Professional Documents
Culture Documents
Faida Fund Brochure Swahili2
Faida Fund Brochure Swahili2
Watumishi Housing Investments (WHI) ni Taasisi Mwekezaji ataweza kujisajili kwa kujaza fomu
ya umma chini ya Ofisi ya Raisi Menejiment ya au kwa njia ya mtandao.
Utumishi wa umma na Utawala Bora 1) Simu: USSD
Piga: *152*00#
MENEJA WA MFUKO Chagua: Malipo
Chagua: FAIDA FUND
WHI ni Meneja wa Mfuko aliyeidhinishwa
kusimamia Mfuko wa Watumishi Housing
2) Simu: Simu janja
REIT (WHI - REIT) ambao unajenga nyumba za
Pakua: Aplikesheni / WekezaWHI
bei nafuu na kuziuza kwa Watumishi wa Umma
na sekta binafsi. Aidha WHI ni Meneja wa Mfuko
3) Tovuti: www.whi.go.tz Bei / Thamani ya vipande vya Faida Fund pamoja na
wa FAIDA FUND, huu ni mfuko mpya ulioanzishwa
mapato ya vipande inaweza kupungua au kuongezeka.
kwa lengo la kukuza mitaji na ukwasi kwa watu
binafsi pamoja na taasisi binafsi na za Umma. FAIDA FUND inaratibiwa na Mamlaka ya Masoko ya
Mitaji na dhamana Tanzania (CMSA) na ndiyo
walioidhinisha ujumbe huu
BEI YA KUUZA NA KUNUNUA
Bei ya kununua na kuuza kipande itategemea
thamani halisi ya kipande katika Mfuko kwa
wakati huo (NAV)