Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539 24/05/2024

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji


kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 13-05-2023 na tarehe 09-04-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika
Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na
wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho
kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia,
Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha
kazi.
NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

1 Hospitali ya Benjamin Mkapa MEDICAL SPECIALIST II (ORTHOPAEDICS & TRAUMA)


1. MICHAEL JOHN MUSHI

2 Hospitali ya Benjamin Mkapa MUUGUZI DARAJA LA II


1. DAUDI BONIVENTULA ZUMBA

2. VERONICA JEREMIAH
MFANYAKAZI

3 Hospitali ya Benjamin Mkapa DENTAL LABORATORY TECHNOLOGIST II


1. PETER THADEUS LEKULE

4 Hospitali ya Benjamin Mkapa ICT OFFICER II (DATABASE ADMINISTRATOR)II


1. ROSEMARY JOHN NAMILIKWA

5 Hospitali ya Benjamin Mkapa ENGINEER II (ELECTRICAL)


1. PATRICK EMMANUEL MUNUO

6 Hospitali ya Benjamin Mkapa ACCOUNTANT II


1. ALICIA VITALIS RUSHAKA

2. TUMAINI GEORGE MKUMBWA

7 Hospitali ya Benjamin Mkapa AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II


1. KAGOMA BENEDICTO KAGOMA

2. LINDA JOSEPH MWANGA

3. VERONICA FREDRICK MGINA

4. JANE WILLIAM KIMARO

8 Hospitali ya Benjamin Mkapa AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II)


1. FRANCIS SIMON MGALLA

9 Hospitali ya Benjamin Mkapa AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II)
1. CHRISTOPHER KILANGO MKODO

10 Hospitali ya Benjamin Mkapa DEREVA DARAJA LA II


1. SHAKIR HEMED SALIMU

2. JOHN IGNAS PETER

3. JUMA MOHAMED MSUYA

11 Hospitali ya Benjamin Mkapa FUNDI SANIFU DARAJA LA II- UMEME


1. MASATU RICHARD PALAPALA

12 Hospitali ya Benjamin Mkapa FUNDI SANIFU MFUMO WA MAJI DARAJA LA II- (PLUMBER)
1. SALUMU MOHAMEDI SALUMU

13 Hospitali ya Benjamin Mkapa HEALTH ASSISTANT II


1. ALBERT ROGART OSCAR

2. GRACEANA FRANCIS KOYANGA

3. JOSEPH CHRISTOPHER MERO

4. WINFRIDA BARTOLOMAYO
KIMARO

5. MWASITI MOHAMEDI BAKARI

6. FREDRICK NDAYANSE FADHILI

7. PAULINA HENRY KEPHA

8. HAMZA SALIMU HAMZA

9. ABDALLAH MICKDADI NAZALETH

10. SADICK SHABAN MKWIZU

14 Hospitali ya Benjamin Mkapa MEDICAL LABORATORY TECHNOLOGIST II


1. DANFORD CHRISTOPHER MAGADII

2. IMANI SAIDI HAMISI

3. PASKALINA KIMARIO ROGASIANI

15 Hospitali ya Benjamin Mkapa PHARMACEUTICAL TECHNICIAN II


1. FADHILI MOHAMEDI CHANDIMA

2. DAVID ARON ANDERSON

16 Hospitali ya Benjamin Mkapa PHARMACIST II


1. MUSA MTORO SAIDI

2. EZEKIEL MABEYO EZEKIEL

3. TUSANKINE ZERUBABEL NZOWA

17 Hospitali ya Benjamin Mkapa RADIOGRAPHY TECHNICIAN II


1. MARYLIN HUMPHREY LYAKURWA

1
18 Hospitali ya Benjamin Mkapa TECHNICIAN II (ELECTRICAL)
1. ABDULY KARIMU LUTEGO

19 Hospitali ya Benjamin Mkapa INTERNAL AUDITOR II


1. SIMON GASPER SWAI

20 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ASSISTANT LECTURER IN COMPUTER NETWORKING


(NIT) 1. EXAUD NOEL KITOMARY

21 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ASSISTANT LECTURER IN ELECTRONICS SCIENCES


(NIT) 1. MIKE MAJHAM KAKWAYA

22 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ASSISTANT LECTURER IN COMPUTER PROGRAMMING


(NIT) 1. JACOB HERMAN LEONARD

23 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji TUTOR II IN ECONOMICS


(NIT) 1. EMILIAN JOSEPH LUTONJA

24 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji TUTOR II IN ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATIONS


(NIT) ENGINEERING 1. YASSIR MABROUK SAADUNI

25 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji TUTORIAL ASSISTANT IN LAW


(NIT) 1. EMANUEL SIIMA BURA

26 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER)


(NIT) 1. MUSA SELEMANI ALLY

27 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ASSITANT TUTOR II IN AUTOMOBILE ENGINEERING


(NIT) 1. MASAMBALA MTAKI MAGUMBA

28 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji DEREVA DARAJA LA II


(NIT) 1. GREGORY SILVESTER LUSASI

29 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji CLINICAL OFFICER II


(NIT) 1. ALEX ALBERT STIMA

30 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ADMISSION OFFICER GRADE II


(NIT) 1. CHARLES FYILI WISIZE

31 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji PLANNING OFFICER II


(NIT) 1. LIVINUS MWESIGA JONAS

32 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ADMISSION OFFICER GRADE II


(NIT) 1. BAKARI NUHU RAMADHANI

33 Chuo cha Taifa cha Usafirishaji AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II)
(NIT) 1. MICHAEL ALFRED GEWE

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like