Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 16

KISOMO

USITUMIE MBINU HII KUOMBA


AJIRA - UTAIKOSA.

Jifunze Whatsapp Status Bure:

+255 753 396 621


Wengi Huomba Kazi Hivi.
Utaona Tangazo La Ajira Kwenye
Taasisi/Kampuni Husika.
Uta Andika Barua + Kutuma CV. Badae
Utasubiri Kuitwa Interview Ili Kuijua
Hatima Yako.
Ukitumia Mbinu Ya Hio Asilimia Za
Kuikosa Ajira Ni Nyingi.

+255 753 396 621 01


Usiombe Ajira (Kazi) Onesha Uwezo.
Changamoto ya waombaji ajira wengi
hawajui lengo la ajira sio wao kupata
fedha za kujikimu a.k.a mshahara.

Lengo halisi la kuomba ajira ni Kuisaidia


kampuni ama taasisi kutimiza malengo
fulani.

Ukiwa kama mmoja ya watu wanaosoma


makala zangu nitakuonesha mbinu
zitakazo kusaidia wakati utakapo omba
ajira.
+255 753 396 621 02
Kabla Hatujasonga Mbele.
MBINU HIZI SIO ZA UHAKIKA 100%.
Ni Kwa Ajili Ya Kuelimisha Tu. Hazito
Mfaa Kila Mtu.
Hazitofanya Kazi Kwenye Ajira Za
Serikali. Ni Kwa Ajili Ya Sekta Binafsi.

+255 753 396 621 03


Kampuni & Taasisi Zina Jali Ukuaji.
Unachotakiwa kufanya cha kwanza ni
kufanya utafiti kuhusu company vision &
goals (Malengo na maono ya kampuni).

Hivyo ndio vitu wanavyo jali, lengo la


haraka ambalo huwa halisemwi ni Kipato
cha kampuni kikue (Company revenue).

+255 753 396 621 04


Usifanye Kosa Hili.
Unapo washawishi kwenye barua yako
usijiweke wewe. Waweke wao. Ngoja
nikuoneshe kwa mfano ili unielewe.

Njia iliyo zoeleka;

❌ Mimi ni mhitimu wa chuo nina elimu


hii, mchapa kazi na nina amini nitaweza
kufanya abc.

+255 753 396 621 05.A


Andika Barua Hivi.

Njia Sahihi;

Kutokana na malengo & maono ya


taasisi/kampuni hii, nitasaidia kwenye
eneo hili kutokana na ujuzi wangu xyz
(Utaje) nitaongeza kitu abc ili kuisaidia
kampuni ifikie lengo lake kuu ambalo ni
XXX. Na Nime weka Case Study moja.

+255 753 396 621 05.B


Tutumie Mfano Halisi.
Kampuni ya vinywaji inatafuta watu wa
mauzo. Wanataka mtu mwenye elimu
fulani ambayo Ninayo.

Lengo la hio kampuni sio kuajiri bali ni


Kuongeza faida kwenye kampuni. Wengi
Watatuma maombi yao kikawaida.

+255 753 396 621 06.A


Tutumie Mfano Halisi.
Kampuni ya vinywaji inatafuta watu wa
mauzo. Wanataka mtu mwenye elimu
fulani ambayo Ninayo.

Lengo la hio kampuni sio kuajiri bali ni


Kuongeza faida kwenye kampuni. Wengi
Watatuma maombi yao kikawaida.

+255 753 396 621 06.B


Tuanze Na Utafiti.
Njia gani kampuni ya vinywaji inaweza
ongeza mauzo?

Nitaenda YouTube,Google Na ChatGPT


(AI). Unajua kwanini nitafanya hivyo?

Ninaenda kutafuta Free Case Study


ambayo itawafanya waweke umakini
kwangu. Na pia maneno yangu yaonekane
sio nadharia bali kuna utafiti mdogo
nimeshawapa.

+255 753 396 621 07


Majibu Ya
Utafiti. Kupitia
ChatGPT.

+255 753 396 621 08


Idea (Mawazo) Zichambue.
Nitakapoandika barua ya kuomba kazi
nawawekea na Free Case Study.

Ambayo itaandikwa kwa juu juu ili wasije


itumia bila kuniajiri, lakini pia nitaisajili
hio COSOTA (Hii ni lazima kama Una big
IDEA) na case study hio nitaitumia
kuomba kampuni zaidi ya moja.

Lengo ni kuwa na uwezekano mkubwa wa


kupata kazi.

+255 753 396 621 09


Kwenye Interview.
Siku ya interview kila swali lao nitalijibu
kwa kuwarudishia wao wenyewe.

Mfano; Tuambie kuhusu wewe ni nani na


Una nini?

Mimi: Naitwa Rapha, kutokana na


malengo ya kampuni hii ambayo ni abc
nina ujuzi utakao isaidia kampuni ifike
hatua nzuri kutokana na utafiti wangu
mdogo xxx.

+255 753 396 621 10.A


Kwenye Interview.
Swali; Unajionaje miaka mitano ijayo?

Jibu: Najiona nikiwa mtu mwenye


maarifa, ujuzi, uzoefu na maono ambayo
yatanisaidia kuleta matokeo chanya
kwenye Kazi yangu ndani ya kampuni au
taasisi husika nitakayo kuwa.

+255 753 396 621 10.B


Kwenye Interview.
Swali; Unajionaje miaka mitano ijayo?

Jibu: Najiona nikiwa nimekusanya


maarifa, ujuzi, uzoefu na maono ambayo
yatanisaidia kuleta matokeo chanya
kwenye Kazi yangu ndani ya kampuni au
taasisi husika nitakayo kuwa.

+255 753 396 621 10.B


Jiandae Kwa Lolote..
Wakiuliza kama nina swali au neno la ziada.
Nina wafafanulia sasa Free Case Study
yangu.Na ni vizuri uiandae kwa slides
uibebe ukikuta projector Uta present.

Pia jiandae kwa lolote Kupata/kukosa.


Mtangulize Mwenyezi Mungu. Omba ajira
sehemu nyingi uwezavyo.

+255 753 396 621 11.

You might also like