Farm Costs

You might also like

Download as xlsx, pdf, or txt
Download as xlsx, pdf, or txt
You are on page 1of 6

Cereals farming and Trading Experts

P.o.box: 7117,Temeke, Dar Es Salaam.


Mobile +255 684 665 217,+255 777 824 404
Email:ceftecompany@gmail.com

GHARAMA ZA KULIMA MWAKA 2022/2023

1. KUSAFISHA SHAMBA:
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Sumu ya magugu (Weedall) 10 17000 170000
02 Mashine 10 12000 120000
03 Maji 3 5000 15000
04 Chakula 3 5000 15000
05 Nauli 3 10000 30000
JUMLA 350000

2. KUPANDA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mbegu (K2) 63 3000 189000
02 Kuchimbia 5 115000 575000
03 Chakula 5 10000 50000
05 Nauli 10 10000 100000
JUMLA 914000

3. MBOLEA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mbolea 10 50000 500000
02 Kuweka 2 50000 100000
03 Chakula 2 20000 40000
05 Nauli 2 20000 40000
06 kusafirisha mbolea 2 30000 60000
JUMLA 740000

4. PALIZI
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Vibarua 5 35000 175000
02 Nauli 8 11875 95000
03 Chakula 7 14500 101500
04 Usafiri CEO 3 20000 60000
JUMLA 431500

4. KUVUNA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mifuko 50 700 35000
02 Nauli 6 6500 39000
03 Chakula 7 15800 110600
04 Usafiri CEO 3 10000 30000
05 vibarua 5 54000 270000
JUMLA 484600

JUMLA KUU 2920100

01 MAVUNO KGS 3529


02 MAUZO TZS. 690
03 MAPATO 2435010

LOSS 485090

SABABU ZA KUPATA HASARA


01 Matumizi ya mbegu zisizo sahihi (K2) kutoka msumbiji; tumegundua mbegu
hizi sio mbegu za kisasa(highbleed) ni kizazi cha mbegu za kale

02 Matumizi ya mbolea isiyo na ubora unahitajika;mbolea ya kutoka msumbiji


tumegundua ilikuwa ni (basal fertilizer) mbolea ya kupandia ambayo ina
viwango vidogo vya virutubisho sisi tukatumia kwa kukuzia na kuzalishia.

03 uzembe wa kudhibiti magugu kwa wakati, imepelekea kupelekea mazao


kupata virutubisho vya kutosha kwa kunyang'ana na magugu.
Cereals farming and Trading Experts

P.o.box: 7117,Temeke, Dar Es Salaam.


Mobile +255 684 665 217,+255 777 824 404
Email:ceftecompany@gmail.com

GHARAMA ZA KULIMA MWAKA 2021/2022

1. KUSAFISHA SHAMBA:
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 kukodi shamba 5 30000 150000
02 Sumu ya magugu (grassquart) 5 12000 60000
03 Mashine 5 12000 60000
04 Chakula 1 10000 10000
05 Nauli 3 10000 30000
JUMLA 160000

2. KUPANDA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mbegu (SC 719) 70 6000 420000
02 Kuchimbia 8 10000 80000
03 Chakula 6 10000 60000
Posho 7 10000 70000
05 Nauli 11 10000 110000
JUMLA 740000

3. MBOLEA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mbolea = UREA 50kgs 7 96000 672000
S.A 25kgs 8 30000 240000
NPK 59kgs 4 91500 366000
CALCIBOR(CAN modified) 5 36500 182500
02 Kuweka 27 5000 135000
03 Chakula 7 10000 70000
05 Nauli 9 10000 90000
06 kusafirisha mbolea 7 10000 70000
JUMLA 1825500

4. PALIZI
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Vibarua 6.5 35000 227500
02 Nauli 1 5000 5000
03 Chakula 2 10000 20000
04 posho 1 10000 10000
05 Usafiri CEO 2 10000 20000
JUMLA 282500

4. KUVUNA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mifuko 150 800 120000
kamba 1 5000 5000
02 Nauli 6 5000 30000
03 Chakula 15 10000 150000
04 Usafiri CEO 15 10000 150000
05 Kupukucha 1500 120 180000
06 Pakia & Shusha 1100 130 143000
07 Usafiri (sokoni) 2310 130 300300
08 Ushuru 460 130 59800
09 Ulinzi 200 130 26000
10 Posho 15 10000 150000
11 vibarua 5 35000 175000
JUMLA 1489100

JUMLA KUU 4497100

01 MAVUNO KGS 13584


02 MAUZO TZS. 630
03 MAPATO 8557920

FAIDA 4060820

SABABU ZA KUPATA FAIDA


01 Matumizi ya mbegu sahihi (SC 719 )

02 Matumizi ya mbolea zenye ubora una0hitajika;

03 Umakini katika kudhibiti magugu kwa wakati, imepelekea kupelekea mazao


kupata virutubisho vya kutosha.

04 Upandaji wa kitaalamu rows 70cm, plants 21cm


Cereals farming and Trading Experts

P.o.box: 7117,Temeke, Dar Es Salaam.


Mobile +255 684 665 217,+255 777 824 404
Email:ceftecompany@gmail.com

GHARAMA ZA KULIMA MWAKA 2020/2021

1. KUSAFISHA SHAMBA:
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Kukodi shamba 5.5 30000 165000
02 Kukata miti 5.5 10000 55000
03 Kusafisha 5.5 40000 220000
04 Kusafisha 5.5 40000 220000
05 Chakula 1 10000 10000
06 Nauli 2 10000 20000
07 Kibanda 1 50000 50000
08 vifaa vya kazi 1 56000 56000
JUMLA 796000

2. KUPANDA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mbegu (SC 719) 50 6000 300000
02 Mbegu (SC 719) 50 7000 350000
03 Kupanda 20 4000 80000
04 Kupanda 20 4000 80000
05 Chakula 6 10000 60000
06 Posho 7 10000 70000
07 Nauli 11 10000 110000
JUMLA 1050000

3. MBOLEA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mbolea = UREA 50kgs 15 55000 825000
02 S.A 25kgs 10 35000 350000
04 Posho 1 10000 10000
05 Kuweka 5.5 15000 82500
06 Chakula 2 15000 30000
07 Nauli 2 10000 20000
08 Kusafirisha mbolea 7 10000 70000
JUMLA 1387500
4. PALIZI
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Vibarua 5.5 35000 192500
02 Nauli 1 20000 20000
03 Chakula 2 10000 20000
04 posho 2 10000 20000
05 Usafiri 2 10000 20000
JUMLA 272500

4. KUVUNA
Na. VITU IDADI BEI TZS. JUMLA TZS.
01 Mifuko 60 800 48000
kamba 1 5000 5000
02 Nauli 6 5000 30000
03 Chakula 15 10000 150000
04 Usafiri CEO 15 10000 150000
05 Kupukucha 60 800 48000
06 Pakia & Shusha 1000 60 60000
07 Usafiri (sokoni) 2350 60 141000
08 Ushuru 800 60 48000
09 Ulinzi 200 60 12000
10 Posho 15 10000 150000
11 vibarua 5.5 35000 192500
JUMLA 1034500

JUMLA KUU 4540500

01 MAVUNO KGS 7360


02 MAUZO TZS. 400
03 MAPATO 2944000

HASARA -1596500

SABABU ZA KUPATA FAIDA


01 Matumizi ya mbegu sahihi (SC 719 )

02 Matumizi ya mbolea zenye ubora unaohitajika;

03 Umakini katika kudhibiti magugu kwa wakati, imepelekea kupelekea mazao


kupata virutubisho vya kutosha.

04 Upandaji wa kitaalamu rows 70cm, plants 21cm

You might also like