Kiswahili Kidato Cha Nne

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 4

HALMASHAURIYAJIJILAMBEYA

MTIHANIWAPILIWAUTANGULIZIWAUTAMILIFUJIJI
KIDATOCHANNE
MSIMBO021KISWAHILI

SAA3:00MEI2023

MAELEKEZO

1;Mtihanihuuumegawanyikakatikasehemu3;A,BnaCzenyejumlayamaswali11.
2;JibumaswaliyotekutokasehemuAnaB.
3;JibumaswalimawilikutokasehemuC;Swalila11nilalazima.
SEHEMUA(Alama16)

1. Chaguaherufiyajibusahihikatikavipengele(i-x)kishaandikaherufiyajibusahihikatikakijitabuchakujibia.
i) MitindomingiyalughahutumikakulingananashughuliFulani.Zipinisababuzakutokeakwamitindohiyo?
A;Mwingilianowawatu,ubinafsinauhusianowawahusika.
B;Madayaamazungumzo,ubinafsinakupitakwawakati.
C;Ubinafsi,matumiziyatafsidanahaliyautani.
D;Ugomvi,dhanampyanakuelezahisia.
E;Mwingilianowawatu,uhusianowawahusikanabiashara.
ii) Wewenimwanafunziwakidatochanne,umeambiwauandikesimuyamaandishikumtaarifumzaziwakokuhusukutok
uwepokwamahafalikwasababuzakiusalama.Muundoupikatiyaifuatayoutatumia?
A;Anwaniyamwandishi,Anwaniyamwandikiwanatarehe.
B;Anwaniyamwandikiwa,Ujumbenajinalamwandishi.
C;Anwaniyamwandishi,Jinalamwandikiwanaidadiyamaneno.
D;Idadiyamaneno,gharamayakilanenonaujumbe.
E;Ujumbe,gharamayakilaneno.
iii) Bainishasentensichangamanoyenyemuundowavishazirejeshikatikasentensizifuatazo;
A;Sikukukutanyumbanikwakojana.
B;Mtotoaliyekujajanaanajuakuchezamziki.
C;Miminilimwambiaamalizechakulachote.
D;Alifikanyumbanikwakelakinihakuwezakumwambia.
E;Wotewanamjua.
iv) Ipikatiyamaanazifuatazonimaanasahihikuhusuvina?
A;Mstariwamwishowashairiunaobadilikakwakilaubeti.
B;Silabizakatinamwishozenyemliounaofanana.
C;Idadiyasilabizinazopatikanakatikaubetiwashairi.
D;Mstariwamwishowashairiunaojirudiarudiakwakilaubeti.
E;Utoshelevuwaubeti.

v) Njiazauundajiwamanenoziponyingi,katikanjiazifuatazoniipininjiayakurudiarudiamaneno?
Ukurasa wa 1 ya 4
A;FinyanzoB;MnyumbulikoC;Utohoaji
D;MwambatanoE;Uradidi.
vi) Nisehemuyanenoambayohuwezakutamkwakwapamoja,maramoja,kamafungumojalasauti.
A;IrabuB;KonsonantiC;Silabi
D;MofuE;Matamshi.
vii) Nijamboganilinalodhihirishaupekeewakazifulaniyakifasihi.
A;MuundowakazihusikaB;Jinalakazihusika
C;JinalamtunziD;Mtindowakazihusika
E;Wahusikawakazihusika.
viii) Wewenimwanafasihiambayeunaifahamuvizurifasihisimulizi.Bainishasetisahihi
yaviperavyasemi.
A;Soga,nyimbo,maghaniB;Methali,mizungu,maghani
C;Mafumbo,ngano,sogaD;Tarihi,ngano,miviga.
E;Nahau,mizungunavitendawili.

ix) __________nihadithiambazohusimuliamatukioyakihistoria.
A;NganoB;TarihiC;Visasili
D;SogaE;Vigano.
x) __________hudhihirishaumbolanjelakaziyafasihi.
A;MuundoB;JinalakitabuC;Fani
D;MtindoE;Mwandishi.

2. ChaguakifunguchamanenokutokakatikaOrodhaBambachokinatoamaelezokuhusuistilahizipatikanazokatikafasih
isimulizizilizopokatikaOrodhaA.Andikaherufiyajibusahihikatikakaratasiyakujibia.
ORODHAA ORODHAB
i) Utani A;Mtambajiwakaziyafasihi.
ii) Michezoyawatoto. B;Kujisifukunakoambatananamatendo.
iii) Majigambo. C;Kiperachautanzuwasemi.
iv)Methali. D;Manenoyamzahapasipokuchukia.
iv) Tarihi. E;Shughulizinazofanywanawatotokwalengola
v) Mizungu. kujiburudisha.
F;Kiperachautanzuwahadithi.
G;Kaulizinazotumialughayapichanamafumbo.

SEHEMUB(Alama54).
JIBUMASWALIYOTEKATIKASEHEMUHII.
Ukurasa wa 2 ya 4
3. VitenzivyaKiswahilihuwanatabiatofautitofautizinazotokananadhimazamofimuambazohupachikwakatikavitenzi
hivyo.Kulingananadhimahizo,oneshatabiasita(6)zavitenzi.(Andikamfanommojakwakilahoja).
4.Sentensizifuatazozinamakosa.Bainishamakosahayonakishauziandikesentensihizokwausahihi.
a).Nipedawayamswaki.
b).Polisiwaripambananarijambaziwakarikamata.
c).Chaiimeingiamdudu.
d).Ninapendagakujakwenu.
e).Kibatalikimeanguka.
f).Wasichanawakikewanaitwa.
5.Niukweliusiopingikakuwausimuliziwahadithionijambolinalopendwasanakatikajamiinyingizakiafrika
Kwakutumiahoja06,jadilifaidazahadithikwajamiizetu
6.Matumiziyatamathalizaseminijambolamuhimqusanakatikaujenziwakaziyafasihi.Kwakutumiamfano
mmojakwakilakipengele,fafanuavipengelevifuatavyovyatamathalizasemi.
a).Tabaini.
b).Tashbiha.
c).Nidaa.
7.Kwamuktadhahuu,shairilisilokidhimambohayolitakuwalimelemaa;litakuwanadosariambayowashairi
bulibulihuliitaguni.Yapomashairiguniyaainanyingi,kunaguniambalovinavyakevimebanangwa;kuna
gunilililopungukiwamizani;kunagunilililokosamuwalaaumaudhuiyakehayaelewekiau
hayakutoshelezwa.Kadhalika,kunaguniambalolughayakeimepwaya–ikochapwa–silughayakishairi.
Shairigunihutokananaamakwabahatimbayamshairikapitiwaauhaelewivizuriutunziwamashairiya
Kiswahili.
Lakini,mshairialiyepeakamwehuwezikukutashairilakelinakasorokamahizo;nakamautazikutabasini
kuwazimetokeakwabahatimbaya.Vinanamizaniwalahavimpitabukuvitafuta,lughanamsamiati
autumiaohujipangiliawenyewekulingananamaudhui.

MASWALI.

i) Mwandishianazungumziamadagani?
ii) Tajasifambili(2)zaushairi.
iii) Mwandishiametajaainambalimbalizamashairiguni.Tajaainambilitu.
iv) Oneshasababumbili(2)zinazofanyashairikuwagunikutokananahabariuliyosoma.
v) Elezamsimamowamwandishikuhusu“washairiwaliopea”.

8.UtawalawaMwingerezaulikuwanamchangomkubwakatikakuboreshanakuzoroteshalughayaKiswahili
nchiniTanzania.TathminidaihilinikwavipiwaliizoroteshalughayaKiswahili?
(Toahojannehukuukitumiamifanokuntu)
.

Ukurasa wa 3 ya 4
SEHEMUC(Alama30).

JIBUMASWALIMAWILIKUTOKASEHEMUHII.

(Swalilakuminamojanilalazima.)

9.“Waandishiwatamthiliyawamempamwanamkenafasimbalimbalikatikajamii”.Wakatibaadhiwakimpanafasi
yajuuyenyeheshima,wenginewamempanafasiyachiniyenyeaibunauovu.(ToahojatatukwakilaTamthiliya)

10.“Migogoroyakifasihikwakawaidandiyoinayoibuamaudhuiyakaziyafasihi.”
(Tumiahojatatukwakilariwaya)

11.“Mwanafasihiniaskarikatikamapambanodhidiyamasualakadhawakadhayanayohusujamiiyake.”(Hakiki
kaulihiikwakutumiadiwanimbilikatiyaulizosomadarasani).

ORODHAYAVITABU

MASHAIRI
Wasakatonge - MuhamedS.Khatibu
MalengaWapya - TAKILUKI
Chekacheka - TheobardMvungi

RIWAYA
Takadini - BenHanson
WatotowaMamantilie - EmmanuelMbogo
Jokalamdimu - AbdalahP.Safari

TAMTHILIYA
Orodha - SteveReynolds
Kiliochetu - MedicalAidfoundation
NgoswePenziKitovuchaUzembe - EdwinSemzaba

Ukurasa wa 4 ya 4

You might also like