2024 Top Scholar Kiswahili Grade 7

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 10

REKODI YA KAZI

SHULE: ........ROXY SCHOOL KAPSABET…


GREDI: 7
ENEO LA KUJIFUNZA: KISWAHILI
MWAKA: 2024
MUHULA: 2
JINA LA MWALIMU: .......GODFREY WAFULA….
WIKI MADA KUU MADA NDOGO KAZI ILIYOFANYWA MAONI SAHIHI

1 Unyanyasaji Kusikiliza na a) Kueleza jinsi yeye


wa Kijinsia kuzungumza; huwaamkua na
Mazungumzo kuwaaga watu.
mahususi b) Kujadiliana umuhimu
wa kujua maamkizi na
maagano mbalimbali.
c) Kuchangamkia
maamkuzi na
maagano.

Unyanyasaji Kusikiliza na a) Kutaja maneno ya


wa Kijinsia kuzungumza; maamkuzi na maagano
Mazungumzo yaliyotumika katika
mahususi mazungumzo.
b) Kuigiza mazungumzo
katika kitabu cha
mwanafunzi.
c) Kufurahia kuigiza
mazungumzo.

Unyanyasaji Kusoma kwa a) Kusoma kifungu


wa Kijinsia ufahamu katika kitabu cha
mwanafunzi.
b) Kueleza ujumbe katika
kila aya.
c) Kueleza maana ya
msamiati kulingana na
muktadha wa kifungu
cha ufahamu.
d) Kufurahia kusoma
kifungu.

Unyanyasaji Kuandika; Insha a) Kueleza maana ya


wa Kijinsia ya maelekezo insha ya maelezo.
b) Kuelezea mwenzake
jinsi ya kufika shuleni
kutoka sokoni.
c) Kutathmini umuhimu
wa maelezo.

2 Unyanyasaji Kuandika; Insha a) Kutambua aina za


wa Kijinsia ya maelekezo insha za maelezo.
b) Kutambua sifa za insha
ya maelezo.
c) Kuandika insha ya
maelekezo.
d) Kufurahia kuandika
insha ya maelezo.

Unyanyasaji Sarufi; Nyakati na a) Kutambua vitenzi


wa Kijinsia hali: Wakati vilivyo katika wakati
uliopo hali ya uliopo hali ya
kuendelea kuendelea.
b) Kutunga sentensi
katika wakati uliopo
hali ya kuendelea.
c) Kuchangamkia
matumizi ya vitenzi
vilivyo katika wakati
uliopo hali ya
kuendelea.

Unyanyasaji Sarufi; Nyakati na a) Kutambua vitenzi


wa Kijinsia hali: Wakati vilivyo katika wakati
uliopita hali ya uliopita hali ya
kuendelea kuendelea.
b) Kutunga sentensi
katika wakati uliopita
hali ya kuendelea.
c) Kuchangamkia
matumizi ya vitenzi
vilivyo katika wakati
uliopita hali ya
kuendelea.

Unyanyasaji Sarufi; Nyakati na a) Kutambua vitenzi


wa Kijinsia hali; Wakati ujao vilivyo katika wakati
hali ya kuendelea ujao hali ya kuendelea.
b) Kutunga sentensi
katika wakati ujao hali
ya kuendelea.
c) Kuchangamkia
matumizi ya vitenzi
vilivyo katika wakati
ujao hali ya kuendelea.

3 Usalama Kusikiliza na a) Kutambua masuala


shuleni Kuzungumza- yanayozungumziwa
Matini katika matini ya
kusikiliza.
b) Kutabiri
kitakachotokea katika
matini kwa kurejelea
vidokezo katika matini
ya kusikiliza.
c) Kutathmini umuhimu
wa kusikiliza kwa
kusafiri.

Usalama Kusoma kwa a) Kueleza maana ya


shuleni kina; Maudhui na maudhui na dhamira
dhamira katika fasihi.
b) Kusoma sehemu ya
novela iliyoteuliwa na
mwalimu.
c) Kujadiliana maudhui
mbalimbali katika
sehemu ya novela
aliyosoma.
d) Kujenga mazoea ya
usomaji wa kazi za
fasihi katika maisha ya
kila siku.

Usalama Kuandika; Insha a) Kutambua vigezo


shuleni za masimulizi atakavyozingatia
kutokana na picha wakati wa kuandika
insha ya masimulizi
kutokana na picha.
b) Kuandika insha ya
masimulizi kutokana
na picha zilizoko
katika kitabu cha
mwanafunzi.
c) Kuchangamkia
kuandika insha ya
masimulizi kutokana
na picha.

Usalama Sarufi; Aina za a) Kueleza tofauti kati ya


shuleni vitenzi: Vitenzi vitenzi vikuu na
vikuu na vitenzi vitenzi visaidizi.
visaidizi
b) Kuigiza vitendo
mbalimbali, k.v. ruka,
Tembea, cheza, cheka,
andika.
c) Kutathmini matumizi
ya vitenzi vikuu na
vitenzi visaidizi.

4 Usalama Sarufi; Aina za a) Kutambua vitenzi


shuleni vitenzi: Vitenzi vikuu na visaidizi
vikuu na vitenzi katika sentensi.
visaidizi b) Kutunga sentensi
akitumia vitenzi vikuu
na vitenzi visaidizi.
c) Kuchangamkia
matumizi ya vitenzi
vikuu na vitenzi
visaidizi.
Kuhudumia Kusikiliza na a) Kutaja mambo
Jamii Shuleni Kuzungumza; yanayomsaidia kupata
Kusikiliza kwa ujumbe vizuri
ufahamu unaposikiliza habari
fulani.
b) Kujadili picha zilizoko
katika kitabu cha
mwanafunzi.
c) Kutathmini umuhimu
wa kusikiliza kwa
makini.

Kuhudumia Kusikiliza na a) Kueleza umuhimu wa


Jamii Shuleni Kuzungumza; kusikiliza kwa makini.
Kusikiliza kwa b) Kusikiliza kifungu
ufahamu atakachosomewa na
mwalimu kisha kujibu
maswali.
c) Kutathmini umuhimu
wa kusikiliza kwa
makini.

Kuhudumia Kusoma; a) Kueleza aina za


Jamii Shuleni Ufupisho ujumbe anaweza kutoa
kwa njia ya ufupi.
b) Kujadili aina za
ujumbe anaweza kutoa
kwa njia ya ufupi.
c) Kuonea fahari
ufupisho.
5 Kuhudumia Kusoma; a) Kusoma kifungu
Jamii Shuleni Ufupisho katika kitabu cha
mwanafunzi.
b) Kuandika kifungu
hicho katika ufupisho.
c) Kutathmini umuhimu
wa ufupisho.

Kuhudumia Kuandika; Insha a) Kueleza maana ya


Jamii Shuleni ya kubuni- insha ya maelezo.
Maelezo b) Kutambua matumizi
ya msamiati ufaao kwa
ufasaha katika
kuandika insha ya
maelezo.
c) Kuandika insha ya
maelezo.
d) Kuchangamkia
kuandika insha ya
maelezo.

Kuhudumia Sarufi; Aina za a) Kusoma kifungu


Jamii Shuleni vitenzi- Vitenzi katika kitabu cha
vishirikishi mwanafunzi.
b) Kutambua vitenzi
vishirikishi
vilivyotumika katika
sentensi.
c) Kutathmini matumizi
ya vitenzi vishirikishi.

Kuhudumia Sarufi; Aina za a) Kueleza matumizi ya


Jamii Shuleni vitenzi- Vitenzi vitenzi vishirikishi
vishirikishi katika matini.
b) Kutunga kifungu
kifupi kuhusu
Kuhudumia jamii
shuleni. Tumia vitenzi
vishirikishi.
c) Kuchangamkia
matumizi ya vitenzi
vishirikishi.

6 LIKIZO FUPI
7 Ulanguzi wa Kuzungumza ili a) Kueleza maana ya
Binadamu kupasha habari kuzungumza ili
kupasha habari.
b) Kutambua aina za
kuzungumza ili
kupasha habari.
c) Kupata ujasiri wa
kuzungumza mbele ya
watu.

Ulanguzi wa Kuzungumza ili a) Kutaja vipengele vya


Binadamu kupasha habari katika kuzungumza ili
kupasha habari.
b) Kuigiza mazungumzo
katika kitabu cha
mwanafunzi.
c) Kufurahia kuigiza
mazungumzo katika
kitabu cha
mwanafunzi.

Ulanguzi wa Kusoma kwa kina a) Kueleza maana ya


Binadamu mandhari katika fasihi.
b) Kueleza umuhimu wa
mandhari ya novela.
c) Kuandika maelezo
mafupi kuhusu
mandhari ya novela.
d) Kuchangamkia
kusoma novela
mbalimbali.

Ulanguzi wa Kusoma kwa kina a) Kueleza maana ya


Binadamu ploti.
b) Kueleza umuhimu wa
ploti katika novela.
c) Kuandika maelezo
kuhusu ploti ya novela
aliyoisoma.
d) Kuchangamkia
kusoma novela
mbalimbali.

8 Ulanguzi wa Kuandika; a) Kueleza matumizi ya


Binadamu Viakifishi: Kiulizi kiulizi katika
maandishi.
b) Kuandika sentensi
akitumia alama ya
kiulizi.
c) Kutumia kiulizi mahali
panapofaa katika
sentensi.
d) Kuchangamkia
matumizi ya kiulizi.
Ulanguzi wa Kuandika; a) Kueleza matumizi ya
Binadamu Viakifishi: Koma koma katika
maandishi.
b) Kuandika sentensi
akitumia alama ya
koma.
c) Kutumia koma mahali
panapofaa katika
sentensi.
d) Kuchangamkia
matumizi ya kiulizi.

Ulanguzi wa Sarufi; Ngeli ya a) Kuandika nomino za


Binadamu A-WA ngeli ya A-WA zilizo
kwenye kitabu cha
mwanafunzi.
b) Kusoma ushairi,
‘Ulanguzi gonjwa
baya’ kisha kutambua
nomino za ngeli ya A-
WA
c) Kuchangamkia
matumizi ya ngeli ya
A-WA

Ulanguzi wa Sarufi; Ngeli ya a) Kutambua nomino za


Binadamu U-I ngeli ya U-I katika
kitabu cha
mwanafunzi.
b) Kutunga sentensi
akitumia nomino za
ngeli ya U-I katika
umoja na wingi.
c) Kuchangamkia
matumizi ya ngeli ya
U-I

9 Matumizi ya Kusikiliza na a) Kusikiliza silabi


Vifaa vya kuzungumza; zitakozotamkwa na
Kidijitali Kusikiliza kwa mwalimu au
katika kina kurekodiwa.
mawasiliano b) Kuandika maneno
yaliyotamkwa yenye
sauti d na nd.
c) Kuchangamkia
kukariri silabi za sauti
d na nd katika silabi
na maneno.
Matumizi ya Kusikiliza na a) Kutambua silabi
Vifaa vya kuzungumza; zinazotokana na sauti
Kidijitali Kusikiliza kwa zinazokaribiana katika
katika kina maneno (/d/ na /nd/)
mawasiliano b) Kutamka vitanzandimi
vinavyoundwa kwa
silabi za sauti
zinazokaribiana
kimatamshi (/d/ na
/nd/)
c) Kufurahia kutunga
vitanzandimi zenye
silabi /d/ na /nd/

Matumizi ya Kusoma; a) Kusoma kifungu


Vifaa vya Ufahamu wa katika kitabu cha
Kidijitali kifungu cha mwanafunzi.
katika kushawishi b) Kudondoa maneno
mawasiliano mageni yaliyotumika
katika kifungu.
c) Kueleza ujumbe katika
kila aya ya kifungu.
d) Kutathmini matumizi
ya vifaa vya kidijitali.

Matumizi ya Kuandika; Insha a) Kutaja vipengele


Vifaa vya za kubuni: vinavyozingatiwa
Kidijitali Masimulizi kujenga wazo katika
katika insha ya masimulizi.
mawasiliano b) Kuandika insha ya
masimulizi, ‘Safari ya
ajabu’
c) Kuchangamkia
kuandika insha ya
masimulizi.

10 Matumizi ya Sarufi; Ngeli na a) Kuandika nomino za


Vifaa vya upatanisho wa ngeli ya KI-VI zilizo
Kidijitali kisarufi: Ngeli ya kwenye kitabu cha
katika KI-VI mwanafunzi.
mawasiliano b) Kutunga sentensi
katika umoja na wingi
kwa kutumia ngeli ya
KI-VI
c) Kuchangamkia
matumizi ya ngeli ya
KI-VI
Matumizi ya Sarufi; Ngeli na a) Kutambua nomino za
Vifaa vya upatanisho wa ngeli ya LI-YA katika
Kidijitali kisarufi: Ngeli ya kitabu cha
katika LI-YA mwanafunzi.
mawasiliano b) Kutunga sentensi
akitumia nomino za
ngeli ya LI-YA katika
umoja na wingi.
c) Kuchangamkia
matumizi ya ngeli ya
LI-YA

Kuthamini Kusikiliza na a) Kutaja nyimbo za kazi


Kuzungumza; anazozijua katika jamii
Nyimbo za kazi yake.
b) Kutambua mazingira
ambamo nyimbo za
kazi huimbwa.
c) Kusikiliza wimbo
ufuatao ukiimbwa na
mwalimu.
d) Kuchangamkia kuimba
nyimbo za kazi.

Kuthamini Kusikiliza na a) Kutaja nyimbo za dini


Kuzungumza; anazozijua katika jamii
Nyimbo za kazi yake.
b) Kutambua mazingira
ambamo nyimbo za
dini huimbwa.
c) Kusikiliza wimbo
ufuatao ukiimbwa na
mwalimu.
d) Kuchangamkia kuimba
nyimbo za dini.

11 Kuthamini Kusoma; Kusoma a) Kusoma novela


kwa kina- iliyoteuliwa.
Wahusika b) Kutaja sifa za
wahusika katika
novela.
c) Kueleza uhusiano kati
ya wahusika katika
novela.
d) Kutathmini umuhimu
wa kusoma novela.
Kuthamini Kuandika; Barua a) Kueleza umuhimu wa
ya kuomba barua rasmi ya kuomba
msamaha msamaha.
b) Kutaja vipengele vya
kimuundo vya barua
rasmi ya kuomba
msamaha.
c) Kuandika barua rasmi
ya kuomba rasmi.
d) Kutathmini umuhimu
wa kuomba msamaha.

Kuthamini Sarufi; Vinyume a) Kutambua vinyume


vya maneno: vya nomino katika
Vinyume vya fungu la maneno.
nomino b) Kutunga sentensi
akitumia vinyume vya
nomino.
c) Kuchangamkia
kutumia vinyume vya
nomino.
Kuthamini Sarufi; Vinyume a) Kutambua vinyume
vya maneno: vya vivumishi katika
Vinyume vya fungu la maneno.
vivumishi b) Kutunga sentensi
akitumia vinyume vya
vivumishi.
c) Kuchangamkia
kutumia vinyume vya
vivumishi.

12 MARUDIO
13 KUFUNGA SHULE

You might also like