Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME

WILAYA YA GONGOLAMBOTO

06 Juni 2024
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Gongolamboto linawajulisha wateja wake
kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kwenye moja ya laini yake inayotoka kwenye kituo cha kupoza
na kusambaza umeme KIPAWA.
Lengo
Kumruhusu mkandarasi kuhamisha miundombinu ya umeme ili kupisha ujenzi wa barabara ya
mwendokasi.
Maboresho haya yataathiri hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme kama ifuatavyo.

SIKU, TAREHE NA MUDA MAENEO YATAKAYOATHIRIKA


Banana,Magereza,Madafu,Mombasa,
JUMAMOSI Mazizini,Mzambarauni,Kituo Kipya,
8 JUNI 2024 Gongolamboto,Mother care,kota,kwa mkindi,mahenge,lupondo,
SAA 4 ASUBUHI kichangani,matembele ya kwanza na baadhi ya maeneo ya jirani
– SAA 10 JIONI

Shirika linawashukuru wateja wake kwa uvumilivu katika kipindi chote ambacho huduma
ya umeme itakosekana.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA,
TANESCO GONGOLAMBOTO
SIMU: 0748 550 000/0733 212 575

You might also like