK.
mjadala kwa usahihi. Tajriba. 107-108.
Kujadili hoja ya kuwaadhibu mafisadi
kwa ufasaha.
4-5 Kusikiliza na Afisa matawala na Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Utatuzi. KCM
154-6.
kuzungumza. raia. aweze: Tajriba.
Kueleza sababu za migogoro baina ya Uchunguzi. MWM
watu na wanyama mwitu. Kusoma. UK.
Kupendekeza suluhisho. Maswali na majibu. 110-11
Kueleza maana ya maneno.

6 Fasihi yetu. Ngomezi katika Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule.
fasihi simulizi. aweze: Maigizo.
Kueleza maana na kuainisha ngomezi. Utafiti.
Kufafanua matumizi ya ngomezi. Mahojiano.
Kukusanya mifano ya ngomezi. Ukusanyanji.

11 1 Ufahamu. Historia ya katiba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Usomaji. KCM


Uk 154-6.
aweze: Maswali na majibu.
Kusoma taarifa kwa ufasaha. Majadiliano. MWM
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za Utafiti. UK.
usomaji bora. Maelezo. 110-11
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. Tajriba.

2 Sarufi. Upatanisho wa Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk 156-7.
kisarufi. aweze: Tajriba.
Kufafanua dhana ya upatanisho wa Mifano. MWM
kisarufi akizingatia ‘amba’ rejeshi, ‘o’ Maswali na majibu. UK.
rejeshi na ‘a’ unganifu. 112-14.
Kutunga sentensi akidhihirisha
upatanisho wa kisarufi.

3 Ufasaha wa lugha. Magazeti. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM


Uk
aweze: Ufafanuzi. 158-9.
Kutoa mifano ya aina za magazeti na Uchunguzi.
sifa zake. Mifano. MWM
Kupambanua muundo na lugha ya Utafiti. UK.
115-6.
gazeti. Maswali na majibu.
Kuandika makala ya kuchapishwa.

4 Fasihi teule. Usuli wa tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. Kitabu teule.
aweze: Ufafanuzi.
Kueleza maana, hatua na mbinu za Uchunguzi maigizo.
kuchambua usuli wa tamthilia. Majadiliano ya
Kufafanua usuli wa tamthilia teule. makundi.
5-6 Utunzi. Tahariri. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi Maelezo. KCM
Uk
aweze: Mifano. 160.
Kueleza maana na sifa za tahariri. Uchunguzi.
Kufuata hatua za kuandika tahariri ya Kuandika. MWM
gazeti. Utafiti. UK.
117-118.
Kuandika tahariri. Dayolojia.

12-13 MTIHANI WA MHISHO WA MUHULA

MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA TATU MUHULA WA TATU 2019


KIPINDI
JUMA

NJIA ZA
MADA KUU SHABAHA MAONI
MADA NDOGO KUFUNDISHIA NYENZO

1 1 Kusikiliza na Misimu na lakabu. Kufika mwisho wa somo, Maelezo. KCM


Uk 161-2.
kuzungumza. mwanafunzi aweze: Majadiliano.
Kueleza maana ya misimu na Tajriba. MWM
lakabu. Ufahamu. Uk. 119-20.
Kujadili umuhimu wao.
Kutoa mifano ya lakabu na misimu.

2 Kusikiliza na Lugha ya nathari na ufupisho Kufika mwisho wa somo, Maelezo. Kitabu


kuzungumza katika ushairi. mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. teule.
Fasihi yetu. Kueleza maana ya ufupisho na lugha Maswali na
ya nathari. majibu.
Kufafanua umuhimu wa lugha ya Makundi.
ufupisho katika shairi. Uhakiki.
Tajriba.
3 Ufahamu. Kujali wenye ukimwi. Kufika mwisho wa somo, Maswali na KCM
Uk 166-7
mwanafunzi aweze: majibu.
Kusom taarifa kwa ufasaha. Makundi. MWM
Kujadili yaliyomo. Maelezo. Uk. 123.
Kueleza maana ya istilahi ngeni na
msamiati. Kuandika.

4-5 Sarufi. Aina za virai. Kufika mwisho wa somo, Maelezo. KCM


Uk 166-67.
mwanafunzi aweze: Ufafanuzi.
Kueleza virai. Maswali na MWM
Kueleza aina za virai. majibu. Uk. 123.
Kubainisha virai mbalimbali katika Makundi.
sentensi.
6 Utunzi. Insha ya maelezo. Kufika mwisho wa somo, Maelezo. KCM
Uk 170.
mwanafunzi aweze: Tajriba.
Kueleza ya kuzingatiwa wakati wa Maswali na MWM
kuandika insha ya maelezo. majibu. Uk. 125
Kuandika insha ya maelezo. Maigizo.
Kuandika.

2 1-2 Kusikiliza na Muhtasari: Usanifishaji wa Kufika mwisho wa somo, Maelezo. KCM


Uk
kuzungumza. lugha ya Kiswahili. mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. 167-169.
(Ufasaha wa lugha) Kueleza maana ya Usanifishaji. Maswali na
Kufafanua sababu za kusanifisha majibu. MWM
lugha. Makundi. Uk.
123-4.
Kujadili udhaifu katika usanifishaji. Kufupisha.
Kufupisha makala ilivyoagizwa. Utafiti.

3-4 Kusikiliza na Maudhui katika tamthilia. Kufika mwisho wa somo, Maelezo. KCM
Uk
kuzungumza. mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. 169-70.
(Fasihi teule) Kueleza maudhui na dhamira. Mifano.
Kueleza namna ya kuhakiki Majadiliano. MWM
maudhui. Makundi. Uk.
124-5.
Kufafanua mambo ya kuzinatia Uhakiki.
katika uchambuzi wa maudhui.

5-6 Hadithi fupi. Wahusika katika hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, Maelezo.
mwanafunzi aweze: Majadiliano. Kitabu cha
Kuchambua hadithi teule. Tajriba. hadithi fupi.
Kueleza wahusika Makundi.
wanavyojipambanua kwa hadithi. Uhakiki.

3 1 Kusikiliza na Maagizo na maelekezo. Kufika mwisho wa somo, Ufaraguzi. KCM


Uk. 171.
kuzungumza. mwanafunzi aweze: Mifano.
Kueleza maana ya maagizo na Ufaraguzi. MWM
maelekezo. Kazi mradi. Uk.
Kufafanua umuhimu wa maagizo na Ufahamu. 125-7.
maelekezo. Kuandika.
Kuandika ripoti.

2 Ufahamu. Povu la sabuni. Kufikia mwisho wa somo, Tajriba. KCM


Uk. 172-4.
mwanafunzi aweze. Mjadala. MWM
Kusoma kwa ufasaha na kujibu Mifano. Uk.
maswali. Maigizo. 128-9.
Kuzingatia mafunzo yaliyomo. Usomaji.
Kamusi.
3 3-4 Sarufi. Aina za vishazi. Kufikia mwisho wa somo, Uchunguzi. KCM
Uk. 179-81.
mwanafunzi aweze. Mifano.
Kuanisha vishazi. Maelezo. MWM
Kutunga sentensi kubainisha Ufafanuzi. Uk.
mabadiliko ya maneno. 131-2.
5-6 Ufasaha wa lugha. Mwingiliano wa maneno. Kufikia mwisho wa somo, Uchunguzi. KCM
Uk.
mwanafunzi aweze. Mifano. 177-9
Kuainisha na kubainisha aina za Maelezo.
maneno kutegemea matumizi. MWM
Kutunga sentensi kubainisha Uk.
130.
mabadiliko ya aina ya maneno.

4 1-2 Fasihi teule. Wahusika katika tamthilia. Kufikia mwisho wa somo, Maigizo. Kitabu
mwanafunzi aweze. Uchunguzi. teule.
Kufafanua nafasi ya mhusika. Mjadala.
Kueleza uumbaji na uchoraji wa Utaazamaji.
wahusika. Ufahamu.
Kupambanua aina za wahusika. Ufafanuzi.
Kueleza jinsi ya kuchambua Uhakiki.
wahusika.

3 Utunzi. Hadithi fupi. Kufikia mwisho wa somo, Mifano. Kitabu cha


mwanafunzi aweze. Majaribio. hadithi fupi
Kufafanua hatua za kuandika hadithi Uchunguzi. kilichote-
uliwa.
fupi. Majadiliano.
Kuandika hadithi fupi. Vidokezo.
Maelezo.
Ufafanuzi.
4 Kusikiliza na Habari na ripoti za runinga Kufikia mwisho wa somo, Mifano. KCM
Uk.
kuzungumza. Na redio. mwanafunzi aweze. Masimulizi. 183
Kueleza maana, umuhimu na jinsi ya Maelezo.
kutoa ripoti za redio na runinga. Ufahamu. MWM
Kuanisha ripoti. Mjadala. Uk.
133-5.

5-6 Fasihi yetu. Hadithi fupi. Kufikia mwisho wa somo, Kusoma. Kitabu cha
mwanafunzi aweze. Uchunguzi. hadithi fupi
Kueleza fani ya lugha. Ufafanuzi. kilichote-
uliwa.
Kufafanua umuhimu wa fani hizo. Mjadala.
Masimulizi.
Uchambuzi.
5 1 Ufahamu. Ripoti za michezo. Kufikia mwisho wa somo, Makundi. KCM
Uk184-6.
mwanafunzi aweze. Maelezo. MWM
Kusoma taarifa kwa ufasaha. Utafiti. Uk.
Kueleza aina ya michezo. Tajriba. 135-6.
Kutoa mifano ya taarifa. Usomaji. Kamusi.

2-3 Sarufi. Sentensi. Kufikia mwisho wa somo, Majadiliano. KCM


Uk.
mwanafunzi aweze. Makundi. 186-8.
Kuainisha sentensi. Mifano.
Kueleza sifa za sentensi. Ufafanuzi. MWM
Kutoa mifano ya kila aina. Mazoezi. Uk.
137.

4 Kusikiliza na Lugha za ripoti na uandishi Kufikia mwisho wa somo, Maelezo. KCM


Uk.
kuzungumza. wake. mwanafunzi aweze. Mifano. 188-9.
Ufasaha wa lugha. Kueleza jinsi ya kuwasilisha ripoti. Utafiti.
Kueneza lugha ya ripoti MWM
Kuandika ripoti maalumu. Uk. 137-8.

5-6 Fasihi teule. Hadithi fupi. Kufikia mwisho wa somo, Maelezo. Kitabu cha
mwanafunzi aweze. Ufafanuzi. hadithi fupi
Kubainisha na kueleza muundo na Uhakiki. kilichote-
uliwa.
mtindo wa tamthilia. Majadiliano.
Kuhakiki muundo wa tamthilia. Kuigiza.

6 1-2 Utunzi. Insha ya ripoti. Kufikia mwisho wa somo, Ufaraguzi. KCM


Uk.
mwanafunzi aweze. Utafiti. 190.
Kueleza hatua za kuandika ripoti. Kazi mradi.
Kuandika ripoti. Kuandika. MWM
Uk.
138-9.

3 Kusikiliza na Mahakama. Kufikia mwisho wa somo, Ziara. KCM


Uk.
kuzungumza. mwanafunzi aweze: Masimulizi. 191.
Kufafanua aina za mahakama na Utafiti.
shughuli zao. Maelezo. MWM
Kutumia msamiati unaofaa wa Ufahamu. Uk.
139-42.
mahakama kutunga sentensi. Ufaraguzi.
Kuendesha mazungumzo ya
mahakama.
6 4-5 Fasihi yetu. Hadithi fupi. Kufikia mwisho wa somo, Kuigiza. Kitabu cha
mwanafunzi aweze: Ziara. hadithi fupi
Kueleza maana ya maigizo. Maelezo. kilichote-
uliwa.
Kubainisha sura za sanaa za Masimulizi.
maonyesho ya kawaida.

6 Ufahamu. Haki za binadamu. Kufikia mwisho wa somo, Kusoma. KCM


Uk.194-5.
mwanafunzi aweze: Kukariri.
Kujibu maswali kwa usahihi. Maswali na MWM
Kueleza ujumbe wa shairi. majibu. Uk.
Maelezo. 143-4.
Kamusi.
7 1 Sarufi. Uchanganuzi wa sentensi Kufikia mwisho wa somo, Maelezo. KCM
Uk.
kwa njia ya mishale. mwanafunzi aweze: Mifano. 195-6.
Kuchanganua sentensi kwa njia ya Mazoezi.
mishale au mistari. MWM
Kueleza muundo wa kikundi nomino Uk.
143-4.
(KN) na kikundi tenzi (KT)
2 Kusikiliza na Muhtasari – haki za watoto. Kufikia mwisho wa somo, Makundi. KCM
Uk.
kuzungumza mwanafunzi aweze: Masimulizi. 196-8
(Ufasaha wa Kundondoa hoja muhimu. Utatuzi wa
lugha). Kuandika muhtasari wa kifungu. mambo. MWM
Kubainisha haki za watoto. Uk.
144.

3-4 Fasihi teule. Matumizi ya lugha katika Kufikia mwisho wa somo, Kuigiza. Kitabu
tamthilia. mwanafunzi aweze: Uchunguzi. teule.
Kueleza sifa za lugha katika Mifano.
tamthilia. Ufafanuzi.
Kutoa mifano ya matumizi ya lugha Uhakiki.
katika tamthilia.

5-6 Kusikiliza na Mialiko. Kufikia mwisho wa somo, Mifano. KCM


201-2.
kuzungumza mwanafunzi aweze: Utafiti.
Kueleza umuhimu wa mialiko. Vikundi. MWM
Kupambanua sifa za mialiko. Ufahamu. Uk. 145-9.
Kuainisha mialiko. Maelezo.

8 1-2 Fasihi yetu. Hadithi fupi. Kufikia mwisho wa somo, Ziara. Kitabu cha
mwanafunzi aweze: Utafiti. hadithi fupi
Kutoa mifano ya maigizo. Uchunguzi. kilichote-
Kupambanua umuhimu wa maigizo. Uhakiki. uliwa.
Kueleza jinsi ya kuchanganua Maigizo.
maigizo.
3 Ufahamu. Kumbukumbu za mkutano. Kufikia mwisho wa somo, Maswali na KCM
Uk 204-6.
mwanafunzi aweze: majibu. MWM
Kusoma kumbukumbu. Majadiliano. Uk.
Kueleza maana za maneno na Maelezo. 149-50.
vifungu. Kuigiza.
Kamusi.
Kujibu maswali ya taarifa.

4-5 Sarufi. Uchanganuzi wa sentensi. Kufika mwisho wa somo, Maozezi. KCM


Uk 206-8.
mwanafunzi aweze: Maelezo.
Kubainisha dhana ya uchanganuzi. Ufafanuzi. MWM
Kuchanganua sentensi kwa njia ya Uk.
jedwali. 150-1.

6 Ufasaha wa lugha Kumbukumbu. Kufika mwisho wa somo, Dayolojia. KCM


Uk 208-9
mwanafunzi aweze: Mahojiano.
Kueleza umuhimu wa Ufafanuzi. MWM
kumbukumbu. Uk.
Kupambanua sifa za kumbukumbu. 151-2.
Kujibu maswali.

9 1-2 Fasihi teule. Mafunzo katika tamthilia. Kufika mwisho wa somo, Tajriba.
KCM
mwanafunzi aweze: Mifano. Uk 209-10.
Kueleza maana ya mafunzo. Mjadala.
Kufafanua mbinu za wasanii kutoa Maelezo. MWM
mafunzo katika tamthilia. Ufafanuzi. UK 153-5.
Kueleza mafunzo.

3-4 Utunzi. Insha ya kumbukumbu. Kufika mwisho wa somo, Maelezo.


KCM
mwanafunzi aweze: Ugunduzi. Uk 210.
Kuandika kumbukumbu. Majaribio.
Kufafanua ya kuzingatia Ufaraguzi. MWM
unapoandika kumbukumbu. Uhakiki. UK 153-8.

9 5-6 Kusikiliza na Matangazo. Kufika mwisho wa somo, Maelezo.


KCM
kuzungumza. mwanafunzi aweze: Tajriba. Uk 211.
Kueleza sifa za matangazo katika Majadiliano.
redio na runinga. Ufaraguzi. MWM
Kufafanua jinsi ya kuandaa Uhakiki. UK 155-8.
matangazo. Ufahamu.
Kuhakiki na kuandaa matangazo.
10 1 Hadithi fupi. Mikusanyo ya kazi za fasihi Kufika mwisho wa somo, Maelezo. Kitabu cha
simulizi. mwanafunzi aweze: Ufafanuzi. hadithi fupi
Kufafanua umuhimu wa kukusanya Makundi. kilichote-
na kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. Uhakiki. uliwa.
Kueleza njia za kuhifadhi kazi za
fasihi simulizi.

2 Ufahamu. Maji na uhai. Kufika mwisho wa somo, Usomaji. KCM


mwanafunzi aweze: Tajriba. Uk 213-5.
Kusoma taarifa kwa ufasaha. Maswali na
Kufafanua hali ya maji naumuhimu majibu. MWM
wake. Uvumbuzi. UK.159-7.
Kujibu maswali ya taarifa kwa Uchunguzi.
usahihi. Kamusi.

3-4 Sarufi Uchanganuzi wa sentensi. Kufika mwisho wa somo, Maelezo.


KCM
mwanafunzi aweze: Ufafanuzi.
Uk 216-7.
Kueleza maana ya uchanganuzi. Mifano.
Kuchanganua sentensi sahili, Maswali na
ambatano na changamano kwa njia majibu.
MWM
ya michoro ya matawi. Mazoezi.
UK.161-6.
5-6 Ufasaha wa lugha. Matangazo. Kufika mwisho wa somo, Maelezo.
KCM
mwanafunzi aweze: Maswali na
Uk 218.
Kuandika tangazo la kuvutia majibu.
kulingana na kichwa walichopewa. Makundi.
Kueleza sifa za matangazo ya Tajriba.
MWM
maandishi.
UK.166-7.
11 1-2 Fasihi teule. Tathmini katika tamthilia. Kufika mwisho wa somo, Maelezo.
mwanafunzi aweze: Maswali na
Kueleza sifa za tamthini katika majibu. Kitabu
tamthilia. Makundi. kilichote-
Kueleza namana ya kujibu maswali Tajriba. uliwa.
katika tamthilia.

3-4 Utunzi. Insha ya makala. Kufika mwisho wa somo, Ufaraguzi. KCM


mwanafunzi aweze: Makundi. Uk 220.
Kufafanua maana ya makala ya Mahojiano.
kitaaluma. Maelezo. MWM
Kuandika insha ya kitaaluma kuhusu UK.168.
mada waliyopewa kwa usahihi.
12-13
MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA

You might also like